OB
22 posts


Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea katika mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema maandalizi ya timu yetu yamekamilika na tumejipanga tofauti na mchezo uliopita.
“Tumekuwa na siku tatu za kujiandaa na tunautazama mchezo huu kivingine kabisa, tutakuwa na mpango mwingine tofauti na ule wa mchezo uliyopita kwa kuwa haya ni mashindano mengine,” Pedro.


Indonesia


@zoetjesheeftX Familia zetu zina vita kali za ushirikina kwa ndugu wa wazaz wetu,kufanikiwa ni kazi sana.

Nimeona stori ya huyu kijana mwenzetu anaitwa Haji athuman, anasema huu ni mwaka wa sita toka ahitimu Masomo yake chuo kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), anasema toka amalize haja bahatika kupata kazi ameishia kuwa muokota makopo huku akiwa hana makazi ya kuishi.
Anasema Kuna baadhi ya watu alio soma nao anakutana nao wengine walisha pata kazi na wameoa wamejenga familia zao tayari ila Kwa upande wake bado mambo magumu.
Haji ana wakilisha vijana wengi wasomi ila ni vile wengi kujitokeza kama hivi ni ngumu.
Hivi hapa Kosa ni lake au ni Elimu aliyo ipata?

Filipino

@kasesco_tz Kama unaweza kaa na watoto wako day school, achana na boarding schools
Filipino

#TajiriLaKihaya
Kwa mawazo yangu Binafsi nadhani Demokrasia ya kupiga kura kila baada ya miaka 5 Afrika ina tatizo kubwa kuliko tunavyokiri.
Inaua vision ya muda mrefu.
Kiongozi anajua ana muda mfupi, hivyo anawaza:
– Kujilimbikizia mali
– Kuingia mikataba mibovu
– Kukopa mikopo mikubwa
Kwa sababu anajua akiondoka, mzigo unabaki kwa taifa.
Matokeo?
Madeni, miradi hewa, na sera zisizo na mwendelezo.
Sasa tuwe wakweli…
China haikujengwa kwa siasa za kila baada ya miaka 5.
Chini ya Deng Xiaoping waliweka msingi wa uchumi kwa miongo bila presha ya uchaguzi.
Kila siku tunasema Singapore miaka ya nyuma tulikua tunalingana kiuchumi ila sasa wametuacha vibaya mno… ni kwa kua chini ya Lee Kuan Yew,ilitoka kuwa nchi maskini hadi world-class economy.
Rwanda chini ya Paul Kagame
dira na sera vina consistency.
Sasa angalia Afrika kwa uhalisia:
Nchi nyingi zinazobadilisha viongozi kila baada ya muda mfupi:
→ Sera zinabadilika kila awamu
→ Miradi inasimama njiani
→ Kila kiongozi anaanza upya ili aonekane amefanya kitu
Matokeo?
Hakuna continuity. Hakuna vision ya taifa.
Lakini pia ukweli mwingine:
Kuna nchi Afrika zilizo na uthabiti wa uongozi kwa muda mrefu,zimeweza kusukuma agenda zao bila kuyumba sana (japo zina changamoto zake).
Hii inaonesha kitu kimoja:
Tatizo sio muda wa uongozi pekee…
Tatizo ni mfumo mzima.
Hata Ulaya na Marekani tunazozisifu:
Ndio, wanapiga kura.
Lakini wana:
– Taasisi imara
– “Permanent state”
– Sera za taifa zisizochezewa kila awamu
Ndiyo maana hata Rais akibadilika, nchi haishtuki.
Afrika?
Kila awamu ni “reset button”.
Ukweli mchungu ni kwamba,
Sio kila demokrasia inaleta maendeleo.
Na sio kila kiongozi wa muda mrefu ni mbaya.
Kinachohitajika ni:
– Viongozi wazalendo
– Taasisi imara
– Dira ya taifa ya miaka 20–50
Kwa sababu…
Ukipata kiongozi mzuri taifa linapaa.
Ukipata mbovu miaka 5 tu inatosha kulirudisha nyuma kwa miaka 20.
Indonesia

@SCCambuurLwd What are you even doing in this league? You clearly belong in a lower league. You basically sold the match—shame on you. The Dutch league is finished too
English

























