TheMazeRunner

7.1K posts

TheMazeRunner banner
TheMazeRunner

TheMazeRunner

@P8Anco

JigSaw

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2010
655 Takip Edilen298 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
Do not dwell in the past, do not dream of the future, concentrate the mind on the present moment. goodday...
English
0
0
0
0
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@shaffihdauda1 HAKUNA SHABIK WA YANGA MWENYE AKILI TIMAMU ATAENDA DM YA EDMUND KUMSHAMBULIA.. YANGA HAWANA HIZO ITIKADI... . . SIMBA WALIMSHAMBULIA SANA CHASAMBI BAADA YA KUJIFUNGA . SIMBA WALIMSHAMBULIA SANA MANULA BAADA YA ZILE 5. . SIMBA KUPITIA MAGORI WALIMSHAMBULIA SANA CAMARA. SIO YANGA
Indonesia
0
0
1
129
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Calm down Edmund John, najua DM yako itakuwa bize sana leo wapo watakao kutia moyo lakini wapo pia watakaokusema as if haujawahi kufanya jema Kukosea kupo na leo umekosea wewe, huu sio mwisho wa career yako stay strong Ujumbe wangu kwa Wananchi, wachezaji wengi wazuri wamewahi kupotea baada ya kukosea na waliopaswa kuwapa moyo kugeuka na kuwasimanga, Edmund yupo Yanga lakini Taifa linamuhitaji mpeni moyo badala ya kumpoteza
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
50
11
363
15K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Hadi muda huu wachezaji 7 wanalikosa kombe la dunia kwa majeraha 🇳🇱 Xavi Simons 🇧🇷 Eder Militao 🇧🇷 Estevao 🇧🇷 Rodrygo 🇫🇷 Hugo Ekitike 🇬🇭 Mohammed Kudus 🇩🇪 Serge Gnabry Kwa sababu ligi haijaisha tuombe tu wasiongezeke wengine , ubaya watu wanakaza sana kutaka ubingwa wengine hawataki kushuka daraja ... 🙌🙌
Shaffih  Dauda tweet media
Filipino
7
1
145
9.3K
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@shaffihdauda1 Dhidi ya Mlandege😆😆😆😆😆... Mechi za CAF alikuwa wapi mpaka timu inamaliza wa mwisho kwenye kundi??🤣🤣🤣.... Alishindwa nini kuwabeba mgongoni makolo mpaka wanachwa 5 points na Yanga??
Indonesia
2
0
1
635
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Neo Gift Maema ! Wakati msimu unaelekea mwishoni anatukumbusha Class yake kuwa kwenye bega lake amewahi kubeba matumaini ya Taifa zima la Afrika Kusini kama Nahodha kiwanjani, kwa nidhamu, uongozi na matendo sahihi mguuni. Najua Gen-Z mnalala mapema na hata mkiangalia mpira huwa mnachezea sana simu kiasi vitu vizuri vinawapita sasa Kuna goli amefunga Olise juzi kwenye Bundesliga kwenye comeback ya 3-4 na kuna lile alilowafunga Madrid UEFA kama hukuyaona hayo, tafuta goli Bluetooth la Maema Jana NB: Mali anayo aongeze tu ibada KIUNGO BLUETOOTH
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
11
13
339
16.1K
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@tagatojtagato Usiwe tahira.... Diarra ndio mchezaj wa kwanza kwenda kulalamika kwa refa?? Au unapayuka tu upate engagement?? Hizo ligi namba 1,2,3 Afrika hakuna wachezaj wanafanya kama Diarra? Pumbuza ujinga
Indonesia
6
0
6
1.9K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🚨 𝐌𝐍𝐀 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐃𝐈𝐀𝐑𝐑𝐀 𝐘𝐔𝐊𝐎 𝐒𝐀𝐖𝐀? Nalirudia hili tukio hapa, najiuliza; hii ni mechi ya Ligi Kuu, Ligi namba 5 kwa ubora Afrika? Afu kwanini mwamuzi alirudisha ile kadi nyekundu? Yani mchezaji anakuja kukushambulia unatoa kadi unarudisha? Mwamuzi HOW?!🤦🏽‍♂️
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
39
8
439
23.2K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Sema alikamwe alicho kiongea kuhusu huyu janja kiufupi kazingua sana.!!
killo_Killotz tweet media
Suomi
27
18
251
9.6K
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Wiki nzima hii nimeona wachezaji wa Yanga wakibagazwa na kusemwa kwa kejeli na ikawa fresh tu!Leo Msemaji wa Yanga amepiga starta tu,miluzi imekuwa mingi.Mi nashauri kama mnaanzisha vita kama hizi kwa wachezaji basi mvumiliane mpaka mwisho kuliko kuleta vilio wakati mmeanzisha.
Dominicksalamba tweet media
Indonesia
42
15
438
24.3K
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@Dominicksalamb1 Mijinga hua haipendi vita...Makolo yanataka wao tu ndio waseme wenzao, wakiguswa wao MILIO KIBAO... Nakumbuka yule Guardiola mnene aliwahi shindanishwa na andazi.....Walimaind balaa😁😁🤪
Filipino
0
0
5
892
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@shaffihdauda1 Takwimu zinazohitajika kweny mpira wa miguu ni MAGOLI na POINTS.. . Shots on target na passes zinasaidia nini kwenye ubingwa😁😁😁.. Arder Guler aliachia mshut umbali wa 68Meters mpaka golini bila passes
Filipino
0
0
3
131
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
TAKWIMU: PAMBA JIJI FC VS SIMBA SC Pasi Krosi Mashuti Yaliolenga Lango
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
8
4
129
6.5K
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@PolycarpMDM Kuna movie ya EYE IN THE SKY.. Yule binti muuza mikate aliwaumiza sana waamerika namna kulipua nyumba ya jiran.bila bint kuumizwa.. Ndio hiyo sasa
Filipino
0
0
0
302
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
🚨 Shambulio la anga la Israel limepiga jengo lililopo ndani ya eneo la mtambo wa nyuklia wa Bushehr nchini Iran, takriban mita 350 kutoka kwenye kinu cha nyuklia. Kinu chenyewe hakikuharibika, na hakukuwa na uvujaji wa mionzi wala vifo vilivyoripotiwa. International Atomic Energy Agency (IAEA) imethibitisha tukio hilo na kuonya kuwa linaweza kuvuka “mstari hatari zaidi” wa usalama wa nyuklia, huku Russia ikiilaani hatua hiyo kuwa “isiyo ya kuwajibika” kutokana na ukaribu wa kinu kinachofanya kazi na eneo lililopigwa na kombora pamoja na uwepo wa wafanyakazi eneo hilo.
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
5
2
60
8.1K
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@shaffihdauda1 Hawana mshambuliaj halisi na bado wamepata goli... . Benfica alimfunga Madrid 4 na goli la nne alifunga kipa.... . Arsenal wana mshambuliaj halisi lakin Eze ana Hattrick.... . Chambua mpira acha ushabik🧻🧻🧻🧻
Indonesia
0
0
5
481
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Leo ilikuwa nafasi ya Simba kupunguza gap lake na kuwasogelea Yanga kileleni lakini imekuwa tofauti Kukosekana kwa mshambuliaji halisi kunaendelea kuitafuna Simba, nafasi zinazotengenezwa zinashindwa kutumika ipasavyo Naiona Simba inabebwa na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja zaidi na sio timu NB: Bado sijashawishika kuwa shabiki wa Baker
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
49
10
325
24.2K
Wilson Oruma 🇹🇿
Wilson Oruma 🇹🇿@Mzeewajambia·
Djigui Diarra Jana ameokoa Points 1 Kwa Yanga , Djibrilla Kassali Leo amepoteza Points 2 za Simba Sports. Kama alikuwa na uwezo wa Kuugusa,alitakuwa Kuukoa Mpira. Simple. Huu ni miongoni mwa utofauti Mkubwa Kwenye mbio za Ubingwa Kati ya hawa Mapacha.
Wilson Oruma 🇹🇿 tweet mediaWilson Oruma 🇹🇿 tweet media
Filipino
71
12
383
13.6K
Wilson Oruma 🇹🇿
Wilson Oruma 🇹🇿@Mzeewajambia·
Yanga wametoka Kwenye Kumaliza 90 Minutes Shot on target 1 Sasa hivi ni 0 Djigui Diarra anamuokoa Pedro na Kichapo Leo Kutoka Kwa TRA. Ukweli ni Kwamba Kwa Yanga inavyocheza Kupoteza Mechi ni Karibu zaidi Kuliko Kushinda . Very slow ,too predictable
Wilson Oruma 🇹🇿 tweet media
Filipino
26
6
314
8.8K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Article 82: Timu itakayoondoka uwanjani kabla ya mchezo kumalizika bila ruhusa ya mwamuzi itapoteza mchezo husika na kuondoshwa kwenye mashindano.. Article 84: Timu itakayokiuka kifungu cha 82 itapoteza mchezo husika kwa mabao 3:0 ikiwa ni pamoja na kuondoshwa mazima kwenye shindano husika.. Senegal amevuliwa ubingwa wa AFCON 2025 Kwa mujibu wa hizo kanuni na hivyo basi Morocco ndiye bingwa wa Afcon 2025 kwa mujibu wa taarifa iliyotoka jana usiku kwenye vyombo mbali mbali vya habari
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
179
25
428
48.3K
Bayer 04 Leverkusen
Bayer 04 Leverkusen@bayer04_en·
The Confederation of African Football (CAF) has declared Morocco – and Eliesse – as winners of the 2025 Africa Cup of Nations! 🏆
Bayer 04 Leverkusen tweet media
English
4.3K
1.2K
14.8K
1.5M
TheMazeRunner
TheMazeRunner@P8Anco·
@zoetjesheeftX Na unajua mpaka sehem ambazo taa haziwashwi...?? . Acha kutisha watu
हिन्दी
0
0
1
2.4K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Hawa watu hawajali kipindi Cha Mfungo wala nini, na mle ndani Kuna sehemu taa haziwashwi mnasikia tu kelele, wao Wana paita VIP. Ukifika hapo unaweza kujiuliza hawa watu wanajua kama Kuna maisha baada ya kifo? Hawajui kama Kuna moto?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
47
23
327
45.6K
Oladoja
Oladoja@_onlyscott·
Guess the national team VERY HARD
Oladoja tweet media
English
7K
355
8.4K
1.2M