MWITALE

404 posts

MWITALE banner
MWITALE

MWITALE

@Mwitale2

ishi na watu vizuri kwa maana huijui kesho

lake zone Katılım Ağustos 2020
1.2K Takip Edilen345 Takipçiler
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@selemasaki Umeshasema ni rafiki yako Go straight to the point
Polski
0
0
1
91
Masaki
Masaki@selemasaki·
Hivi ukitaka kumwambia rafiki yako kuwa anapenda kurudia rudia hilo shati moja kila siku kwa lugha yakistaarabu bila yeye kukasirika utamwambiaje??.............😅
Indonesia
16
2
33
2.5K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@Kipaji66 Nilikuwa niliona huo Ukuta najua hili chimbo ndo lenyewe
Indonesia
1
0
0
273
🎮🎮
🎮🎮@Kipaji66·
Legendary pic, watasha wanaikumbuka hii 😀
🎮🎮 tweet media
Indonesia
7
13
65
15K
MWITALE retweetledi
Contextpinit bluesky
Contextpinit bluesky@blueskypinit·
He felt safe… until THIS happened 👀
English
2.2K
2.5K
63.9K
2.6M
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Hivi mfano kama hunywi pombe, siku upo ugenini na wazee wa Heshma mkaambiwa muagize vinywaji, utaagiza kinywagi gani? 😁
Indonesia
21
14
77
3.7K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@MfiaNchi255 Peku unachapa na hamna shida Ila jiandae kupigwa limbwata
Filipino
1
0
1
70
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@IamGabby_01 Nilikuwa naamini wahovyo Ni vijana tu kumbe hata wazee wapo
Filipino
1
0
1
62
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
Mnamuelewa mzee Malundo 🤣.
GABBY tweet media
Indonesia
46
43
122
5.5K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@Ayodimejitz Hapo ni Dodoma airport hiyo barabara ni runway ya ndege Uliza lingine
Filipino
0
0
0
92
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@Boss_941 Ivi kwa mfano mimi ni mlevi Afu niskie mtu anasema ulevi sio mzuri Unadhuru afya na uchumi Ivi nitamsapoti kweli??
1
0
1
17
Boss
Boss@Boss_941·
Jamaa anataka nifute tweet nilo ongelea kuhusu maswala ya ushoga Hoja yake: "Developing countries tuna matatizo mengi..." Kwake ushoga sio tatizo kabisa na hatak tuliongelee
Boss tweet media
Filipino
12
10
19
996
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@Paullyker Hiyo namba 5 nimerudia kuisoma mara 3 Ukiskia nmefunga kurasa ndo hiyo apo sasa
Filipino
0
0
0
58
LYKER 🌴
LYKER 🌴@Paullyker·
Nimecheka! 😆😆😅 Ila ChatGPT
LYKER 🌴 tweet media
HT
34
31
174
7.6K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@humbleQueen02 Huwa nawaambia vijana jitahidi sana umiliki wanawake 3 au zaidi kwa wakati mmoja ili kuepuka stress ndogo ndogo kama za kuachwa
Indonesia
0
0
0
8
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Leo ni siku ya kukumbushana kuwa mwanamke akisema muachane basi muache Tu✍
Indonesia
44
66
240
5K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@british77boe Usiogope bwana mdogo ukimwi hauambukizwi kirahisi hivyo hapo chamsingi mpake mafuta mengi Halafu mtende dhambi ukimaliza mpe hela yake ukitoka hapo Pita pharmacy chukua AZUMA dozi 2 kianzio Afu skilizia siku 3 mpk 5 Maumivu yakizidi muone datkari
Indonesia
4
0
14
3.4K
britishboe
britishboe@british77boe·
Mfano Usiku umelewa ukaichukua afu Asubuhi unakuja kuamka unakuta umeichapa kavu kavu😂😂kitu cha kwanza unafanyaje??
britishboe tweet media
Indonesia
80
29
313
42.7K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@maxannania @Obure1998 Nikula sana nanasi mitaa hiyo hasa mwezi wa 1 na2 Ilikuwa ukienda na jero unanunua 3 na unapewa 1 nyongeza
Filipino
0
0
0
121
Max
Max@maxannania·
@Obure1998 Nkome (Geita)kuna Warundi wanalima heka kwa bei chee, 2016 kurudi nyuma walikuwa wanalima heka kwa buku 5, Nanasi bei chee, kesheshe ni miundombinu ya kuisogeza mjini.
Indonesia
2
1
9
22.7K
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Ukienda Kilimanjaro kuna Tangawazi za kutosha kufika shambani sasa Kuna sehemu nilienda kutafuta Nanasi panaitwa Igate Geita nanasi 300 tu kuitoa Geita ifike Dodoma🙌🏾 niliwahi kutamani kulia hapo Busisi maana ni saa 6 na inatakiwa niwe Sirari saa 12 Asubuhi
Cinephile@Obure1998

@maxannania Kama umeitaja tarime basi unaijua hii nchi vizuri🙌🏾 umeacha Morogoro kuna dingi aliwahi kuniambia SGR ikifika nchi nzima na tukawa na tren ya kusafirisha mazao tu, hakuna mtu atalala njaa hii nchi na hakuna mkulima atalia, Nahisi Magu alikuwa na hii vision

Indonesia
1
0
3
907
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@BesteNicolas Niite nije nijifanye mimi ndo mwenye geto afu wee mdogo Wang umefikia kwangu Niwafokee mtaondoka tu
HT
0
0
0
186
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Huyu msambaa amegoma kuondoka kwenda kwao anataka aishi na mimi Wade nitumie mbinu gani kumuondosha hapa?
kijana mpole tweet media
Filipino
19
1
59
6.8K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@IamGabby_01 Mzee ulikuwa hujui? Watu wanaenda kusalimia mizimu Na kuomba baraka kwao Ndo maana kuna wengne kila mwisho wa mwaka Mabasi yanazidiwa abiria Hasa huku kanda ya..................
Indonesia
1
0
1
112
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
Kama unadhani watu wanaosema wanaenda kijijini kusalimia - huwa wanaenda kutoa salamu pekee kazi unayo. 😂. Watu wanamambo yao.
Indonesia
40
56
202
5K
MWITALE
MWITALE@Mwitale2·
@Timbertzaa Labda umuibie Na hakikisha una waganga wa 3 wanaoweza kazi Na ma Ustaadhi wa2
हिन्दी
1
0
0
13
Timber TZA
Timber TZA@Timbertzaa·
Hivi kuna ambaye alikuwa anafanya kazi kwa Mhindi akatajirika?
Timber TZA tweet media
Filipino
8
5
14
498
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
World cup ya msimu huu mbona kama Haina vibe wakuu🤔🙌 Yani zimebaki siku 40 mashindano yaanze lakini haizungumziwi kabisa 🙌 shida nini?
ochola..🦅⚠️ tweet media
Indonesia
39
23
133
6.1K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
..✍️ kwenye History nakumbuka tuliwahi kusoma kwamba kuna makabila hapa Tz ambayo asili yake mtawala wa familia ni mama (mfumo jike), hayo makabila ni 1.Nyakyusa 2.Hehe 3.Chagga 4.Kurya 5.Wapare So kama wewe ni mwanaume na ukioa kwenye haya makabila, usipokuwa imara utatawaliwa na kama ni legelege utakuwa unapigwa humo kwenye ndoa mpaka ushangae 😁
Filipino
18
7
101
8.3K