TAHEA Mwanza

343 posts

TAHEA Mwanza banner
TAHEA Mwanza

TAHEA Mwanza

@MwanzaTahea

Tanzania Home Economics Organization. Envisions a society which is well educated, improved living standards, sufficient in food and with a strong economic base.

Mwanza, Tanzania Katılım Ağustos 2018
313 Takip Edilen307 Takipçiler
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
Building a better future, one home at a time! We're empowering communities by providing sustainable and affordable housing solutions that improve living conditions and foster growth. Watch how social rural housing is changing lives in Ilemela, Buchosa and Sengerema!
English
0
0
1
19
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
“Katika siku hizi 16 za kupinga #Ukatili wa #Kijinsia. Kaulimbiu; kuelekea miaka +30 ya Beijing: Tuungane kumaliza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
Indonesia
0
0
0
19
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
@taheamwanza tumeanza awamu ya kwanza ya mafunzo katika Kata ya Buhunda Wilaya ya @ded_misungwidc kwa wasichana waliokatisha masomo kutokana na ujauzito ili kuwapa usaidizi wa kisaikolojia na kijamii (psychosocial support) na kiuchumi ili kuamsha na kuziendea tena ndoto zao.
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
Indonesia
0
0
0
3
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
“Jamii bila ukatili wa kijinsia inawezekana, Tupinge Sasa”
TAHEA Mwanza tweet media
Indonesia
0
0
0
13
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
Members of Buhunda Village in Misungwi District participating in construction activities for the Community Based Child Care Centre. Open the link below to see the video instagram.com/reel/C_ISYp6B2…
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
English
0
0
1
15
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
@tahea_mwanza tuna tekeleza moja kati ya Maeneo Makuu Manne ya Mabadiliko ya Programu Jumuishi ya Taifa ya #MMMAM kwa kuwajengea uwezo wazazi, walezi, familia na jamii ili waelewe na kuchukua hatua stahiki katika utoaji wa huduma bora za malezi jumuishi kwa watoto wa miaka 0-8.
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
Indonesia
0
0
1
11
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
TAHEA Mwanza @MwanzaTahea inatoa mafunzo kwa washiriki 60 kutoka Vitongoji 6 vya Kijiji cha Buhunda Wilaya ya Misungwi kuhusu Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Mafunzo haya yatawawezesha kuongeza uelewa na kuboresha malezi kwa watoto wao.
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
Indonesia
0
0
0
11
TAHEA Mwanza
TAHEA Mwanza@MwanzaTahea·
Today we had another great day with the Apex Housing Association visiting Isela, Lukelege and Mamaye Pre-Primary Schools in Misungwi District to see the project outcomes. During implementation they supported construction of 16 classrooms. @ChildreninXfire @MwanzaTahea
TAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet mediaTAHEA Mwanza tweet media
English
0
0
0
14