Mjerumani 🇹🇿💫🌴
1.5K posts


@MKihore @BusesDaily Naona ni kama kaanza na dar mwanza
Angeanza mbili ingekuwa noma gari za kichina tupa geuka hazifanyi vizur sana zinahitaji kupumzika
Indonesia

@Salamandertz @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Wapo wengi kuna allys high kankonos pia yupo na kazuge
Filipino

@Myzo06 @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Ruti dume sana hiyo, kaiweza Sasebosa tu
Filipino
Mjerumani 🇹🇿💫🌴 retweetledi

@Myzo06 @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Mpiga picha ulikuwa umesimama mto kenge hapo
Filipino

@Myzo06 @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Ahsante Maning .. inakula shimo zetu

@ability_ink @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Wanasema huku usije utaacha ndala🙌
Indonesia

@Myzo06 @LadiicOfficial @TBoundBuses @BusesDaily @BusesNation @Kangaboy_ Kwa ile road body tena ya mchina inahakii iishee kule wanapelekaga gonga nyundo wakina mkombozi na sesebosa na AN ndo kaz zao😅😅
Indonesia
Mjerumani 🇹🇿💫🌴 retweetledi


@Mrisho_K @munyamambogo @EsirEid Sasa hatari kwa abiria yani kupata breakdown? Ambayo hata gari mpya inapata huu ni wivu fanya kazi
Indonesia


@nifolobaki @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Sijasema muslim country ni terrorist na kama ningesema hivyo mbona sijataja UAE 🇦🇪 Saudi Arabia 🇸🇦 oman 🇴🇲 kwani hizi ni nchi gani
Usiforce kitu ambacho sijasema
Na sijasema nchi yoyote ni terrorist ila iran Ana support baadhi ya makundi ya vita kama helizabollah
Indonesia

@Myzo06 @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Ww unaamin muslim country ni terrorist ila uhalisi USA ndo biggest terrorist wanajichukulia mafuta SYRIA bure kwa mabavu na IRAQ , Libya taja nchi nchi tatu ambazo marekan ipo wala haina maslai
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Iran inasema shambulio la Diego Garcia lilikuwa ni FALSE FLAG nyingine.
Afisa mwandamizi wa Iran aliiambia Al Jazeera kuwa Iran haikuhusika na kurushwa kwa makombora ya IRBM kuelekea Diego Garcia, na amekanusha kabisa kuhusika kwao.
Inadaiwa kuwa tukio hilo lilifanywa na Israel ili kuzua HOFU barani Ulaya kwamba makombora ya Iran yanaweza kuwafikia kwa umbali wa kilomita 4,000, ilhali inaripotiwa kuwa kombora refu zaidi la Iran linafika takriban kilomita 2,000.

Indonesia

@nifolobaki @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Bro nimeiangali nisingekuja na feedback yote hiyo ikiwa sijui kilichoongelewa
Filipino

@Myzo06 @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid ww huja angalia hyo video ila uhalisia una ujua ni kichwa ngum mpaka fact unapewa ila hutak
Indonesia

@nifolobaki @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Bro hivi hata mimi si naweza kuandaa hivi na kuweka mtandaoni prove yako kwamba hii ni nyaraka ya kweli ni ipi😃
Be serious basi mzee
Filipino

@Myzo06 @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Na hii kataa sasa bishana na DOJ department of justice ya marekani

Filipino

@RamarJemedal @hassankuku9 @EsirEid Bro wewe haupo updated kabisa donald trump aweka wazi kabisa yeye anatambua jinsia mbili tu tena wakiwa na elon musk
Indonesia

@nifolobaki @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Video zipi tena mkuu ulinipa hiyo sasa hizo tatu zipi tena mkuu
Filipino

@Myzo06 @hashimrashidy_ @MassaweKamili_ @EsirEid Ila ww kuna video zaid ya tatu wana zungumzia kwa wame wa train hao jamaa ili ku destabilize middle east
Filipino











