NYESE JR

23.3K posts

NYESE JR banner
NYESE JR

NYESE JR

@NYESEJR

💯❤️ FOR LIVERPOOL FC

🇹🇿 Katılım Şubat 2022
2.9K Takip Edilen2.2K Takipçiler
Isack Mathew Ilamlila
Isack Mathew Ilamlila@IsackIlamlila·
Sio kwa Ubaya lakini Kuna Kiasi Fulani cha Pesa nikikishika, Basi Wanawake weusi hawatakaa waone Uume Wangu. 😂😂😂
Indonesia
83
98
694
24.7K
Billy
Billy@BillyTronix1·
1993/1994- Ac Milan ya Capello ilishinda ligi ikiwa imefunga magoli 36 tu katika game 34 Clean sheets 22 Hii ndio haram football sasa 🙌😆😆😆
Filipino
24
47
539
14.6K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Kosa kubwa la watu wengi wanalofanya huku X wakishajulikana kidogo ni kuwatreat wale followers wake kama mashabiki zake.!!
Indonesia
56
66
411
38.6K
NYESE JR
NYESE JR@NYESEJR·
@EsirEid Mwache kwanza, ila akigusa tu hospital anapoteza uhai huyu
Filipino
0
0
1
14
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
@BlackSingapore2 Unafikiri hii propaganda ndyo itakuwa ignition ya watu kuingia barabarani. Vijana wameshagomeq huu upuuzi
Indonesia
7
2
35
3.5K
MJ ™
MJ ™@mj0058·
Ukute JW wa Bongo ni mashoga
Indonesia
13
17
166
7.9K
NYESE JR retweetledi
𝗖𝗮𝗿𝗺𝗶𝗻.𝗗 🎶
Please @elonmusk : Many of us X users encounter this “login error attestation denied” error when trying to log in on Android and iPhone. It's time to do something about it quickly! Support isn't communicating, we're stuck. I can no longer do my Spaces like I used to. For a premium service, that's not great!🤬 What is X becoming?🙄
English
2
3
12
3.1K
Mzalendo
Mzalendo@mkuubaba·
@NYESEJR @Hamadbakari2 @Sativa255 Kwani nyie wenye spirit ya Gen Z hamjuagu kubishana Kwa hoja mpaka mtukane? Jueni kushukuru Kwa mlichokikuta duniani mtafanikiwa,mngekuta Tanzania ni mbovu hata msingezaliwa
Indonesia
1
0
0
12
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Shida ya kuwa na kiongozi KILAZA, jana anaiambia Dunia tulioandamana 29 oktoba siku ya uchaguzi tulipanga kupindua serikali. Siku ya UCHAGUZI kulikuwa na SERIKALI? Hata dunia inatushangaa watanzania tunaongozwa na TAKATAKA GANI aisee. Huyu alitakiwa kuwa MILEMBE SIO IKULU.
Indonesia
35
197
1.5K
25.4K
Mzalendo
Mzalendo@mkuubaba·
@NYESEJR @Hamadbakari2 @Sativa255 Vita haina macho,ukianzisha vurugu madhara yake huwa yanaenda hadi Kwa innocents,kwani mwendo Kasi ilivyochomwa waliochoma tu ndio walishindwa kupanda?
Indonesia
1
0
0
11
Mzalendo
Mzalendo@mkuubaba·
@Hamadbakari2 @Sativa255 Sasa kama hawakuwa na silaha walilipua Vipi vituo vya mafuta? Au kwenu nyie silaha ni bomu na binduki Tu? Mlichomaje magari ya watu?
Indonesia
1
0
0
18
NYESE JR retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunaitangaza RASMI na kwa DHATI tarehe 29 Oktoba kuwa SIKU YA MASHUJAA. Tutaiadhimisha kila mwaka. Nuff respect to the fallen Heroes.
Indonesia
38
435
2K
22K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Filipino
2.1K
3.7K
7.8K
2M
Yosemite
Yosemite@Flagoff1·
Hakuna shabiki wa Liverpool ambae alikua anajimaliza kama @gratian_barbosa Kmk Jamaa sasa hivi kapotea kinoma 😂😂😂😂😂
Indonesia
4
1
12
778
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Bellingham Leo kwenye Dimba la katikati lilojaa utukufu wa Mpira nae yuko hapa kuendesha Ibada ya soka 🔥🙌 Viva Real Madrid 🔥
Botafogo👑 tweet media
Indonesia
13
13
43
1.6K