'Watoto wengi siku hizi wanakula weetabix, cerelac sanasana...'
Dkt Daisy Korir na Esther Kangogo wazungumzia kinga ya mwili ya watoto dhidi ya homa na maradhi mengine.
#NTVSasa@Loise_Wangui
With over 17 years of experience, one of Kenya's top DJs Pierra Makena is discussing challenges of wanadada ma DJ and giving upcoming some tips pale @ntvkenya
Gharama Ya Matibabu Kenya:
Huwa natumia zaidi ya KES 35,000 kila mwezi kwa matibabu ~ Josephat Monda, anayetibiwa maradhi ya figo.
#NTVSasa@Loise_Wangui
Gharama Ya Matibabu Kenya:
Ukiwa mgonjwa na utake NHIF igharamie matibabu, huwa ni kama unaomba ilhali ni pesa yako ~ Charles Kese.
#NTVSasa@Loise_Wangui
Nairobi Hakuingiliki:
Juhudi za Raila Odinga kuingia katikati ya jiji la Nairobi kufanya maandamano zagonga mwamba baada ya barabara kadhaa kufungwa na polisi.
Raila ameahidi kufanya maandamano kama ya leo kila Jumatatu.
#NTVJioni@loftymatambo