Sabitlenmiş Tweet
P.PIO
27.9K posts

P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi

TAARIFA : Mimi binafsi kama MTANZANIA/MTANGANYIKA , nachagua kusema kuwa SIHUSIKI wala SIWAJIBIKI kwa chochote alichoongea GIRISHONI kwenye so called PRESS yake. Hajaongea kwa NIABA yangu!
@cnn @larrymadowo
NB: My EXPOSURE is too big to be PART of that EMBARRASEMENT, nakataa kuwa KITUKO🙏🏾
#NotInMyName #MKRISLAMU #TaifaKwanza
Filipino
P.PIO retweetledi

Gen Z Tanzania wanavyozima udini kwa utani na ubunifu
bbc.in/3LXl1fu

P.PIO retweetledi

Vijana wa Tanzania Asante sana kwa kukataa agenda ya udini ya watu waliolipwa…
Vijana Watanzania wanataka fursa za ajira, wanataka elimu bora, wanataka nyumba nzuri kama watoto wenu wanazoishi.
Wanataka kwenda likizo nje na familia zao kama nyie mnavyofanya, wanataka matibabu mazuri kama nyie mnayofuata ulaya na kwingineko..
Wanataka miundombinu bora kwaajili ya kusafirisha mazao yao.
Nchi yetu ina rasimali za kutosha kuwapa ubora wa maisha..
Nchi pekee yenye Tanzanite duniani, mbuga bora, ardhi nzuri, dhahabu , makaa ya mawe, chuma, bandari Almas na vingine vingi.
Mnaiba future zao, Mnawaua wanapotaka haki..
Alafu mnawaletea hoja mufilisi za udini!!! Vijana wetu wamekataa wana akili wanajua wanachokitaka.
Shame on you.
Indonesia
P.PIO retweetledi

Kukaa kwenye denial, kudharau Watanzania na kuwaona kama wajinga ndio chanzo cha matatizo.
Mnateka watu, mnaua watu wanaohoji utawala wenu.
Mnaiba uchaguzi na kujipa vyeo fake bila ridhaa ya wananchi.
Leo mnasema watu wanachonganishwa na kulipwa na watu wa nje kwasababu ya rasimali?
Mnawaona Watanzania kama hawana akili sio?
Lini mmejua kwamba tuna rasimali nyingi?
Hizo rasimali zinawasaidia nini Watanzania tofauti ya nyie na familia zenu.
Watanzania hawatakubali propaganda rahisi kama hizo, wamekataa udini na hizo propaganda za kitoto watazikataa.
Indonesia
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi
P.PIO retweetledi

@TheRealEkiswaga Hizo mali zilizoharibiwa tayari pesa ya kurekebisha imepatikana na ukarabati unaanza.
Vipi kuhusu uhai wa wale waliopoteza maisha,Uhai wao utarudishwa lini?
Indonesia

























