matogoro

2.2K posts

matogoro

matogoro

@Network_321

Mbeya, Tanzania Katılım Haziran 2011
577 Takip Edilen114 Takipçiler
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
jamaa mmoja alikua na mteja bahati mbaya parking ilikua imejaa so akaomba kwenye frame ya jirani mteja apaki ila ataondoka in 30’ yule mwenye frame akagoma, jamaa akampigia mwenye nyumba kumuuliza kama angependa kuuza eneo lake akakubaliwa, kilichofata ni notisi ya siku 30.
Indonesia
43
40
648
53.9K
Celsius Ulanda
Celsius Ulanda@Celsius015·
Dem wako umemuandalia Brutal akija magetoni ila hajakuambia kama alikunywa flagyl (metronidazole) Amna rangi utaacha kuona 😂😂
Indonesia
25
55
599
46.5K
matogoro
matogoro@Network_321·
@Philosophe45141 Mim pia nina 35+ na sijui pikipik ila nimenunua shamba sehemu najiona kabisa ninahitaji kujua pikipiki maana hakufikiki kwa gari wakati wa mvua
Indonesia
1
1
1
568
matogoro
matogoro@Network_321·
@ProfessorTZA19 @yaredy30 Bado wapo wanaajiliwa waliokwisha maliza miaka ya Nyuma ila vyuo ndio vimeacha kutoa certificates
Filipino
1
0
0
30
matogoro
matogoro@Network_321·
@ItsKamala Sasa hizi parachichi za Grafring kama hass, Njombe ndio wanalima zaid kuliko hata Mbeya,
Filipino
0
0
0
33
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Mbeya kuna breed ya parachichi wanazalisha ni balaa, wanachukua miche ya parachichi ya zamani ikikua wanafanya Grafting na miche ya mbegu za kisasa. Parachichi za kule ni tamu sana na zinakaa muda mrefu kuliko hizi zetu za zamani
Indonesia
5
7
103
4.6K
matogoro
matogoro@Network_321·
@madeinmusoma Huyu kama hajawekeza vizuri hizo hela atakufa maskini mikopo yote hiyo ni muda mrefu ndio maana makato kidogo
Indonesia
0
0
1
132
matogoro
matogoro@Network_321·
@BarakaMaviatu Kama Dunia ni Flat je mwisho wake ni wapi kwa dhana ya duara inaleta maana kuwa haina mwisho kwa sababu ni mzunguko unapoanzia utarud tena pale pale
Filipino
0
0
1
15
matogoro
matogoro@Network_321·
@Jasusiwetu @Adventure_36 Sasa si zinaenda Iringa na pale ndio stend kuu ya Iringa kwa hiyo lazima ziingie stend, wakilitekeleza hili maana yake watakaza kushusha na kupakia stend bubu, hii ni kqa gari zinazoenda mfano Mbeya na hakuna mtu wa kushuka au kupakia Igumbilo linapita litashusha Mbeya stend kuu
Indonesia
0
0
0
44
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mabasi kuto kuingia kila stend kuna vituo watu hivyo wajiandae kisaikolojia gari nyingi zitanyoosha. Mfano kituo cha Mabasi Kibaha na ndugu zangu wa Makambako nao wajiandae. Kwengine wapi unaona kabisa gari ilikuwa ikiingia inapoteza muda tu.
Indonesia
37
24
338
14K
matogoro
matogoro@Network_321·
@SimonUrio434750 @Adventure_36 Umeona eeh hasa kwa Gari za Dodoma maana hata abiria wa kushuka Iringa kutoka Mbeya au Songea watashushwa Kihesa au Ipogolo
Filipino
0
0
0
16
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuanzia sasa sio lazima mabasi ya mikoani kuingia kila stend kama ilivyo awali, chuma imetoka Mbeya inakuja Dar pale Igumbilo Iringa hakuna abiria wa kushuka na gari iko full inaanyoosha tu Na mizani itakuwa inaingia mwanzo wa safari na mwisho wa safari. Hapo mnasemaje wakuu
Indonesia
51
47
677
23.2K
matogoro
matogoro@Network_321·
@esmo_moshi @Adventure_36 Kwa kweli kuna sehemu hii itakuwa nzuri mfsno pale Iringa kwa Gari za Mbeya Dodoma..Gari haina mtu wa kushuka wala kupakia ila inapitiliza kama inaenda Dar km 8, 16 na kurudi kuifuata stend ya Igumbilo
Indonesia
1
0
1
33
#Festo MOSHI
#Festo MOSHI@esmo_moshi·
@Adventure_36 Hii kitu ilikuwa inanikera sana....na nilikuwa sielewi kwa nini waingie wakat hawashushi wala kupakia? Na zingine unaacha njia unazifuata ndani ndani huko
Indonesia
1
0
1
174
matogoro
matogoro@Network_321·
@maipambomteta Nitumie toilet paper yaani mpaka niridhike basi nitatumia nusu bunda lile
Eesti
1
0
1
393
MAIPAMBO JR
MAIPAMBO JR@maipambomteta·
Ukiingia kwenye maliwato za hizi nchi,zambia,malawi,south afric botswana,namibia,ukakuta kopo la maji au alama yoyote ya mtu alie tumia maji ujue ndugu yako wa afric mashariki kapita hapo,ususan tanzania.
Indonesia
34
30
418
27.6K
matogoro
matogoro@Network_321·
@AdoniasMusa @mananajr_ Yaani unaenda na mke chemba harafu mbegu hazijapatikana? Basi hii ndoa haipati mtoto sababu ni nyingi😃 zinachangia
Indonesia
1
0
1
102
wanyajoge26
wanyajoge26@AdoniasMusa·
@mananajr_ Anaenda na mke chemba, kuna wengine huwa wanarudi hawana anasema imeshindikana , unabaki kujiuliza shida nn
Indonesia
1
0
0
1.3K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
X madaktari mtu akija kupima sperm count na amesindikizwa na mke wake Mkishampa kale kakopo kwa ajiri ya kuweka sperm mnampa na chumba cha kufanyia ili zitoke? Na kama anaruhusiwa kwenda na mke wake akienda kutoa?
Indonesia
8
12
214
24.9K
matogoro
matogoro@Network_321·
@andrew_elikana @mananajr_ Sasa Nyeto kwa mtu ambaye hajawahi kufanya ni ngumu sana kulipata bao tena kavuu..wanaofanya kila siku hata wakiibana mashine na mapaja wanamwaga
Filipino
0
0
0
237
Ellie_24
Ellie_24@andrew_elikana·
@mananajr_ Ili kuweza kupata majibu sahihi ya vipimo unatakiwa kupiga nyeto kavu bila kutumia sabuni wala losheni. Inawezekana ukafanya na mkeo ukawithdraw kwenye kile kichupa ila haipendekezwi sana coz majibu hayatakua sahihi. Kuhusu chumba ndio unapewa chumba maalum kwaajili ya zoezi hilo
Indonesia
7
0
9
3.9K
matogoro
matogoro@Network_321·
@BillyTronix1 Ila wajijue wao wanaishi nyumba za vioo, huu ugomvi wao ndio wataathirika zaidi
हिन्दी
0
0
2
587
Billy
Billy@BillyTronix1·
Taarifa zinasema UAE wanaweza declare War against Iran in next 24 hours Kama unategemea mizigo toka Dubai au unataka kununua sikilizia kwanza wiki iishe!
Indonesia
15
17
432
28.4K
matogoro
matogoro@Network_321·
@ze_mandevu Mchele wa Mbeya ni huko Dar ila ukija Mbeya tunaambiwa mchele huu Kamsamba yaani wa mchele Mbeya tunaoishi Mbeya hatuutaki
Eesti
0
0
2
164
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Haya machungwa kutoka Tanga, huu mchele kutoka Mbeya. Ongezea utapeli mwingine unaoujua wewe.😂
The mandevu tweet media
Filipino
75
27
321
10.1K
Faraja | Mkulima
Faraja | Mkulima@faraja_zungu·
Mpaka sasa ni nini kinakuzuia kuingia kwenye kilimo?
Filipino
13
11
60
3.5K
matogoro
matogoro@Network_321·
@Kingsley_25 Na Umpate wa Kyela, wana dharau sana...siku wakitoa Rais wale tumekwisha
Filipino
0
0
0
148
وسيم
وسيم@Kingsley_25·
Tofauti ya Msukuma na Mnyakyusa ni Msukuma akiwa educated ana improve, na ushamba unatoka. Mnyakyusa anabaki na Unyakyusa tu hata aende Harvard.
Indonesia
24
26
182
15.1K