YøuR BøY
3.2K posts

YøuR BøY
@Official_omy19
Health systems manager. Arsenal fan. Baller ⚽. Ø.m.m.y
Morogoro, Tanzania Katılım Kasım 2019
1K Takip Edilen1.1K Takipçiler

@MusialaEra Enhee which ovverun did you mean more clarity please😂
English

@Mzakiru_Twalibu @kendrickiny Tunasubir kumtega Nyumbu mtoni😂
Indonesia

@Official_omy19 @kendrickiny Mbona watoto wa baba mmoja mnagombana asubuhi yote hii???😂😂😂
Indonesia

@kendrickiny Huezi mtoa gyokeres alafu unabaki na merino upfront serious kaka..?!?
Filipino

Who’s your pick for Chelsea Man of the Match in the @FIFACWC final? 🤔
English

@BlackWolfBeast Labda kulingana na nia yako sijui dua unaombaje pia lakini Dua twatakiwa kuelekeza kwa Allah tofaut yapo ni shirki
Indonesia

@Official_omy19 Naam kuomba dua kupitia hao waja wema kuna tatizo..
Suomi

@BlackWolfBeast Ibn Kathir
Mashahidi hawafi kifo cha kawaida, bali wanaendelea kuishi katika neema za Allah.
•Wanaishi katika “hayaatul barzakh” –maisha ya kiroho baina ya dunia na Akhera.
•Wanazunguka peponi kama ndege, wakila katika matunda ya Pepo, kama ilivyopokewa kutoka kwa Mtume (SAW).
Indonesia

@BlackWolfBeast Ibn Kathir anaeleza kwamba aya hii ilishuka kuhusiana na mashahidi wa vita vya Uhud, hasa Hamzah bin Abdulmuttalib na wenzake waliouawa. Waislamu walihuzunika sana juu ya vifo vyao, hivyo Allah akawateremshia aya hii kuwatuliza.
Indonesia





















