Philip

217.9K posts

Philip banner
Philip

Philip

@PhitMathematic

Founder - intOgroup Creative & Safaris

+255 Katılım Ocak 2013
3K Takip Edilen15.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Philip
Philip@PhitMathematic·
Haicost chochote kumsalimia mlinzi/ mfanya usafi na kumuaga kwa kumwambia asante, pale unapoenda ofisi yoyote. hujui tu vile hujisikia amani pale unapojali uwepo wake.
Indonesia
37
244
931
0
Philip retweetledi
Billy
Billy@BillyTronix1·
Kumekuwa na katabia ka watu tusiokuwa na Elimu kubwa tukipata hela kupitia michongo mingine tunaanza kudharau Elimu na watu walioajiriwa! tunasahau umuhimu wa Elimu na waajiriwa katika michongo yetu kabisa!!
Indonesia
32
92
413
9.9K
Philip retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Shukrani kwa wote mliojitokeza na kupaza sauti hadi tukajua waliomkamata na alipo ndugu yetu Ninja! Sauti yetu ni kubwa kuliko uonevu wao tuendelee kushikamana haki za msingi za mwenzetu zinapovunjwa #FREENinja_Damour
Mwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
13
150
296
4.4K
Philip retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
Mwanetu Ninja @Ninja_Damour yuko Nje kwa Dhamana. Ahsante kwa kila mtu na Special shout out kwa @Cowwbama ✊👊
Indonesia
57
258
761
13.3K
Philip retweetledi
MUNGU AKULINDE NINJA🥷
Tumepata dhamana, tupo na ninja Kama utataka kumchek ni home baadae atleast kuanzia sa2 usiku Saivi atafikia kulala kwanza🤜🏿 Asanteni kwa sauti , Mungu awabariki
MUNGU AKULINDE NINJA🥷@Cowwbama

So far Jamaa yetu @Ninja_Damour ni mzima hajaguswa wala kupigwa sehemu yeyote Ubaya ni kwamba hakuweza kupata access ya chakula, toka achukuliwe alikua anakula vyakula vya wana tu Tupo kwenye process ya kupata dhamana ila bado kuna ugumu Shida haijatajwa hadi sasa

Indonesia
56
167
474
18.6K
Philip retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
DAMURU apatikane. Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu. Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika. Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka. Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi. Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka. Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza. Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea. Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake. Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi. HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa. BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
15
287
729
15.1K
Philip retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nini tunachoweza kufanya? Tumzungumze Ninja bila kukoma. Hivi ndivyo, eventually, walipatikana watu waliotekwa, nikiwemo mimi. Free Ninja Now. Muachieni Ninja jamani! Ninja uko wapi bro? Umekula? Ulipata usingizi? Are you okay, bro?
Tito Magoti tweet media
Indonesia
8
278
592
7.4K
Philip retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Polisi wanasema 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati, Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, @Ninja_Damour na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu (ambavyo hawajaeleza) na kwamba katika mahojiano ya awali ametoa ushirikiano kwa kueleza mambo mbalimbali (kwa mujibu wa taarifa yao). Hatua za kisheria zinakamillishwa ili afikishwe kwenye mamlaka zingine za kisheria. Kimsingi, tutampa msaada wa kisheria. #FreeNinja #FreeDamour
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
15
160
888
27.1K
Philip retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
"A dead man tells no tales" "Better late than Never" "Heri nusu shari kuliko shari kamili" Tunashukuru kila mtu aliyepaza sauti kumtafuta ndugu yetu Damour, walau tumejua yupo na mahala alipo. Alhamdulillah🙏
Indonesia
7
72
205
3.5K
Philip retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Kwa nini tusiache hashtag ya #FreeNinja? 1.​Inalinda usalama wa mhanga kwa kuweka macho ya dunia kwake. ​2.Inazuia tukio kusahaulika au kuzimwa. 3.​Inatuma ujumbe kuwa umma unajua na unafuatilia. Paza sauti, usinyamaze #FREENINJA
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
8
222
377
5.9K
Philip retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!! Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!! Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!! Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo! (Selfishness) Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌 Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela. #BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE. #FREE_NINJA Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Indonesia
44
418
1.3K
25.3K
Philip retweetledi
Billy
Billy@BillyTronix1·
Free Him now #FreeNinja
Billy tweet media
English
0
217
427
5.1K
Philip retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
#FreeNinja Mpaka mwanangu urejee home ✊
#FreeNinja tweet media
Indonesia
3
178
322
4.1K
Philip retweetledi
Omari Omari
Omari Omari@omari_manyama·
Mwachieni huru NINJA
Indonesia
0
28
91
1.3K
Philip retweetledi
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Ooi @Ninja_Damour hope utarudi salama Rasta!! Mambo ya kutekana ya kizamani sana 🚮
Indonesia
0
40
85
1.6K