Topking James Wenger

4.2K posts

Topking James Wenger banner
Topking James Wenger

Topking James Wenger

@Mwikola16

ARSENAL BARCELONA

Katılım Eylül 2024
1.4K Takip Edilen745 Takipçiler
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Dragon tuliowatuma kwenda kushambulia ofisini kwa Kanji wote wamedead. Ila upande alikopita huyu ni hatari kawamwagia sana moto unaambiwa huko😅🔥
BAD NUMBER🥷🏿 tweet mediaBAD NUMBER🥷🏿 tweet media
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason

@derc2323 62MC7D Jaribu kuchambua kutoka kwenye hizo kaka.

Filipino
5
16
64
8.2K
Topking James Wenger
Topking James Wenger@Mwikola16·
@EsirEid Hii ni kwl kuna mchumba Nimeopoa Ana asili ya Rwanda ana nyama nyingi ila Sura Ni wastani tu
Filipino
1
0
8
1.3K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Twende mbele Turudi Nyuma…. Manzi za Rwanda huwa ni wazuri tu kwenye Picha zinazotumwa mitandaoni… Ukifika Rwanda hakuna kitu kule aisee💔 Hadi unajiuliza umepotea njia nini😂😅 East Africa - Tanzania Manzi zetu ni warembo saaana… Kwa mbali tunafuatiwa na manzi za Mbarara,Kabale , Masaka..western districts of Uganda kule kuna Pisi za Kwenda! NB: UKIBISHA UWE UNAUZOEFU KUNISHINDA!
Indonesia
154
75
798
51.5K
Topking James Wenger
Topking James Wenger@Mwikola16·
@PlanetFutbal Mrisho ngassa Ile game Wamecheza na Simba wakatoka 4-3,, Ibarhim ajibu Ile day amewafunga Mbao goli la tiktaka
Filipino
0
0
0
3
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
CHALLENGE ACCEPTED..!! . Ungepewa nafasi ya kuomba jezi au kiatu cha Mwanasoka yeyote wa Kitanzania ambaye ameshataafu soka...Ungeanza na Mchezaji yupi? NAANZA: Mimi ningeomba Jezi ya Juma Kaseja aloivaa kwenye mechi ya ushindi dhidi ya Zamalek kule Cairo. . WEWE JE?👇
Futbal Planet ✴️ tweet media
Indonesia
9
1
37
1.5K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi Jiji la Dodoma tukitoa -Udom -Bunge -Bambalaga -Zabibu -Area D, CBE ,Mipango , -Benjamin Mkapa Hospital, St Joseph University, DRRH, -Nyerere Square, Ikulu -Ukame Nini kingine kinabakia....?😎
Indonesia
44
20
122
6.1K
Topking James Wenger retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU: Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free State na Gauteng. Nyumba za wakulima wa kizungu zikabomoka, na vifo 11 vikaripotiwa. Wakati huo kulikuwa na mapambano makali ya watu weusi kudai uhuru kutoka kwa makaburu. Baada ya makaburu kupata majanga hayo ya mafuriko, maelfu ya watu weusi walishangilia mitaani na wengine wakifanya sherehe kama ishara ya kushukuru "miungu" yao kwa kuwalipia kisasi. Rais Pieter Willem Botha, mmoja wa Marais katili mno wa Kikaburu, akalaani kitendo cha Waafrika kushangilia vifo vya makaburu. Huyu ni yule aliyewahi kusema Waafrika hawana akili za kujitawala, wanapaswa kutawaliwa milele. Baada ya mafuriko hayo P.W Botha akasema serikali yake haitawavumilia walioshangilia vifo vya makaburu kwa sababu huo si ubinadamu. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Walter Sisulu, akamjibu P.W Botha kwa maneno ambayo yanaishi hadi leo. Sisulu alisema: "Kama makaburu hawaumizwi na vifo vya watu weusi, wasitegemee kwamba weusi wataumizwa na vifo vyao. Weusi wameuawa kinyama na makaburu, na wengine hawakupewa hata heshima ya kuzikwa; walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki kama wanyama. Leo, makaburu wakifa wanataka weusi waomboleze? Huku ni kujipa haki kubwa kuliko hata malaika. Hamuwezi kuua watu weusi, muwafukie kama mizoga, halafu mkifa nyie mnataka watu haohao wasikitike. Binadamu ni yule yule, awe mwenye ngozi nyeusi au nyeupe. Kama wewe kaburu unaumizwa na kifo cha kaburu mwenzako; unapaswa kuumizwa na kifo cha mtu mweusi pia. Kuwa mweupe au kuwa na madaraka hakukufanyi kuwa binadamu kuliko wengine. Utu wetu haupo kwenye rangi za ngozi zetu wala vyeo vyetu.”
John Heche tweet media
Indonesia
46
412
1.4K
36K
Topking James Wenger
Topking James Wenger@Mwikola16·
@ByCardoJason Ni kwl asee na ukifatilia vzr Dunia ulikua na Miez 13 yenye siku 28 Mwezi wa kwanza ktika mtiririko ni April
2
0
1
123
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
@Mwikola16 Kuna jamaa aliedit pale akatia over 1.5 leo anasubiri hao wa israel. Sisi 1cut sio mbaya kuna keka la wiki ya kwanza ya April 1-6 lazima tule lile saa 4 ntaweka
Indonesia
1
0
1
29
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Code ya kufungia mwezi March, weka chochote. Game za leo na kesho.🧘🏿‍♂️ Sportybet🇹🇿: 6S5Q86 -Odds 35💰🍀 Mungu ajalie tukutane tena 1,April.🙏🏿
16
27
240
14.3K
OB
OB@CFC_OBED·
Tell me one footballer you just love. I don’t wanna hear Messi, Neymar or Ronaldo😂 Tell me one random sick footballer you love.
English
7.8K
727
10.8K
932.4K
Topking James Wenger retweetledi
___Aiman
___Aiman@___Aiman90·
@ze_mandevu Wabongo wengi ni wapumbavu, hizo team na wanamziki walishikiria msimamo wao kutozungumzia wala kujihusisha na kilichotokea October 29 lakini kuna wendawazimu ni km hawawezi kuishi bila hiyo miziki na hiyo team za kkoo
Indonesia
0
1
44
1.9K
Topking James Wenger retweetledi
Mnada Nchege
Mnada Nchege@mnadanchege·
@ze_mandevu Me Bado nashikilia shilingi mpaka wafu wa Oktoba 29 watakapo pata haki Yao hakuna Cha Simba Wala yanga na hakuna Cha muziki wa bongo Bora nisikulize lingala tu
Filipino
3
1
36
1.9K
Topking James Wenger retweetledi
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
One day Nikishamaliza kuset mipango yangu nitarudi kwetu kwenda kuoa binti ambaye 1.Hana ex-boyfriends 2.Hatumii kilevi chochote either pombe,sigara or shisha. 3.Hana marafiki wa kiume (BFF) 4.Hana mchoro wowote kwenye mwili wake (No tattoo) 5.Hana mtoto wala hajawai kuchoropoa mimba. 6.Hajaathiriwa na utandawazi wa mitandao (tiktok na Instagram) 7.Haja athiriwa na vipodozi vya wazungu (skin care). 8.Atakua na usichana wake (bikra) na mimi ndio nitakua mwanaume wake wa kwanza. Huyo ndio atakua mke wangu mimi.🙏🏿
Filipino
42
41
141
8.3K
CONGRATULATION!
CONGRATULATION!@Ponge_Bromine·
Kuna hawa jamaa wanaitwa BENROYAL MOVIES wanatokea MBEYA.... Wametoa movies kama 1. JINA 2. MALI hawa jamaa wanajua balaa ila Bongo media ndio hazitaki kuwapa Promo.
Filipino
3
3
14
763
Chapo Guzmán 🇹🇿
Chapo Guzmán 🇹🇿@GuzmnChapo1·
Ipi ngoma Kali Nelly ft Kelly; Dilemma Vs Rihanma Ft Drake; Work
Indonesia
25
5
94
3.9K