Agnostic
18.4K posts


@BillyTronix1 muambie we ni muajemi mjukuu wa khamenei kiboko ya mashoga,
Indonesia

Omalicha nipe nafasi kwenye vyumba vya moyo wako!
Kama hela usijali nitawatoa kafara Cowbama,Ninja na kidari wa mama
Omalicha 💕@itsmonaleesah
Eid Mubarak 🤍
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@VungaEl74 unaongelea mambo ya kale sana, current news hauzipat ama
Filipino

MKUU WA IDF:
"Jana, Iran ilirusha kombora la masafa marefu la hatua mbili lenye umbali wa kilomita 4,000 kuelekea shabaha ya Marekani kwenye Kisiwa cha Diego Garcia.
Makombora haya hayakusudiwi kuishambulia Israeli. Eneo lao la masafa linafikia miji mikuu ya Ulaya: Berlin, Paris, na Roma yote yako ndani ya eneo la vitisho vya moja kwa moja."
Irani inatakiwa kubadilishwa kuwa Gaza
Indonesia

@VungaEl74 unamjua Iran na silaha zake lakini.
yule Hana propaganda ujue Hana media kama zenu, nguvu yake hamuijui
Indonesia

😁😁😁😁😁😁😁
Ila Israel anadeka sana
𝐓𝐌𝐓@TMT_arabic
🚨 BREAKING The Israeli Defense Minister says that the cluster missile attacks by Iran on Israel are a “war crime.”
Filipino

@VungaEl74 unarudia rudia habari unapagawa na Nini au una ndugu dinoma Nini.
we leta habari ya dinoma na historia yake na habari za Israel kwenda un kulalamika
Indonesia

Utawala wa kigaidi wa Iran ulirusha kombora la masafa marefu kwa mara ya kwanza
Umbali wa takriban kilomita 4,000. Wakati wa Operesheni ya Kupanda Simba mnamo Juni 2025, IDF ilifichua kwamba utawala wa Iran una nia ya kutengeneza makombora yenye masafa ya kilomita 4,000, ambayo ni hatari kwa nchi nyingi barani Ulaya, Asia na Afrika.
Utawala wa Iran ulikana hili. Tumekuwa tukisema: Utawala wa kigaidi wa Iran ni tishio la kimataifa. Sasa, kwa makombora ambayo yanaweza kufika London, Paris au Berlin.
Utawala wa kigaidi wa Iran umefanya mashambulizi dhidi ya nchi 12 katika eneo hilo na unaendeleza uwezo ambao ni tishio kubwa zaidi.
Hawa ni magaidi bila Israel na Marekani tugekuja kupoteza dunia
Asante Sana Trump na Netanyahu

Indonesia

More than 2000 km.
Iran uwezo huo anautoa wapi?
Al Jazeera Breaking News@AJENews
BREAKING: Reports say Iran targeted the US-UK military base on Diego Garcia with at least two mid-range ballistic missiles, one failing mid-flight and the other intercepted by a US warship, according to The WSJ. 🔴 LIVE updates: aje.news/sueofo
Suomi

@spectatorindex soon we will hear
"palestina is legitimate target"
English

@BillyTronix1 wakati kuna nchi Zina icbm zinaenda Hadi km 15000
Indonesia

Haya niambie shida iko wapi Iran akiwa na ballistic missile za 4000km ?
'@theutdcode
The war has exposed Iran on what they have long denied.
Indonesia

Hivi wanaharakati mlihisi Iran ni primitive au?😃
Nakumbuka siku mlisema İran hamna Elimu yoyote ya Mtu kwenda kusoma
Clash Report@clashreport
BREAKING: Iranian ballistic missile hits Dimona, Israel.
Indonesia

@GeorgeTibaijuka mbona wahaya ni miongoni mwa kabila wenye uelewa sana,
we ni yupi blood,
Indonesia

@Abdul69005875 @Makaveli_255 muajemi kamaliza ramadhan kawa jau sana
Indonesia

@Makaveli_255 Kwa huu moto anaopelekewa Israel utadhani wamemtia punda kidole
Indonesia

@lusomi24 @Makaveli_255 Hana na kama anzo alitemgeneza Kwa hili Gani,
angekuwa na ujanja asingetafuta bwana wa kumsaidia.
we tulia waajemi watoe darasa Kwa dunia
Indonesia

@Makaveli_255 Je naye aanze kutumia yaliyokatazwa? Atapona mtu ? Ndo maana sheria za vita ziliwekwa Cluster missiles tena kwenye urban war , haziruhusiwi
Indonesia

@lusomi24 @Makaveli_255 we umesomea wap Sheria,
mmetumia b2, mmepiga watu gaza na cluster,
mmemshambulia mtu bila sababu teena mmeungana watu kibao mashoga kibao.
bado mmeua watoto wa shule mmeua viongozi.
nyie mnaguswa mnaaanza kulia Lia,
sasa nakupa hii,
vinu bado havijaanza mtalalamika sana
Indonesia








