Sabitlenmiş Tweet
#Festo MOSHI
11.9K posts

#Festo MOSHI
@esmo_moshi
Houdin of Cheaters....
Kilimanjaro Katılım Aralık 2015
57 Takip Edilen220 Takipçiler

@Tinahcristiaan @angelbellerin02 @Ngattaboe99 Naona njia nzuri ni kumalizana na mtu wangu lamda ka ilitumika nguvu....huwa naona hata nikipambana na nlomfumania kesho anaeza mpa mwingine tena.
Filipino

@angelbellerin02 @Ngattaboe99 Kama
yy rijari kwanini asidili na hyo mkewe aliyeamua kuwa duka la ushirika🥱
Indonesia

@PolycarpMDM Anasema dr Remy samaki akila binadamu ni habari, lkn binadam akila samaki kimwa
Indonesia

MUWINDAJI RAIA WA MAREKANI ALIYEKANYAGWA NA TEMBO MPAKA KUFA.
Mwindaji tajiri Ernie Dosio raia wa Kimarekani mwenye umri wa miaka 75 amefariki nchini Gabon katika eneo la msitu wa Lope-Okanda baada ya kukutana uso kwa uso na tembo wakati wa safari ya uwindaji porini.
Taarifa zinaeleza kuwa akiwa katika uwindaji alikutana ghafla na kundi la tembo jike waliokuwa wakimlinda mtoto wao, na ndani ya sekunde chache walimshambulia kwa kasi.
Mwongoza watalii alijeruhiwa vibaya, lakini mwindaji huyo alikanyagwa na tembo hao hadi kupoteza maisha.

Indonesia

@Adventure_36 Matv ya juu yanakera sana...unasinzia ukishtuka unakutana na mwanga wa tv had macho yanauma
Indonesia

@RITATanzania @RITATanzania najaribu kubadili cheti cha kuzaliwa nikifika kwenye kuupload files naambiwa attach cheaked attachments wakati nimeattach au yeyote anaejua anisaidie
हिन्दी

Je, ni huduma gani unayohitaji kuifahamu kutoka RITA siku ya leo?.
Karibu tukufahamishe mdau.
Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu ya bika malipo; 0800117482 au tembelea tovuti yetu ya rita.go.tz.
Indonesia

@tagatojtagato Ningekuwa serekali siwaruhusu wajenge uwanja hapo....ni kuzidisha msongamano eneo la katikat ya mji
Indonesia

@Network_321 @Adventure_36 Hii ni hasara tu kwa waendeshaji....hapo bagamoyo ni barabara tu imechepushwa eti uingie ulipe...
Indonesia

@esmo_moshi @Adventure_36 Kwa kweli kuna sehemu hii itakuwa nzuri mfsno pale Iringa kwa Gari za Mbeya Dodoma..Gari haina mtu wa kushuka wala kupakia ila inapitiliza kama inaenda Dar km 8, 16 na kurudi kuifuata stend ya Igumbilo
Indonesia

@BarakaMaviatu Ukikaa maeneo fulan ya Bagamoyo jion unaona Taa
Indonesia

@EngMapundajr @GideonMrema Na kodi ya barabara ile iliyokuwa Road license, afu ingependeza iwe na kias kabsa kuna kipind niliona @IAMartin_ ameichambua
Filipino

@unlimited_ls Bodaboda they behavior is same worldwide, only they are not alowed to carry two people there
English

NEW: Police seize nearly 80 dirt-bikes and ATVs after trapping dozens of teens during an illegal street takeover on a California bridge (HELICOPTER FOOTAGE)
Video shows riders trying to push through traffic to get out, before realizing every exit was blocked
Most of them ended up abandoning their bikes and running on foot
Nine people were arrested, including one who tried to hide in the water. Police also recovered two firearms and impounded several vehicles used in the takeover
English

@Hon_KibayasiF Ndo maana wakati nipo shule nilikuwa na demu chalinze so nikitoka home nasema naenda kibaha kwa rafiki yangu...najua ukitokea msala njian nikisema tulienda ruvu kutembea au chalinze kwa ndugu yake inasound
Filipino

@esmo_moshi Nakumbuka kuna Binti wa chuo wazazi wakijua mtoto wao anasoma kumbe alikuwa safari kwenda kwa Mchizi...🙌🙌 Hii ajali sio poa 🤝
Indonesia

@BlacDaady Tuliwahi fanya kituko mitaa ya tandale tupo na Noah letu dereva akatuwekea ligi tukamwacha aende tukakaa nyuma akipunguza mwendo tunapunguza akisimama tunasimama mbona alikuja kuomba msamaha...
Indonesia

@deosparta @PolycarpMDM Ninachosema ni parachichi inayolimwa Njombe sio ya kula(haina ladha ya parachichi ya Rombo au Tukuyu) kitachofuata hawa watakata miti ya asili waoteshe ya Njombe mwisho tutapoteza mbegu ya asili
Indonesia

@esmo_moshi @PolycarpMDM Tanzania tunalima sana hatuwezi fikia hio stage huku Ruvuma watoto shule ya msingi wana mshamba ya eka moja akipata gunia 16 za mahind kavuna na marafiki zake siku zinasonga.
Indonesia

@KennedyMmari Tumeenda kutengeneza tuta pale sisi....afu baada ya miaka 10 mtu atakuja na wazo lingine
Eesti
















