Ng'wanangwa
178.5K posts

Ng'wanangwa
@Mugaka_N
Patriotic to my country, not to my Rulers #MjingaFulani #Mwananzengo #KwenyeVinchiVyetuHivi likes = Will look into it later.
Geita Vijijini Katılım Nisan 2012
12.7K Takip Edilen66.4K Takipçiler

@Mtanzan03736833 Marahaba Ticha,
sijarudi rasmi, nakutakia kila la kheri hadi hapo nitakaporejea.
Indonesia

@Chahali Kwenye maisha yetu ya kawaida hili ndivyo lilivyo ndg Jasusi. Hili linashindikana eneo moja tu, kwenye siasa!
Indonesia
Ng'wanangwa retweetledi

@Mtanzan03736833 Imeshakuwa kanuni? Kwamba Yanga na Azam wakikuchapa lazima Simba akuchape pia?
Indonesia
Ng'wanangwa retweetledi
Ng'wanangwa retweetledi

Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wamepanda lililokuwa likitokea kijiji cha Lumalu kata ya Upolo Wilaya ya Nyasa kuanguka kwenye mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kisha kuwaka moto.
Waliofariki ni walimu wanne wa Shule ya Msingi Lumalu, mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo.
Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa amewaomba ndugu wa marehemu waliofariki kwenye ajali hiyo wafike katika hospitali ya Mbinga mkoani humo kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo.

Indonesia
Ng'wanangwa retweetledi

@LongaZimale Walitaka kuhalalisha zile mali walizokuwa wakificha wakati wa Ujamaa!
Indonesia

“Mwalimu” aliipitisha nchi zama za Ujamaa na Vita baridi, alipoona zama za Ujamaa zinakufa kifo cha “lazima” akang’atuka kulinda heshima yake. Salaaaaam Mzee @Mugaka_N .
Indonesia

@TitoMagoti Siasa za uchaguzi wa ndani CDM zimeathiri sana namna tunavyo angalia kuuona ukweli!
Indonesia
Ng'wanangwa retweetledi
Ng'wanangwa retweetledi




