Ntiga Kalyango MD

3K posts

Ntiga Kalyango MD banner
Ntiga Kalyango MD

Ntiga Kalyango MD

@Nkalyango5

MUHAS Alumni MUHASSO PRESIDENT 2021/2022. A father/A proudly Husband.

Muhimbili, Dar es salaam Katılım Temmuz 2018
3.8K Takip Edilen5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ntiga Kalyango MD
Ntiga Kalyango MD@Nkalyango5·
In medical studies, Make sure a fellow doctor is well equipt with skills as you do, because you're his next patient.
Ntiga Kalyango MD tweet media
English
9
13
205
0
Frank Edward Arabi (FEA)
Frank Edward Arabi (FEA)@DrArabiFrank·
ARABI TABATA CUP 2025. Mashindano yanahusisha timu 8 za mitaa ya kata ya Tabata na yanalenga kuhamasisha michezo kwa vijana, kukuza vipaji, kujenga afya na pia kuhamasisha vijana kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Frank Edward Arabi (FEA) tweet media
Indonesia
25
16
57
5.4K
Ntiga Kalyango MD retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI? Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued kwa tuhuma za Jumlà. Msingi wa Malalamiko ni Kwamba Uongozi wa Chuo uliwaambia
Filipino
193
316
1.5K
197.3K
Bwanashamba wa taifa 🇹🇿
Ukiwa uwanjani ukimpasia mtu alafu umwambie "Easy easy" uku unafuataa,unaonekana player sana😄
Indonesia
6
4
30
1.3K
Ronald Gordon
Ronald Gordon@Gordonronaldron·
@swahilitimes Ramsi utawala wa Joka imeingia America alinenwa kwenye ufunuo 13:11, its a time kila mmoja ajitafakari juu uhusiano wake na Yesu maana Dunia inapoelekea inaenda kwenye kilio kikubwa ambayo haijawai kutokea( Dan 12:1) mwenye sikio na asikie, na mwenye kudharau na aendelee.
Indonesia
50
5
96
18.7K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya maafisa wawili kutoka USAID kujaribu kuwazuia wafanyakazi wa Idara ya Musk kuingia kwenye mifumo ya usalama ya USAID.
Swahili Times tweet media
Indonesia
80
106
1.8K
185.7K
Salés Nicco
Salés Nicco@OnlineDentistTz·
Tanesco wakiona tu mvua, Wanazima switch haraka umeme usije ukalowa.
Indonesia
4
3
25
1.4K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Huyu hata kwa Kumwangalia unaona kabisa Hana Tamaa za Fedha, Nyama na Pombe za bure!
Filipino
76
59
883
41.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Wenje sikiliza , jana nilichelewa kulala hivyo nimechelewa kuamaka , nimekuta missed call na meseji nyingi sana kutoka kwa friends na ndugu zangu , wanauliza Kaka G bado huyu mtu ni rafiki yako ? Nikawauliza , kwa nini ? wakasema , alikuwa kwenye Press yake leo, kila akiongea anasema , Lema rafiki yangu !! tumeshituka !! Nikawaambia , aache ujinga huyu , nitamtafuta nimuonye , ikabidi niwaambie yaliyo nikuta Juzi Break Point , nilikuwa na rafiki yangu anafanana na Wenje , nikawa naona naangaliwa vibaya , mmoja wa rafiki namjua akanitumia meseji , jitenge na huyo boya Kaka Lema kwani anakuharibia heshima, Wenje leo tena unajaribu kuniharibia heshima yangu , pls pls acha. Kwa sasa mimi sio rafiki yako , tunahitaji kuongea sana tena mbele ya Mchungaji wako. Umechafuka sana . Upumbavu mwingine uliongea sio mbaya sana isipokuwa hili la kuniita mimi rafiki yako.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
346
223
2K
233.1K
Frank Edward Arabi (FEA)
Frank Edward Arabi (FEA)@DrArabiFrank·
Kuhusu ukomo wa Madaraka: Baada ya kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Madaktari Tanzania kwa miaka minne (miwili chini ya Dr. @MwaibambeS na miwili chini ya @DJN_2025), mwaka huu chini ya Dr. @mugishankoronko niliamua kukaa pembeni, nikiamini watakuja wenye maono mapya.
Frank Edward Arabi (FEA) tweet mediaFrank Edward Arabi (FEA) tweet media
Indonesia
6
3
43
4K
NtemiOntuzu😇🇹🇿♎️
Katika uuongozi wa raisi wa @muhasso1 ndugu @msangiben kulifanyika first walkathon ya kwanza @muhimbiliuniver kwaajili ya kuchangiza fedha ili kuweza kutoa chanjo ya HepB kwa wanafunzi wa MUHAS. Tukio hilo liloongozwa na aliyekuwa raisi wa awamu ya pili hayati A.H.Mwinyi.
SHAIBU ISSA@shaibu_issa0

“History in the making at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Today, we witnessed the launch of a groundbreaking initiative where 500 students and 100 staff members received the life-saving hepatitis B vaccine, a monumental step supported by the Abbott Fund. I was deeply honored to address students about the global, regional, and national prevalence of hepatitis B and emphasize the urgent need for vaccination to protect lives. A huge thank you to Prof. Janabi, the visionary head of national muhimbili hospital and President Health Advisory, for granting me the platform to speak, and to Ntuli Kapologwe for making my presence possible. Engaging with student leaders and hearing their powerful insights was a reminder of the potential we have to create a healthier future. This initiative is a beacon of hope, setting a standard for institutions and nations to follow. Together, we can turn the tide against hepatitis B. Let this inspire more organizations to take bold steps toward eliminating this silent epidemic! @moddyyakubu @cdchep @GlobalHep @MuhimbiliTaifa @muhimbiliuniver @hepatitismag @YudaSulePascha1 @SuluhuSamia @BongeLaAfya

Indonesia
4
0
6
824
Big JTC
Big JTC@LifeofDeo·
@Mrsdaviee Ni rahisi kwasababu hapa bado tunaongea Kiswahili Ngoja ianze kuongea Kiingereza kama Gypsum, Aluminum 😁😁
Indonesia
7
2
33
5.7K
Ms Bee🌹
Ms Bee🌹@asiliasali·
Kumbe ni rahisi😅
Ms Bee🌹 tweet media
Eesti
154
81
937
132.9K
Ntiga Kalyango MD retweetledi
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Niweke wazi pasipo kupepesa macho. Sipendi UNAFIKI. Ninamsapoti Adv. TUNDU A. LISSU kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Lissu ni kiongozi wa mfano & watu wa aina yake hutokea kwa nadra sana. Niwasihi sana wapigakura, msifanye SIASA kwenye hili. Lissu ndiye mtu anafaa kwa sasa.
Baba Mwita tweet media
Indonesia
113
371
1.9K
48.3K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Second Master of Laws (Human Rights and Democratisation in Africa) degree from the University of Pretoria secured. Thanks God🎓🎓🎓!
Tito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet media
English
993
922
6.3K
402.2K
Amosi Absalom
Amosi Absalom@Keyllipa·
🎓 Excited to share a proud milestone: I’ve officially earned my MSc in Health Economics and Policy from @muhimbiliuniver 🎉 Grateful for the journey, the lessons, and the incredible support along the way. Here's to driving impactful change in health systems 📚 #HealthEconomics
Amosi Absalom tweet media
English
27
15
106
9.8K
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Naibu Waziri wa Afya Dk Mollel akagombee nafasi ya WHO kanda ya Afrika.
Indonesia
128
23
684
44.1K