Ochu Semniga

565 posts

Ochu Semniga

Ochu Semniga

@OSemniga

simba sc,Manchester city,fc Barcelona,messi fan....

neutral Katılım Mayıs 2022
285 Takip Edilen127 Takipçiler
Ochu Semniga
Ochu Semniga@OSemniga·
@MfalmewaX1 Sisi wenyewe mashbk wa messi tunaonaa unavyoteseka kumzungumziaa messi kuliko ronaldo
Suomi
0
0
0
31
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Dear wafalme, Mashabiki wa Messi wanaamini Messi ni GOAT lakini wanachanganyikiwa kila wanaposikia jina la Ronaldo. Wanatumia nguvu, sauti kubwa na kukejeli "Una akili ndogo" Wanasahau kuwa akili ndogo ni kumlazimisha mtu akubali kitu asichokitaka.
Indonesia
10
2
40
1.1K
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Dear wafalme, Nimemuona Messi kwenye ubora wake 2009 - 2015 na bado nikamchagua Cristiano Ronaldo ni GOAT. Kama sikubadilisha mawazo kipindi hicho, usitarajie nitabidilisha mawazo kwa kucheza na Algeria, kumuonea Uholanzi, Cape & Misri NB: Adidas ni Sponsor wa FIFA & Messi.
Filipino
75
14
191
9.9K
Barça Fanatic
Barça Fanatic@ShafourQ·
@Fikra_pevu Maneno ya mkosaji hayo. Deep down Cristiano anataka sana kushinda hilo kombe ila ndio haijakuwa bahati yake. Unafikiri kwa umri wake ingekuwa ndondo cup angeshiriki? Kutumia akili sio kosa la jinai ndugu, zitumie mara moja moja basi!
Indonesia
1
0
6
575
Nathan Paul Jr
Nathan Paul Jr@Fikra_pevu·
Hapo unaambiwa hajaweka kombe la Saudi Pro League. The most decorated player in football history ever Absolutely Genius , weka akilini hii , kwenye mziki tuna Michael Jackson, Movie SRK na mpira ni Cristiano Ronaldo.
Nathan Paul Jr tweet media
Filipino
44
7
76
11.2K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kipengele kinakuja ukiambiwa umchague mmoja hapa.😅🫵
Suomi
57
56
338
35.1K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya SPAIN anamtoa FRANCE SEMI FINAL… Alafu ENGLAND anamtoa SPAIN FAINALI… ENGLAND BINGWA 💪🏽💯
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Nimeangalia karibu kila mechi ya World Cup hadi sasa. Na kuna kitu nimekigundua… France ndio timu tishio zaidi kwenye mashindano haya. Watu wengi wanaangalia vipaji vyao, lakini kinachowafanya wawe hatari pamoja na majina makubwa walionayo … mfumo pia unachangia… France hawalazimishi kumiliki mpira. Wanakuruhusu uufurahie, halafu wanakusubiri ufanye kosa moja tu. Ukipoteza mpira sehemu mbaya, ndani ya sekunde chache unakuwa umefungwa. Hiyo ndiyo silaha yao kubwa: transitions na counter attacks. Kwa maoni yangu, kuna timu mbili tu ambazo zinaweza kuwadhibiti wakikutana nazo. 1. Spain 🇪🇸 Ingawa siwapendi (wanapenda kuwaweka wachezaji wetu wa Arsenal benchi 😂), lakini kisoka ni lazima niwape heshima. Spain wanacheza positional football. Short passes, movement ya hali ya juu na control ya tempo ya mchezo. Wanapoteza mpira mara chache sana, hivyo wanaipokonya France nafasi ya kutumia silaha yao kubwa ya counter attack. Kwa kifupi… France ni kama Real Madrid. Hawahitaji kutawala mchezo ili washinde. Spain ni kama Barcelona. Wanakunyima mpira, wanakuchosha na wanakuzuia kabisa usicheze mchezo wako. Ila barcelona inawapiga madrid mkono kila wakikutana na Mbappe wao🤣 MFUMO 2. England 🏴 Watu wengi wanawabeza, lakini England wana kila kitu cha kwenda sawa na France. Nguvu, kasi, depth ya kikosi, aerial threat na uwezo wa kushambulia kwa pande zote. Pia wanaweza kupress juu au kushuka chini kutegemeana na mchezo unavyotaka. Na kwa utani kidogo… France wanafanana na PSG. Lakini PSG wakikutana na Arsenal huwa hawaonekani wale wale. 😅 AKINA dembele walipigwa hadi Sub… bila Gabriel kupaisha penalty kombe lilikua letu lile😂 England wana wachezaji wengi wanaocheza pamoja Premier League, chemistry yao ni kubwa kuliko watu wanavyodhani. Kwa hiyo, kwangu mimi… 🥇 France bado ndio favorites. 🥈 Spain ndiye matchup mbaya zaidi kwao. 🥉 England ndiye timu inayoweza kuwapa vita ya kweli. Mpira hauna hesabu za moja kwa moja, lakini styles make fights. Si kila timu bora ndiyo inayoweza kuifunga timu bora zaidi. Wakati mwingine mfumo mmoja ndiyo unaua mfumo mwingine. Haya ni maoni yangu baada ya kuangalia karibu mechi zote za World Cup hadi sasa… Je, wewe unaona ni timu gani inaweza kuisimamisha France? Au unaamini hakuna wa kuwazuia mwaka huu?

Suomi
22
12
86
7.7K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
🚨JUST IN; Mohamedi Damaro kwenda simba ni swala la muda tu Maslahi binafsi baina ya timu na mchezaji yashaafikiwa Steve backer amevutiwa na uchezaji wa fundi huyu Wanasimba mmepata Mali☑️
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
28
13
108
6.8K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Kwahiyo hii ndio penalty? 😀😀
Filipino
6
1
23
3.5K
Ochu Semniga
Ochu Semniga@OSemniga·
@EsirEid England wanatolewa na norwy then Norway wanawatoa Argentina
Polski
0
0
0
92
Ochu Semniga
Ochu Semniga@OSemniga·
@cleansheet_1 Huyo Kristoffa mbn nae kacheza na afcon kashindwa kupata hata goal kaja kutolewa na timu iliyoshindwa kuifunga timu ya afcon
Indonesia
0
0
0
52
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Msimu huu wa WORLD CUP tunamuimba ANDUNJE lakin kiuhalisia andunje hayupo world cup Yuko zake bize na AFCON ndio mana kacheza na -Algeria -Cape verde Saivi tena anaenda kucheza na Misri Nitakua wa mwisho kuamin kua hio ni WORLD CUP🚮🚮
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
63
21
113
9.8K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Huyu dogo MBUZI angemtoa nyumbani ampeleke ata kambi huko, Kashaapevuka na mama yake wa kambo bado wa moto hii itakua mbaya
Mr cleansheet tweet mediaMr cleansheet tweet media
Indonesia
40
18
465
53.1K
𝐁𝐞𝐤𝐞𝐞
𝐁𝐞𝐤𝐞𝐞@chiamakaafc·
Name a Country in this World Cup without letter "A" in their name You actually can’t 😂
𝐁𝐞𝐤𝐞𝐞 tweet media
English
6.8K
158
3.3K
693.9K
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMtetezi·
Picha Ya Kwanza Ni Mtu Anayefwatilia Msafara Wa John Heche Kila Aendapo Picha Ya Pili Ni Mtu Aliyeua Raia October 29 Sasa Angalia Hizi Picha Kwa Umakini, Angalia Mkononi hiyo Bangili, Angalia Aina Ya Mavazi Anayopenda Kuvaa, Umbo La Mwili, Rangi Ya Ngozi Unaona Ninachoona?
Mchokozi !! tweet mediaMchokozi !! tweet media
Indonesia
74
142
770
37.7K
Ochu Semniga
Ochu Semniga@OSemniga·
@mwenyenchii Mswada wenyew ni AI picha mjongeoo nyie endeleeni kuchapa kazi...😀😀😀 si tunajua maskin hana kiapoo
Indonesia
0
0
0
545
MWENYENCHI 🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿@mwenyenchii·
Tulieni mliamua kupuuza sauti za wenye hekima kina WARIOBA akiwemo Polepole..tamaa zenu zinalipeka taifa shimoni bila aibu bado mnaendelea kuteka ngoja tuone kati ya Mwenye umri wa miaka 200+ ya uhuru na wew mwenye 60 nani mwenye akili mnaendekz propaganda juu ya Damu za watu
Indonesia
41
95
619
66.5K
Sevilla FC
Sevilla FC@SevillaFC_ENG·
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿 An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Sevilla FC tweet media
English
273
1.2K
9.7K
168.1K
Ochu Semniga
Ochu Semniga@OSemniga·
@millardayo Uchizi mwingi sanaa Asa madini ya @rioferdy5 wap na wap yan awa majamaa wanatuona raia kama hatuna kabisa akili
Filipino
0
0
0
550
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema ujio wa Rio Ferdinand Nchini una faida kubwa ikiwemo upande wa uwekezaji ambapo Mchezaji huyo ameahidi kuishawishi Kampuni ya Rolex waweke madini ya Tanzanite kwenye Saa zao ili kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite. Akizungumza leo Mei 22, 2026, Jijini Dar es salaam, Makonda amesema “nitakupa mfano mmoja, wanaotengeneza saa za Rolex ni rafiki zake Rio, juzi ndoto yake kuwashawishi Watengenezaji wa Rolex duniani waweke Tanzanite kwenye Rolex iuzwe duniani na Tanzanite yetu ipande thamani, wewe unataka kupost? Huwa nasema hivi Majenerali wakiwa wanajadiliana jambo wewe Kuruta kaa kimya” “Wizara yetu tuna ndoto ya kuhakikisha tunatumia kila connection tuliyonayo kutoa mchango chanya kwa faida ya Vijana wetu Tanzania, ana ndoto kubwa ya kuwafanya Wachezaji wakubwa Ma-legend kuja Tanzania, sisi hatutoacha kuwaleta Watu wenye ushawishi Duniani, maisha ni kupambana na kujaribu, nawaomba Vijana wenzangu mmeshawahi kufikiria kama Mlima Kilimanjaro ni Mlima mrefu Afrika na kwa Dunia wa pili tujiulize tumeshawahi kupost?, tumeutangaza?” Amesema Makonda #MillardAyoUPDATES
Indonesia
159
15
201
44.2K
Oladoja
Oladoja@_onlyscott·
Guess the player VERY HARD
Oladoja tweet media
English
668
195
638
58.3K
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Ukitaka kujua Manchester City nitimu ndogo, angalia wameshinda kombe lakini hakuna ambae anajari!! Yaani hawana fan base kabisa. 😂😂😂😂
MJUKUU (Fan) tweet media
Indonesia
34
19
151
3.9K
Cyril💙❤️
Cyril💙❤️@Cyrilfcb__·
Guess the player? Very Hard.......🤔
Cyril💙❤️ tweet media
English
175
90
400
11.1K