nascoba@drainbrain

1.6K posts

nascoba@drainbrain banner
nascoba@drainbrain

nascoba@drainbrain

@NathanNdubi67

Accredited to love human rights and his Godly blessed dignity as long as I love human Intelligence and hate brainless

Katılım Mayıs 2025
106 Takip Edilen35 Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WATEKAJI WA NINJA WAMEJULIKANA. Kwahiyo @tanpol mmekaa na @Ninja_Damour kwa zaidi ya masaa 24, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi mkakana kwamba sio nyie mliomkamata, saizi ndo mnakubali kwamba mnamshikilia? Ule ni ukamataji wa aina gani, sheria ipi ambayo inaruhusu maofisa wa Polisi kwenda kukamata mtu huku wakiwa wamevaa musk za kufika sura zao na kutumia gari lenye plate number fake? Halafu siku hizi watu wote mnaowateka, mnawapeleka kwenye karakana yenu ya kutesea watu hapo Chang’ombe. Nyie ndo watekaji wenyewe, haya mtuambie na ndugu zetu wengine mliowateka akiwemo Balozi Polepole, @mdudenyagali, @DEUSDEDITHSOKA, @DIONIZKIPANYA25 n.k mmewapeleka wapi..? #FreeNinjaDamour
Hilda Newton tweet media
Indonesia
19
86
325
13.3K
nascoba@drainbrain retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Sehemu ya wasilisho na uchangiaji wa Katibu wa Kimataifa wa chama Mhe. @DeoMunishi kwenye baraza la @idualliance lililomalizika jana jijini Zagreb, Croatia🇭🇷 juu ya mwenendo wa siasa kandamizi za Tanzania na kesi ya kutunga ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa chama.
Indonesia
3
87
304
5.7K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Waziri wa ajira... 😂😂 Malaya now ni mda wetu
BeLINDA tweet media
Indonesia
27
22
168
10.7K
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@lifeofmshaba Huwezi kuwaambia watekeleze sheria wakati PGO yenyewe ipo kila kituo cha police. Je, unataka tuwe tunawaambia ushuru wa akili zao zifundishane? Neno "upumbavu au Ujinga" halifungi mjadala linaibua dadisi la maswali..Kwanini ni wapumbavu? Kwani shida ni nini? Kuwa police ni laana
Filipino
0
0
0
5
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@lifeofmshaba Police ni wapumbavu.. wao wanafikiri ujinga na upumbavu ni nini? Ni kukosa maarifa ya kulinda watu.
Eesti
2
0
1
72
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wapelekeni mahakamani Polisi ina nguvu gani kisheria kujua hili ni tusia au sio tusi Mtu akiwa mjinga akiambiwa ni mjinga inakuwa tusi? Wakati serikali ilikuwa na sera ta kufuta ujinga
Think Different tweet media
Indonesia
15
31
129
4.8K
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@Thommunkondya Walianzisha kusajili mpaka matoto ya darasa la tatu..🤣🤣 kisa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024. Amejiteka akili huyu hakumbuki hadi tuanze kuwakaanga hadhalani kwa kipigo na vinyeo vayao mvione..
Indonesia
0
0
1
147
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mtoto wa shule ya msingi huyu UVCCM gani.? Makamu hizi propaganda achia vijana bhana wewe sio wakupost mambo ya kizushi kama haya. Mtaongoza nchi kweli nyie kama hadi propaganda cheap kama hizi mnafanya.? Acha na haya ya kitoto bhana fikiria kujenga kiwanda cha parachichi utoe ajira bhana.
John Heche@HecheJohn

Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.

Indonesia
46
3
14
5.7K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
Indonesia
26
152
935
26.3K
nascoba@drainbrain retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
76
326
996
45.6K
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@IAMartin_ Wajifunze kwenye nadharia ya Streisand na Martyrdom Nervous Effect Theory. Udhibiti huzalisha udadisi (curiosity) Watu hupinga kukandamizwa (psychological reactance). Vyombo vya habari na mitandao hueneza zaidi habari za Mtu anapoteswa, kuuawa kwa sababu ya wazo lake [shujaa]
Indonesia
0
0
0
2
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
MARIDHIANO BILA UKWELI NA UWAJIBIKAJI NI USALITI. Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa wakati wa mchana kweupe, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia Maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni. Kumbukumbu hazidanganyi. Humphrey Polepole alisimama, akanyoosha kidole akasema: “Tupatane kwanza kabla ya uchaguzi” Matokeo yake? Akapotezwa. Je, alipotea kwa hiari au alipotezwa kwa lazima? Sauti yake ikawa kama mwangwi uliopotea bondeni. Mzee Warioba, mbeba maono ya katiba, akapaza sauti: “Tusikimbilie sanduku la kura bila maridhiano.” Badala ya kumsikiliza, mawe yakawa majibu yake. Mzee wa heshima akazuiwa, akawa mfungwa wa mawazo yake mwenyewe ndani ya kuta za nyumbani kwake. Askofu Josephat Gwajima, akajitokeza, akashauri chama chake na watawala, nchi inahitaji uponyaji, majadiliano kabla ya kwenda katika uchaguzi. Akashauri, uchaguzi huru na haki ni tunda la amani. Hakusikilizwa. Akapuuzwa. Akatukanwa. Akashambuliwa sana. Vipi kuhusu Captain Tesha? Alisema mengi, akataka maridhiano ya dhati. Akasema mifumo imeharibika na inahitaji marekebisho. Leo, sauti yake imekuwa kama redio iliyozimwa ghafla katikati ya msiba mzito. Tesha na wengine, walioona mvua kabla ya mawingu.. CHADEMA hatuwezi kusahau hata kidogo. Chini ya jua kali na mvua za el nino, kwenye ngurumo nzito na radi, tulipita katika matope tukidai kitu kimoja: Mageuzi ya kimsinhi kabla ya Uchaguzi. Lakini majibu yalikuwa ni kutekwa, magereza, na kuzuiliwa kufanya siasa. Shingo za watawala zilijawa na kiburi, mioyo ikawa migumu, mkiamini kuwa ushindi ni kuiba kura na si kuchaguliwa na wananchi. Hamkutaka kuchaguliwa. Mliamua kujitangaza washindi kwa ushindi wa kishindo. Watu milioni 32 walishiriki uchaguzi wapi? Vongozi wa kiroho hawakukaa kimya. TEC, Bagonza, na Gwajima, wote walionya. Walisema maridhiano si chaguo, ni hitaji la lazima ili taifa lipumue. Lakini, shingo zilikuwa ngumu. Mkajiona miungu watu msiohitaji ushauri wa ardhi wala mbingu. Mkasonga mbele. Fr. Dkt. Charles Kitima, mwanatheolojia, alipojaribu kutoa ushauri wake wa busara kuelekea uchaguzi mkuu akiwa salama ndani ya makazi ya Maaskofu, alivamiwa na maharamia. Alishambuliwa. Akaonewa sana. Akayaona mauti moja kwa moja usoni kwake. Mbaya sana. Mliamua kushughulika hata na viongozi wa dini. Hakika, mlivuka mipaka. Mdude Nyagali alivamiwa, akatekwa na kupotezwa kabisa. Deusdedith Soka alitekwa na kupotezwa. Dioniz Kipanya alitekwa na kupotezwa. Mamia ya vijana wa CHADEMA, wafuasi wazalendo, watoto wa Tanzania. Walitekwa, wakapotezwa. Baada ya kuitimiza azma yenu ya kishari; baada ya kuwapoteza wenye sauti na kuwapiga mawe wenye hekima; baada ya kuvuna mlichokusudia kwa nguvu. Mmefikia kile mlichokusudia. Mlichokikinga, mlichokilinda, mlichokitimiza kwa nguvu zote. Mnataka Maridhiano ya aina gani? Je, ni maridhiano ya kumsafisha aliyetenda makosa bila kutubu? Je, ni maridhiano ya kunyamazisha waliojeruhiwa ili msisikie sauti za maumivu yao? Ni maridhiano ya dhati yanayoanza na KUKIRI MAKOSA na KUWAJIBIKA? Maridhiano bila haki ni usaliti. HAKI za watu ambao wameuwawa, wamepotezwa, wamefungwa, wamejeruhiwa. Maridhiano bila ya wahusika kukiri makosa ni kiini macho. CHADEMA hatuwezi kutumika katika safari ya wananchi kuelekea kusikojulikana. Maridhiano ya kweli yanahitaji ujasiri wa kukiri makosa, si ujasiri wa kuficha yaliyopita. Yanahitaji haki, si hila. Yanahitaji sauti zote zisikike, si sauti za wapinzani kuzimwa ili zao pekee zisikike. Wapinzani waseme wapi panavuja. Watawala wakiri makosa yao. Tusonge. Kama mmetimiza mlichokusudia, angalau kuweni na ujasiri wa kusema: Tulikosea, tuanze upya. Tanzania mpya inawezekana. Lakini huo upya wa Tanzania hauji kwa kufuta kumbukumbu za matukio mabaya yaliyotokea. Unakuja kwa kukabiliana na ukweli. NB; Hakuna mgao wa kipande cha keki ya maridhiano kwenye sahani yenye damu. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Indonesia
35
199
688
16.3K
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@MtanzaniaKaka @HecheJohn Nafikiri ulipiwa hata bill za maji wewe! Yaani Heche unaweza kumfundisja aside mpira? Ameanza kuujua mpira bado wewe ukiwa unatupwa kwenye kondom za baba yako na malaya wake. Zima kopo lako
Indonesia
0
0
0
153
Mtanzania Kaka
Mtanzania Kaka@MtanzaniaKaka·
@HecheJohn Heche acha usenge, post hata mdude etc haya mambo mengine they are not political helping no one, otherwise acha hio kazi hapo uhamie kwenye huo usenge wa mpira, kama unataka kuwa political correct in everything. Hii nchi ilipo fikia mtu alie serious can not share this
Filipino
17
1
15
3.4K
nascoba@drainbrain retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Madueke ni taka ngumu.
Indonesia
87
74
1K
31.7K
nascoba@drainbrain retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Brenda’s Political Journal
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Français
6
98
381
6.6K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Police in #Tanzania arrest three for insulting Chande and his commission This of course just attracts more insults from Gen Z Sasa mnawachokoza alafu waki react mnawakamata! Yaani hao wazee ndo wanafurahi vijana wakikamatwa alafu baadaye watateswa mahabusu eh? Acha waendelee kutukanwa! Kama matusi yamekuuma fungua kesi ya madai ila si kutuma polisi wakamate watu! Mfyuuu 🚮 Ila #TutaelewanaTu @volker_turk this is your Chair of the fact finding mission to Sudan - who complains to police in his country about being insulted and they get detained! These detained youth are tortured in these cells adding to human rights abuses that Chande claimed to be investigating! If he feels insulted he can open a personal case for damages but not use the police to torture people! Ludicrous! Why is he still on this Mission to Sudan!? @UN_HRC
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
20
90
397
21.9K
nascoba@drainbrain retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii ilikuwa jana usiku baada ya Profesa J kutambua uwepo wa Mhe. @HecheJohn kwenye Show ya Bongo Fleva Honors Umati ukalipuka kwa shangwe watu wakaanza kuimba Hecheee!… hecheeeee!.. hecheee!…
Indonesia
8
183
1.3K
33.8K
nascoba@drainbrain retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Leo, muda huu, tupo Landmark, Ubungo, Dar es Salaam katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Dar es Salaam ambao ni wanachama CHADEMA STUDENTS ORGANIZATION (CHASO), Dar es Salaam na limehutubiwa na viongozi wakuu wa CHADEMA. Kongamano maalum kwa ajili ya kuzungumza na vijana wa CHADEMA katika mustakabali wa kesho yao. Nimefurahi kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu takribani 1,000 wameujaza ukumbi na morali ya hali ya juu kabisa. CHASO ni chanzo cha fikra bora. #PeoplesPower NB; vijana hawajasombwa, hawajalipwa, hawajalazimishwa.
Indonesia
22
221
1.3K
18.6K
nascoba@drainbrain retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu. Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu. Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
35
348
1.8K
17.9K
nascoba@drainbrain retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Tundu Lissu will be free! The issue is not that but the time and circumstances that this will take place! Mnaomshauri Mwuaji in Chief Samia mnafikiri kuna busara imebaki hapo? Sijuu mganga wake ndo kamshauri aendelee kumshikilia Lissu ila akitajiwa tu #FreeTunduLissu anang’aka sana! Alafu sababu hana - mara sijui heshima, mara kanitukana! Ukweli ni kwamba ANAMWOGOPA maana kwa sasa Lissu ni level ya Nyerere ktk kupendwa na umaarufu nje na ndani ya nchi! Na atamwachia tu hakuna namna 👊🏽🔥 Tutaendelea kukaba hadi penalti Tuseme kwa pamoja #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
43
321
1.2K
26.3K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? economist.com/leaders/2026/0… Samia ni mtawala wa ovyo kuliko wote Afrika , Yaani hata jamaa wa Congo amempiga, hata Paul Biya ajaua watu wako zaidi ya 10,000 kwa siku moja hakuna kiongozi amewahi kuua watu kwa kiasi hiki
Indonesia
7
17
87
3.7K
nascoba@drainbrain retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
CCM hii mtalipia bei kubwa sana, wananchi lazima watatoa adhabu kali
Think Different tweet media
Indonesia
7
52
272
2.3K
nascoba@drainbrain
nascoba@drainbrain@NathanNdubi67·
@IAMartin_ 518-197=321 , je watu 321 walikufa kwa nini? Ni aibu kusikia eti walikufa kwa vitu vya ncha kali...🤣🤣🤣 Ripoti ya Othman Chande ni karatasi tu iliyolowa damu na aliyeiandika amebaki na damu za ndugu zetu.
Indonesia
0
0
5
573
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Suala la kwamba waandamanaji katika maandamano ya Oktoba 29, 2025 walikuwa wamebeba silaha mbalimbali zikiwepo bunduki hadi sasa bado linanikata sana. Raia wakamuua nani kwa risasi? Raia wenzao? Askari? Kama ni askari, misiba yao ilifanyika wapi? Askari hawakuagwa kwa itifaki? Haiingii akilini kwamba askari wapoteze maisha kisha wazikwe kama watu wasio na ndugu wala heshima ya taaisisi. Hii haiwezekani. Anyways, katika ripoti yenu mnasema watu 581 ndiyo waliuwawa. Tukubaliane na takwimu zenu. Hao watu 581 majina yao yapo wapi? Picha zao zipo wapi? Kama hazipo ni, giza la makusudi (strategic ambiguity) Kama vifo 197 vimetokana na kupigwa risasi, vifo 384 vilivyobaki katika jumla ya idadi ya 581 vimetokana na nini? Waliuwawa katika maandamano au katika makazi yao? Waliuwawa na nani na kwa sababu gani? Unapotaja namba tu kwamba “watu 581” bila kutoa jina la Juma, Maria, au Khamis, unakuwa umewanyang'anya utu wao kwa mara ya pili. Walinyang'anywa haki ya kuishi. Wananyang'anywa haki ya kukumbukwa. Kukiwa na majina, kutakuwa na vyeti vya vifo. Kukiwa na vyeti vya vifo, kutakuwa na sababu za kifo zilizothibitishwa rasmi na madaktari. Kukiwa na picha, kutakuwa na mashahidi wa vifo hivyo. Ndiyo. Kukosekana kwa majina ya watu waliouwawa katika ripoti hakumaanishi majina hayo hayapo. Yapo mioyoni mwa wajane, kwenye kuta za nyumba walizoishi, na yapo kwenye kumbukumbu za majirani zao. Je, waliotoa amri na waliotekeleza mauaji, hakuna kuwajibika? Mambo ya uwazi (transparency) na uwajibikaji (accountability) siyo mambo yenu? Mnyororo wa amri (chain of command) upo wazi. Kukosekana kwa uwajibikaji wa moja kwa moja ni kualika ukatili mwingine mkubwa siku za usoni. Au ndiyo tufunike kombe, mwanaharamu apite? Uwazi (transparency) siyo hisani; ni haki ya msingi ya raia Bila orodha hiyo, ripoti yoyote itabaki kuwa karatasi tu iliyolowa damu isiyo na mwenyewe.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
32
142
723
34.1K