Sabitlenmiş Tweet

Mpasuko unaotishia kugawanya Bara la Afrika ni sehemu ya East African Rift System (EARS)..,
Mfumo wa nyufa unaopitia Afrika Mashariki...
Mchakato huu wa kijiolojia umeendelea kwa mamilioni ya miaka na hatimaye unaweza kugawanya sehemu ya Afrika Mashariki na kuunda bahari mpya...
🧵Shuka na uzi upate madini haya ya maana kabisa kujua....👇

Indonesia














