euphraim , MD

756 posts

euphraim , MD banner
euphraim , MD

euphraim , MD

@euphraim05

Doctor of medicine(2020) , MUHAS . Resident OBGYN AKU .

Katılım Kasım 2021
716 Takip Edilen158 Takipçiler
Franklin Tissa
Franklin Tissa@franklin_tissa·
Ukimsikia Mpina na jinsi wananchi wanavyoshangilia juu ya mnunuzi mmoja suala la Pamba, ni tofauti na msomali anavyoeleza kabisa.
Indonesia
11
18
214
14.4K
euphraim , MD retweetledi
Learn Something
Learn Something@cooltechtipz·
Why life rewards action over intelligence.
English
7
75
334
49.3K
euphraim , MD retweetledi
Ole Gunnar
Ole Gunnar@OleGunnarSolksj·
Heche na team yake appreciation tweet! Je, wajua kuwa Chadema kupitia viongozi wake @HecheJohn na @jjmnyika hufanya hadi mikutano 4 kwa siku? Na muda tunaokuwa tumelala, wao huutumia kuhama kutoka wilaya/mkoa mmoja hadi mwingine? Imagine hiyo dedication!! Na hapo hawana ruzuku!
Ole Gunnar tweet mediaOle Gunnar tweet media
Indonesia
7
114
560
8.2K
Frank Edward Arabi (FEA)
Frank Edward Arabi (FEA)@DrArabiFrank·
Kuna malori kama matano yamepaki barabarani (tangu jana). Hatuwezi kuwaamuru wapaki nje ya Morogoro road ili kuondoa hii foleni? @tanpol
Indonesia
3
0
9
1.5K
euphraim , MD retweetledi
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
BREAKING: Makamu M’kiti wa Chadema, John Heche amenusurika kuuwawa huko Igunga baada ya mkutano wake kuvamiwa na wahuni waliokuwa na Visu pamoja na Mapanga. Wahuni wao wamedhibitiwa na wananchi. Tunaendelea kukusanya taarifa. Tukio hilo lilipangwa na Waziri Mohamed Mchengerwa.
Filipino
10
87
452
14K
euphraim , MD retweetledi
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸@davitheempire·
Wamepaniki kila MUHIMILI unahasira na CHADEMA -BUNGE linashambulia ,MAHAKAMA inashambulia na hawa SERIKALI ndio kabisa wanashambulia kila mwananchi anaeonesha kuwa KINYUME nao hii ni hatari ila inabidi tupitie hata wakituuwa leo wapo watakao baki na kuwa Mashujaa ✍️✊️
Indonesia
1
4
29
433
euphraim , MD retweetledi
Mr Andre's
Mr Andre's@AndrewMrAndres·
Leo nimeamka roho yangu inaniuma sana napopita kwenye page ya MDUDE. Hivi ni kweli tumekubali mwenzetu apotezwe? Ukimya wetu unatoa tafsiri gani? Nafsi inasema ndugu yetu bado yuko hai,WE HAVE TO FIGHT TO GET HIM BACK.@Mwabuk2Boniface @HecheJohn @MariaSTsehai @TitoMagoti
Mr Andre's tweet media
Indonesia
6
31
78
2.9K
euphraim , MD retweetledi
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Katika makosa ambayo tunafanya kama wa Tz, ni kudhani taasisi ya kwanza kurekebishwa ni Tume then polisi 65% ya matatizo ya Tz ipo ikulu, 20% ipo Mahakama Mengine yote yanatokana na udhaifu hapo juu. Siku polisi, Tume wakijua Mahakama inatenda haki, meza ya 65% inapinduka
Indonesia
16
62
357
7.7K
euphraim , MD retweetledi
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Kusitisha shughuli za Chama cha siasa ni uamuzi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea…!
Indonesia
59
55
698
36.4K
euphraim , MD retweetledi
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
CHADEMA ikivuka salama mambo yote haya inayopitia napendekeza tukikabidhi NCHI chama hiki kimekomaa sana.
Indonesia
11
118
909
18.5K
euphraim , MD retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
The 7th
Think Different tweet media
English
21
85
515
8.5K
euphraim , MD retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mwaka 2020 Hamidu Mwanga Alikua Mkurugenzi Wa Usimamizi Wa Uchaguzi Mwaka 2025 Hamidu Ndie Jaji Aliyetoa Hukumu Ya Kusitisha Shughuli Za CHADEMA Kwa Siku 14 Huyu KIBAKA ndie alievuruga UCHAGUZI MKUU 2020, leo huyu KIBAKA anaifungua CHADEMA isifanye kazi zake siku 14 ZANZIBAR. Tunapambana na DOLA, hili haliturudishi nyuma hata kidogo. Hii nchi itakombolewa mtake msitake. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
41
105
506
27.7K
euphraim , MD retweetledi
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Mwenyekiti kesi ya Uhaini, wakaendelea mbele G55 🤡na genge lao wakaibuka, bado wakasonga Msajili akaficha ruzuku, wakasonga Viongozi wao kuzuiwa movement Wanachama kuvunjwa miguu, kutekwa, kudhalilishwa Sasa ni zamu ya Mahakama CHADEMA imekua kama Musa mbele ya Farao
Indonesia
4
139
645
9.4K
euphraim , MD retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
Neno No reform no Election na Jina Chama cha Mapinduzi ni maneo halali katika mukhtadha wa kisiasa. Si tarajii kushuhudia siku CCM ikitoka madarakani viongozi wake kutuhumiwa kwa uhaini kwasababu ya jina la chama chao maake ujinga ukitamalaki hekima huchagua kunyamaza. Tuwe timamu kwa kuzingatia mukhatadha wa neno au jina kulingana na mazingira ya neno au hali ya jambo husika. TUMEANZA MAHAKAMANI. Haki ya,Mdude Mpaluka Nyagali ni Haki ya Binadamu. HATUTA KAA KIMYA wewe ni Ndugu na Rafiki.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
26
216
1.1K
31.6K
euphraim , MD retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kama hapa ulimuelewa Mwenyekiti Mhe. @TunduALissu huwezi kubabaishwa na yanayotokea! Aluta Continua 💪💪💪
Indonesia
18
235
887
22.5K
euphraim , MD retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
TAARIFA KWA UMMA
John Pambalu tweet mediaJohn Pambalu tweet media
Indonesia
23
169
590
15.1K
euphraim , MD retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
The team, thank you very much kwa kazi nzuri. Mmefanya kazi nzuri sana . #NoReformsNoElection
John Heche tweet media
English
118
544
3.2K
43.3K
euphraim , MD retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Wimbo wa MCHUNGAJI MBARIKIWA akiwaita wachungaji wenzie ambao wamekuwa vinara wa MIUJIZA kwenye jamii. REPOST WIMBO HUU UTEMBEE. TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
16
232
519
14.5K
euphraim , MD retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
The movement is thriving @TunduALissu stood firm when many didn’t understand! Alijitoa mhanga akaweka mguu chini akasema “#NoReformsNoElection ndo njia pekee !” Leo yupo gerezani na kesi feki ya uhaini ila harakati imechangamka! Mbeba maono! Sambaza ujumbe #NoReformsNoElection
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
46
438
1.2K
19.6K