@RevocatusMagum1 Naanza kuwa na wasiwasi na elimu ya huyo mwanamke isije ikawa ndo chakula Cha wakufunzi njaa.Japo wakufunzi Huwa Wana kula watoto wakali huku wao Wana sura za kishamba tu yaani mabushtown🤣🤣
Watoto ni baraka ila sio wa nje ya ndoa tena kutoka Kwa mke wako wa ndoa 😳
Nikki wa Pili ameachana na mke wake baada ya majibu ya DNA kuonesha kuwa mtoto si wake
NB: Wanaume ukibahatika kukutana na bikra basi ioe usiangalie mwonekano na mazingira✍️
@Master_plan7 Kikubwa usiku yupo tu,Mikimbio kama Kawa kule ana Linda ajira yake mwisho wa siku tuna firisi hiyo ofisi na Mali zake na ugonjwa tusha mpatia🤣🤣
@Lizzie36021 Kutoka tu na mwanafunzi hata kama ametaka mwenyewe ni kubaka,nyie mnao toka na wanafunzi endeleeni tu ipo siku isiyo na jina mtakuja kujuta.
Nandy Kapoteza Pete zake za Ndoa.
Ametangaza Donge nono kwa yoyote atakaye Zirejesha.
Soma Tangazo lake..
KishaAngalia zilivyo..
Screenshot kwa Comments 👇
@mswahili___ Ki ukweli Wana ajiri watu wasio na weredi mtu kukosa Kazi ya kufanya sio kigezo Cha kumuweka sehemu yoyote tu ndo Wana vuruga biashara za watu epuka sana kupunguza gharama Kwa watu wasio na ethics za Kazi husika,Wadada wa vituo vya mafuta ni shida TUPU.