DIONIZ KIPANYA

4.3K posts

DIONIZ KIPANYA banner
DIONIZ KIPANYA

DIONIZ KIPANYA

@DIONIZKIPANYA25

Kipanya bin Haki

Dare Salam Katılım Mart 2022
4.8K Takip Edilen6.5K Takipçiler
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@bunge_tz Mwambieni Tulia Acksoni, Haki Imeshinda dhulma, Mwabukusi Anagombea Urais TLS.
Eesti
0
0
0
197
Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania@bunge_tz·
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Julai, 2024 ametumia usafiri wa treni ya abiria ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro kwa ziara yake ya kikazi. instagram.com/reel/C94FazdqM…
Indonesia
1
1
7
1.2K
Iam Ras
Iam Ras@MrRigh_·
Mapenzi yananitesa wakuu😭
Iam Ras tweet media
Indonesia
85
23
185
18.5K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@Mwabuk2Boniface Mungu akutangulie, Auondoe udhalimu wawa dhalimu, Haki ikasimame, na kukureshea mastahili yako.
Indonesia
0
0
0
104
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
Leo *saa 3:00 kamili* asubuhi ya tarehe *26 July, 2024* siku ya Ijumaa kesi ya *BAK Mwabukusi Vs Tanganyika Law Society* inakuja kwa ajiri ya kutolewa *HUKUMU* katika Mahakama Kuu (Masijara Ndogo ya Dar es Salaam) mbele ya Jaji *Butamo Kasuka Phillip*.
Indonesia
39
90
548
17.5K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@jjmnyika Hakuna mbadala wakuitetea haki ya Kupiga kura kama sisi wenyewe hatukujiandaa kufanya hivyo, Asante sana mh. Katibu mkuu kulitupia jicho hili kwa umapema huu.
Indonesia
0
1
2
393
MNYIKA John John
MNYIKA John John@jjmnyika·
Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mchengerwa ameitisha kikao na Wakuu wa Wilaya katika chuo chenye nasaba na CCM Kibaha. Kikao hicho kimehusisha pia Viongozi wa CCM. Ni kikao cha kimikakati haramu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Hatua zinazohitajika ni zile zile mbili baada ya Waziri kutunga kanuni mbaya za uchaguzi ambazo ameanza kuzitumia: Mosi, Kanuni hizo zipingwe mahakamani ili Tamisemi uzuiwe kusimamia uchaguzi badala yake uchaguzi usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi. Pili, maandalizi yaendelee katika kila mtaa, kijiji na kitongoji kukabiliana na wezi wa kura kwa nguvu ya umma. Tujiandae kwa mapambano.
Indonesia
109
244
953
68K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Tutapokea mkeka wa tenguzi na uteuaji,Wakati huo Mchengerwa wa Tamisemikaita wakuu wawilaya na viongozi kadhaa wa ccm huko kibaha,Tenguzi hizo mojawapo ni ya Waziri wa Fedha Nchemba,Nia yao nikututoa kwenye reli ya kufatilia Uovu wao huko Kibaha dhidi ya Uchaguzi ujao wa November
DIONIZ KIPANYA tweet media
Indonesia
3
12
53
7.7K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
and the government,their media lost attraction and they saw it okay,that is Kenya there,they will kill you ma friend, Be Careful,.Give the people freedom in your country,listen your people what he need,your leader is greeter than all leader in East Afrca . My God protect you.
English
0
0
5
4.4K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
My friend the presdent of Kenya @WilliamsRuto there are things you need to imatate in Tanzania,tz is the only nation journalists can be denied freedom, denied employment,told not to publish opposition news,they hard a hard life and they still laughed,they turn to be lice of ccm
DIONIZ KIPANYA tweet media
English
1
1
20
6K
💨mangi mkuu
💨mangi mkuu@kavishePb·
Nani yuko tayari hatutaki vyama vya siasa kwenye hili ✋
💨mangi mkuu tweet media
हिन्दी
333
470
3.6K
185.3K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Si vibaya tukaamshana, Bila G'tz Mambo ni magumu, Madai. Ugumu wa Maisha. Ajira kwa vijana Afya kwa wote Utawala Bora Haki Uhuru Kuondoa matumizi ya Anasa kwa serikali. Haya yote na mengine mengi, Yapigiwe kelele, bila kuhusisha itikadi za vyama vya siasa, tuendelee kuamshana..
DIONIZ KIPANYA tweet mediaDIONIZ KIPANYA tweet media
Indonesia
2
13
38
4.7K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@kavishePb @ParokoJm Baada ya Kenya na Uganda , Sasa ni TZ, Lazima watawala wajue Ajira, Elimu, Afya, miundo mbinu, na Maendeleo ya watu, nijukumu lao la kwanza, Niko tayari kwa maslahi mapana ya Taifa langu
Indonesia
1
8
44
2.6K
💨mangi mkuu
💨mangi mkuu@kavishePb·
Tusubiri maelekeo ila napendekeza tuanzie mbagala to kariakoo then poster 🔥
💨mangi mkuu tweet media
Indonesia
166
219
2.6K
112.1K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Je? Huoni hizo ni Dalili moja wapo za wizi wa uchaguzi huo? Huoni vyama vya siasa nchini vinanyimwa haki ya kujiandaa kwa wakati?Huoni wananchi hawatajua kanuni za uchaguzi huo? Wewe na wizara yako ya Tamisemi wote Mko Kimya,Kwanini Tusiwafikirie Mnapanga kuiba Uchaguzi huo?? 🤔
हिन्दी
1
0
4
2.8K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@SuluhuSamia Mpaka sasa, mikoa mingi nchini hatujui lini wananchi wanajiandikisha Katika daftari la mpiga kura, hakuna kanuni maalum za uchaguuzi zilizotolewa, hakuna taarifa yoyote toka serikali yako ya tarehe Rasmi ya Uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, kwa 2024
DIONIZ KIPANYA tweet media
Indonesia
2
3
16
3.8K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Tukimaliza hoja ya Nape na makamba, tutaingia kwenye hoja ya simba na yanga, Tukimaliza hoja ya simba na yanga uchaguzi ushaibwa unabaki utekelezaji tu,. Nawasihi Tusikubali kuingizwa kwenye hii mikenge, Tunaibiwa
Indonesia
0
0
3
2.3K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Niwakumbushe Wenzangu wote kwamba! CCM wanaiba Uchaguzi Kabla na Baada Ya Uchaguzi. Fatilieni Nyendo za ccm, Mtagundua kama hawajaiba basi wako speed kuelekea kuiba uchaguzi serikali za mitaa 2024,Mambo ya Nape na Makamba ndo Maandalizi mojawapo, tumeacha kuwaza hilo kabisa
DIONIZ KIPANYA tweet media
Indonesia
11
24
148
7.7K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@EduTalkTz Nitampa Tundu lissu, taifa linahitaji uongozi unaozingatia sheria na utawala bora kwa sasa, maana kupitia sheria na utawala bora kila kitu kitakaa katika njia yake. Kuliko hovisasa mambo ni pararaparara tu, kila mtu anafanya lake bila bugdha yoyote.
Indonesia
0
1
26
2.2K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Hypothetical: Tufanye CCM wamemsimamisha Makamba, ACT wana Zitto, na CHADEMA wamemweka Lissu kugombea nafasi ya Urais. 1. Kura yako utampa nani? 2. Kwa nini?⬇️
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
849
82
1.4K
166.1K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Wanangu wa Mabibo wanataka Kutapeliwa Kizembe sana,ngoja nikawatonye fasta. Mtu ajakanyaga mtaani miaka 4, anakuja kutokea kapanda juu ya pikipiki na uongo wa kugawa mashamba bila mbegu,mbolea,madawa,pesa ya Vibarua na shamba lenyewe usikute ni kijiji kwao Singida. Hayo mambo wafanyiwe watu wa Vijijini kwa mjini kama Mabibo ni aibu sana.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
175
102
1.1K
202.5K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
@ExMayorUbungo Hahaha mi ni mvivu wa kusoma maandiko marefu ila hili nimesoma loteee! Hahahaha umetisha mwamba
Filipino
0
0
2
345
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Shangazi kapata wapi "Muhuni" anayejua kudili na "Wahuni" wenzie....! Asubuhi asubuhi nimepiga simu ujombani hukoooooooo Vijijini kabisa Tarawanda,Mindukene,Mindu Turieni na Ubena Zomonzi hakuna Mjomba yoyote aliyepokea simu yangu,nikahisi Kaka yao kasha wapiga mikwara. Si ndiyo nikavuta uzi upande wa Mama zangu,wale Mama zangu nawajua ,kukaa na kitu rohoni hawajazoea , wanaweza Kutunza pesa lakini siyo maneno, kwa kifupi wambea balaaaa na ndiyo walioniambukiza umbea. Basi nikavuta uzi kwa Mama zangu wadogo wa Kidugallo Diguzi,Semakwede,Tununguo,Kubumu nikawakosa wote Simu zao hazipatikani kabisaaa, ghafla simu ya Mamdogo Hapendeki wa Matuli inaita... Baada ya salamu tu ananiambia achana na mkeka wa uteuzi hilo mnaita TPDF ,nikawambia siyo TPDF sema PDF akasema kwenda zako, hilohilo Bwanaaa utajua mwenyewe. Si ndiyo mnalosoma Wasapu na "X" ,nikaitika ndiyo,maana ningembishia achelewi kukata simu Basi Mwanangu nyuma ya pazia kuna mtanange umepigwa siyo wa Nchi hii. Madogo si walijua udhaifu wa Shangazi yao kitambooo,ikawa ndiyo chanzo cha kusumbua ndani na nje ya familia. Shangazi akiwakaripia tu wanakimbilia kwa Mjomba,Mjomba naye kwa wale Wapwa zake ulikuwa umwambii Kitu,akisikia lolote simu ya Kwanza kwa Kaka yake Madale. Kaka wa Madale hata akipigiwa simu usiku wa Manane atamtafuta Shangazi alipo waonane kabla Mambo hayaja haribika,akifika kule kaka Yetu yule anaomba sana atabembeleza anavyoweza,Dada yetu kukasirika hajui. ila akirudi kwa Kaka yangu miye (Mjomba wao) anasema nimemsema na kumgombeza kama mtoto huyo Dada yako,nimemwambia awaache watoto wale maisha,Wameteseka sana wakati wa Ngosha na sasa hivi kwanini wateseke wakati wewe Shangazi yao upo.? Sasa Kiangazi hiki Wapwa walishajua kuna Ngoma ya Mkoleni inaweza kuchezwa kuwatoa Jando na Kuwapeleka watoto wengine Jandoni. Walishampanga Mjomba wao asusie ngoma ya Mkoleni kipindi hiki cha Kiangazi na Mjomba alishamvutia uzi Kaka yake wa Madale wasusie wote Basi Shangazi kacheza kete ambayo hawajaitegemea,ghafla si jina la Mtoto wa Kwanza wa Mjomba yule anaye kaa kule misitu ya Dindili lipo katika Watoto wanaochezwa Jando. Wapwa Macho yamewatoka kama mijusi,hawaamini walichokiona baada ya Kuona Jina la Mtoto wa Mjomba lipo katika orodha ya Mkole wa Jando Kiangazi hiki pale Miono Sasa tangu Jana wanampigia Mjomba wao simu ,Mjomba apokei, wanataka kumuuliza Mjomba kama Msimamo ni uleule wa Kususia Ngoma ya Mkole au Kalegea baada ya Kuona Jina la Mwanae lipo Mkoleni..? Mjomba apokei simu zinaita tu,nasikia shemeji zake wa Lindi wamemjia Juu balaaa,asiwagombanishe na wifi yao kwa kuendekeza Watoto wasio na adabu. Sasa hii hali Wapwa hawajaizoea kabisaa,Wanavyoona safari wanaweza wasiwe pa.oja na Mjomba,hawajui hii akili Shangazi yao kaitoa wapi,wala hawajamzoea hivyo. Basi lawama zote wanazipeleka kwa Shamba boy karibu aliyetolewa kutoka Mashamba ya miwa kule uwanja wampira na ufukweni kuletwa mjini na Shangazi kuja kuishi katika nyumba ya marehemu Mzee Mzena pale Msasani Jirani na kanisa la Matakatifu Petro. Wanasema yule ndiyo kaja na hii roho mbaya katika familia,Shangazi yao hawajamzoea kuwa hivi,Shangazi kapata wapi Muhuni anayejua akili za wahuni .?
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
323
183
2.3K
284.2K
DIONIZ KIPANYA
DIONIZ KIPANYA@DIONIZKIPANYA25·
Rukwa imeonja radha ya kuongoza Serikali kwa Nyakati hizi,Kumbuka Unakua Tunu ya Watu wa Rukwa,Nakusihi sana kutunza Uadilifu na Tamaduni halisi ya mtoto wa kifipa,Licha ya utofauti wa itikadi yangu na yako,jua umebeba dhamana ya vijana wote wa Rukwa,Sasa Unakua Dira yetu,Hongera
DIONIZ KIPANYA tweet media
Indonesia
0
0
15
2.3K
Tutuvengele1
Tutuvengele1@MussaMartin14·
Kiongozi yeyote mwenye HOFU YA MUNGU hawezi kukaa ndani ya Serikali hii DHARIMU inayo ongozwa na sisiem.
Tutuvengele1 tweet media
Indonesia
1
10
23
622
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Huyu ndiye amiri Jeshi Mkuu! Anasema; habari za utekeji ni vi-drama drama tu.💔
54
57
343
19.4K