Nuru Gulila

5.1K posts

Nuru Gulila banner
Nuru Gulila

Nuru Gulila

@Nuru_G

Mkulima wa Kati

Katılım Eylül 2017
256 Takip Edilen726 Takipçiler
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Utaimba wimbo gani wa kumsifu/ kumwabudu Bwana Yesu?
Mwemezi Rwiza, PhD tweet media
Indonesia
23
5
70
3.7K
Hussein Massanza
Hussein Massanza@massanzajr·
Inasemekana zaidi ya 80% ya wachambuzi na watangazaji wa vipindi vya michezo ni Deiwaka na hawana Mikataba ya Ajira, wanalipwa posho tu, mengine wanaambiwa WAJIONGEZE! Hapo kwenye “kujiongeza” sasa hapooo ndio balaa😅😅😅
Indonesia
27
33
726
36.3K
Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway·
Natamani siku Moja nione Maabara kwenye masoko yetu , kama Nyama inavyopimwa kabla ya kuingia buchani basi kwa nini Nyanya na mboga mboga zisipimwe kabla ya kuingia sokoni pia ? Tunakula sumu sana bila kujua
Eng Octavian Lasway tweet mediaEng Octavian Lasway tweet media
Indonesia
4
7
35
6.1K
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@jwise017 "Nilikutana na kademu asee kakaali, Kapo kaunta mi nakunywa safari" The guy from Kigamboni
Filipino
1
1
0
164
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@1TraVeLA Huyu dogo ni mzuri sana, angalia anavyopokea mipira pamoja na movements zake, then ana speed na mashuti. Bado kidogo asaidiwe kwenye decision making, ni kama alivoanza Mzize
Filipino
1
0
0
8
Godfrey Achireka Jr.
Godfrey Achireka Jr.@1TraVeLA·
Edmund John ana kitu
Formigine, Emilia Romagna 🇮🇹 Suomi
1
2
4
1.3K
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@Udadisi Na tusali ile sala aliyotufundisha Baba yetu...... Usitutie katika kishawishi...... 😅
Eesti
0
0
0
25
UDADISI
UDADISI@Udadisi·
Ni…?
QST
1
1
0
606
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Kesho nitaongea na waandishi wa habari kutokea hapa kijijini kwangu Matombo. Waandishi wote na watu wenye mapenzi mema na nchi yetu mnakaribishwa sana. Kidumu chama cha mapinduzi ✌🏿
Indonesia
7
5
52
17.5K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Wakati wa kutia nia ilikua haipiti siku watu hawajampost Mama yao 😆
Indonesia
14
24
460
15.2K
MichaelMwebe
MichaelMwebe@MichaelMwebe·
Jirani anasulubiwa kama nguruwe aliyejaribu kuingia msikitini.
Indonesia
19
6
199
6.5K
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@k_mjege Timu ya bwana Kacheka na mjomba wake Hemedi
Indonesia
0
0
0
34
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Hii Hali ya baadhi ya watu kushangilia anguko la Taifa Stars shida nini? Tumekosea wapi jamani kama jamii? 🤔
Indonesia
47
6
142
18.7K
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@bohny_chengula Sasa kocha hata Ihefu hawezi kufundisha ndo anapewa starz ? Kocha ana kinyongo na wachezaji, kocha anataka uwakala wa wachezaji, asiyekubali haitwi. Nyambaaf zake na Kacheka wake
Indonesia
0
0
0
53
Boniface Chengula
Boniface Chengula@bohny_chengula·
Kocha ndo hatuna bwana, ni kocha mzuri, ila ili tuwe bora zaidi, tunahitaji kocha mzuri zaidi.
25
9
339
22.9K
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@1TraVeLA Kamwe kasema, kama mtu wachezaji wake wanafeli majaribio Marekani hana ubavu wa kuwasema Kuala lumpur
Indonesia
1
0
0
213
Godfrey Achireka Jr.
Godfrey Achireka Jr.@1TraVeLA·
Wakati Wydad AC haaaja activate kumnunua ki azizi kwa 100% , Mjadala ulikuwa Aziz Ki akirudi Yanga atakuwa amefeli,. Haya "MZAWA" Seleman Mwalim akirudi Hapo Tanganyika nae atakuwa amefeli?.. Au wazawa hawafeli?
Indonesia
1
0
3
499
Nuru Gulila
Nuru Gulila@Nuru_G·
@MichaelMwebe Wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye cashless, makato yao ni nafuu zaidi kulinganisha na mitandao ya simu na benki zote
Filipino
0
1
2
241
MichaelMwebe
MichaelMwebe@MichaelMwebe·
Selcom wamekuja kivingine kwenye malipo ya mtandaoni na inaonekana inawalipa. Wamepandisha faida kutoka 209m hadi 1.11b kipindi cha nusu mwaka wa 2025. Waliinunua Access Bank. Ikawasaidia kuondoa 'madalali' hivyo kufanya malipo yao ya mtandaoni kuwa nafuu zaidi.
Indonesia
8
9
166
3.9K
Godfrey Achireka Jr.
Godfrey Achireka Jr.@1TraVeLA·
I told her since we are celebrating your 25 years in the music industry , Let's start by wine tasting at @masiwines ... Eyoo @jidejaydee we are just getting started!.. 📸 by mamake Martino & Irene #Nakapanyastyle
Godfrey Achireka Jr. tweet media
Lazise, Veneto 🇮🇹 English
6
11
26
5.4K
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Uongozi wa Young Africans Sports Club unatoa shukrani za dhati kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa zawadi ya shilingi milioni 100 kutokana na mafanikio makubwa tuliyoyapata Msimu wa 2024/25. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC tweet media
Indonesia
16
32
596
13.9K