
Call me Toni
45.6K posts

Call me Toni
@PeterElinas
If you have time to worry you have time to pray.


Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Askofu Israel Maasa, ameyasema hayo Jumanne, Mei 26, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano ulioandaliwa na JMAT jijini Dodoma. Kauli hii inakuja siku chache baada ya Maseneta wawili wa Marekani, Jeanne Shaheen na Ted Cruz, kuwasilisha muswada katika Seneti ya Marekani uliotaka Serikali ya Marekani kufanya tathmini ya mahusiano yake na Tanzania Zaidi tembelea jamii.app/MarekaniDiplom… #JamiiForums #Diplomasia #Uwajibikaji


Bajeti ya Trilioni 2.4 Wizara ya Mambo ya Ndani Yapitishwa. Wizara Yaeleza Matumizi Bajeti 2025/26 Yamezidi Kutokana na Bilioni 414 Zilizotolewa Kwa Ajili ya Operesheni Maalum 2025 Bajeti ya Shilingi Trilioni 2.44 imepitishwa na Bunge mnamo Mei 25, 2026, kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2026/27. Bajeti hii ni ongezeko kutoka Trilioni 2.06 kwa bajeti iliyokuwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hii mpya inapitishwa wakati Wizara ikiripoti kuwa katika bajeti ya sasa mpaka kufikia Aprili 2025 imeweza kupokea takribani asilimia 106 ya fedha zote zilizotengwa. Matumizi haya juu ya bajeti yanatokana na kiasi cha shilingi Bilioni 414 kilichotolewa kutoka serikali kuu kwenda kwenye Wizara kwa ajili ya Operesheni Maalum mwaka 2025. Ingawa Wizara haijaeleza kiundani operesheni hiyo maalum iliyofanyika mwaka wa fedha 2025/26 ilikuwa ni ipi, ukubwa wa matumizi unaonesha operesheni hi, ni ile iliyofanyika kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025. Mnamo Oktoba 29, 2025, Mkuu wa Jeshi la Polisi alitangaza operesheni maalumu, ikihusisha zuio la kutoka nje. Operesheni hiyo ambayo serikali imesisitiza ilihitajika, imeendelea kukosolewa vikali kufuatia mauaji ya Watanzania katika mikoa mbalimbali Tanzania. Wizara imeeleza mpaka kufikia Aprili 2026 ilipokea Trilioni 2.19 kulinganisha na bajeti iliyopitishwa ya Trilioni 2.06. Katika bajeti iliyopitishwa, Bilioni 950.3 zilitengwa kwa ajili ya mishahara, ambapo mpaka Aprili 2026, Bilioni 887.36 zimeshatumika, hii ikimaanisha bado kuna kiwango kitakachohitajika mpaka kufikia mwisho wa bajeti Juni 2026. Katika eneo la matumizi mengineyo, Wizara imepokea Bilioni 632.09 kati ya bajeti ya shilingi Bilioni 701 na pia kwenye bajeti ya maendeleo, Wizara imepokea Bilioni 670 mpaka kufikia Aprili 2026, ikiwa fedha zilizopitishwa ni Bilioni 415, ikimaanisha kulikuwa na nyongeza ya Bilioni 255 kwenye eneo hilo. Soma zaidi>>>thechanzo.com/2026/05/26/baj…

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema Tanzania inaendelea kuthamini mahusiano yake ya kihistoria na mataifa yote na haitakuwa tayari kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na taifa lolote. Amesema pamoja na ushirikiano huo, Tanzania ni taifa huru lenye mamlaka ya kushughulikia masuala yake kwa mujibu wa Katiba na sheria zake. Akichangia bungeni jijini Dodoma Mei 26, 2026, Bulaya aliwataka watu wanaotumia masuala ya kisiasa kuvuruga heshima na mamlaka ya nchi kuacha kufanya hivyo. Amesema hatua zinazochukuliwa na baadhi ya wadau wa kimataifa dhidi ya viongozi wa Tanzania zinaweza kuharibu taswira ya nchi na mahusiano ya kidiplomasia yaliyopo. #mwananchiupdates #tunawezeshataifa










Hivi wasanii wa zamani shida ilikua ni ni mapromota au ni wao wenyewe walishindwa kujisimamia maana naona kama kina ze dudu wanavyohangaika hata huyu hakutakiwa kuwa kwenye hali hii

This is a real video, not from any movie. In Vietnam war, when a bridge was destroyed by US Air Force and Vietnamese soldiers had to escape, women made this temporary bridge to cross and stood in water for hours. No way you can win a people’s war.









