Sabitlenmiş Tweet
Dr laizer nelson
2.1K posts

Dr laizer nelson
@NelsonLaizer
md,resident mmed clinical microbiology ,udom
Tanzania Katılım Ocak 2016
1.4K Takip Edilen525 Takipçiler

@2Ndulisu @Narrowbeeflying Hapana vidonge ni hormonal so side effect yake loss of libido,vaginal dryness so sio will yake
English

@Narrowbeeflying Anakuwa hakupendi tu, maana hayo mazaga unaeka ili mkulane kwa amani kila wakati.
Na hata kama yeye hana hamu anatakiwa akupe wewe mwenye hamu, ukijifanya uderstanding ndo analeta hizo
Indonesia

@chapo255 Kabisa tena Hana uwezo wa kurap ,labda asimamie project ,pia apunguze featured artistic ngoma inakuwa kama movie nani anasikilixa
Filipino

@INFLUENCERjr Hana quality ya kuchexa Simba ni Bora tuchexa false 9
Español

@MarekaMalili Very unhealthy ,sijui nani alileta hii utaratibu
Eesti


@HastaRuego Wengi tupo hizo mie sikumbuki nimeangalia video lini
Indonesia

@Adventure_36 😅😅😅😅😅tatizo simba huwa inaacha wachezaji wazuri sababu ya pressure ya mashabiki hasa wa yanga
Filipino

@maestrochance_ Hip-hop,boss,iam supplying,nk huyu genius wa rap sema
Indonesia

Mchambuzi mkongwe wa soka, Edo Kumwembe, ametoa kauli nzito akiamini kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chota Chama, anakaribia kufikia mwisho wa soka lake la kiwango cha juu. Kumwembe ameeleza kuwa mwili na miguu ya mchezaji huyo umeanza kumsaliti, akimaanisha kuwa uwezo wake wa kimwili hauwezi tena kuhimili mikikimikiki ya mechi ngumu na zenye ushindani mkubwa, jambo ambalo ni changamoto ya kawaida kwa wachezaji wanapofikia umri wa jioni katika taaluma zao.
Aidha, mchambuzi huyo amebainisha kuwa ingawa Chama bado anaweza kuonyesha cheche za ufundi wake, itatokea tu pale Simba itakapokutana na wapinzani wasio na nguvu au kasi kubwa ya mchezo. Huu ni mtazamo wa kiufundi unaozua mjadala miongoni mwa wadau wa soka nchini Tanzania, ukijiuliza kama "Triple C" bado ana uwezo wa kuendelea kuibeba klabu hiyo kwenye mashindano makubwa ya kimataifa au ni wakati muafaka wa kutafuta mrithi wake.


Filipino

@hilaly_hassani @nyandajr10 @Malengo25 @scout_viral @BracuszCadabra 2 striker,right fulback,attacker moja
Svenska

Njia pekee ya simba kuwa na timu kamili ni kuwa na watu wa maan hizo nafasi @nyandajr10 @Malengo25 @scout_viral @BracuszCadabra

Indonesia

@ThomzJoseph Simple digital economy tumeshidwa gharama ni kubwa
Filipino

@PabloYende Kabisa kimsingi uwezo wake wa kuchana ndogo sana ,Hana kipaji ni Bora ajikite kusimania project unaweza kumlipa
Indonesia














