Mkulima wa Katavi

8.5K posts

Mkulima wa Katavi

Mkulima wa Katavi

@PeterMAlberto1

life without purpose is nothing!

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2019
1K Takip Edilen366 Takipçiler
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@mshighativ @mangekimambi Kwamba hiyo inatoa kibali kwa USA kuua watoto Iran? Hayo mambo ya ndani ya nchi watamalizana wenyewe kwa wenyewe! Mbona hawakuja huku kushambulia wananchi kisa polisi waliua waandamanaji? Ndo ujue hiyo ni vita ya maslahi!
Indonesia
0
0
0
73
V
V@mshighativ·
@PeterMAlberto1 @mangekimambi Vipi kuhusu supreme leader wa iran kuuwa maelfu ya waandamanaji kwenye nchi yake mwenyewe
Indonesia
2
0
0
84
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
What I have learnt in this Iran war, hakuna anaejua kitakacho fanyika au kitakachotokea, kila mtu ana guess guess tu. Kila tukio mijitu inatuandikia migazeti ya ku-analyze while they know nothing like the rest of us. Kwa sasa natilia manani only media zinazo ripoti matukio kama yalivyo na sio page za ma ‘expert’ uchwara na analysis zao ambazo kila baada ya dakika 10 zina age like milk. Only 1 person in this world knows what will happen and when, and that’s our courageous president @realDonaldTrump . Also usitilie manani President Trump anachosema ila tilia manani anachokifanya……….. Na hii ni sababu tu kwenye vita deception ni strategy pia, mtu anasema hivi kumbe anampango wa kufanya vile…… @POTUS you got this 💪
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
139
79
747
60.5K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@ayubu_madenge Huyu mzee mwongo mwongo sana, alidhani itakua rahisi kama ilivyokua kwa madulo, chuma kimemzidi uwezo na kimemwachia hasara lukuki! 😂😂
Mkulima wa Katavi tweet media
Indonesia
0
0
0
79
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Iran imesema haijafanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja au hata yasiyo ya moja kwa moja na Rais Trump kama alivyosema.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
37
16
499
9K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@World_Affairs11 I'm here just to laugh, they plan to do what? They should ask Israel for an advice first! 🤣🤣🤣
Mkulima wa Katavi tweet media
English
0
0
0
105
World Affairs
World Affairs@World_Affairs11·
BREAKING: Saudi Arabia announces to retaliate against Iran.
World Affairs tweet mediaWorld Affairs tweet media
English
109
121
1K
35.5K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@kikomasta Thamani ya dollars itaporomoka kwa kasi kubwa, ndo maana U.S amevurugwa haaminu nchi ndogo inataka kuporomosha uchumi wake
Filipino
2
0
5
236
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Meli ya kwanza ya mafuta ya India imelipa dola milioni 2 kwa Iran kwa kutumia sarafu ya China (Yuan) ili kupita Mlango wa Hormuz. YUAN hiyooooo taratibu tu inaenda mjini. Nchi zitaanza kuitaji Yuan kuagiza mafuta sio muda mrefu. #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Indonesia
7
15
250
10K
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Tuko na mwanangu tumechil zetu bar pale, Jamaa kwasabu ni mlevi kama ilivyo tabia yao akamtamani mhudumu, Kumbe kuna mzee ana tajiri nae anamlia mingo, Wakaanza shindana huyu akimuagizia na yule anaagiza, Mzee akatusogelea akasema vijana chukueni hii 500k na mmuache huyo😂
Filipino
12
6
208
18.4K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@PolycarpMDM Hawa wataalamu wa siku hz wamezoea copy and paste, mitihani wanasoma past papers na project za chuo wananunua, ndio hao unataka waje na kitu kipya katika utendaji? Hawahitaji kuumiza kichwa kabisa!
Indonesia
0
0
3
307
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
NAOMBA MAONI YENU HAPA WAKUU....... Zamani Dunia kiujumla ilikua na Wataalamu wachache, Hasa wasanifu wa Majengo. Lakini Pia hata wataalamu waliokuwepo wakati huo Vitendea kazi vilikua vichache, Na hata hivyo vichache vilikua vya kizamani. Sikuizi Jamii ina Wataalamu wengi, Serikalini na Mtaani, Engineers mpaka Quantity Surveyors, mpaka Architects. Pia Vifaa vipo vyenye uwezo mkubwa, very accurate, Tuna Ma software AutoCAD, ArchiCAD nk. Chakushangaza, Zamani Majengo mfano Shule na Hospitali zilikua very examples work of Arts, majengo yalikua Unique, Nenda NJOMBE HIGH SCHOOL (NJOSS) nenda Tosamaganga, Nenda Kigonsera shule moja haifanani hata chembe na nyingine, Na hazipotezi ladha. Chakushangaza hizi shule na Ofisi za Serikali zinazojengwa wakati huu Zote zinafanana, zinatumia mchoro mmoja, Kila kitu ni kile kile, Vertical view zile zile, Naskia mpaka BOQ ni ile ile. Hii ni Ishara gani kwa jamii ya sasa, Ni uvivu, Ubahili, au ubongo kulala wakuu.
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
33
6
99
11.2K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@kikomasta Mchina ametoa tip ya namna ya kuidaka, hizo ndege ndizo zilitumika kuua viongozi wa Iran kabla hawajajua namna ya kuzizuia, pia mchina anawapa taarifa za kijajasusi kuhusu hatari inayokuja,
Indonesia
0
0
0
375
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Mpaka sasa hivi najiuliza hii ndege imedondoshwa vipi na Iran au China na Urusi wamehusika kwenye hili? Hii F-35 ni aina ya kizazi kijacho na inayosifiwa haionekani kwenye rada yoyote.ina speed na advanced sensor. Inamaana anga la Iran sasa si salama tena. #BilaGanzi
Indonesia
25
8
95
11.4K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@kikomasta Nguvu ya dollar itaporomoka na thamani yake itashuka, Chinese yuan itapanda thamani,
Indonesia
0
0
1
167
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
DHARURA: Iran inasema kwamba nchi au watu wanaolipa mafuta kwa kutumia dola ya Marekani hawataruhusiwa kupita katika Mlango wa Hormuz. Hii imekaaje kwa swala la uchumi wa dunia? Kumeanza kuchangamka sasa #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
5
4
70
4.2K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Huyu anataka kuvuka mipaka sasa watamchangia nchi zote duniani wammalize😆
Ironclad@NavCom24

#BREAKING: Iran has threatened to cut undersea internet cables to gulf countries if they continue to harbor US military.

Suomi
23
6
185
13.8K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@PolycarpMDM Sisi hatubishani nao kikubwa ndege zote zimeanguka, iwe ni ndege moja au ni tofauti haijalishi, 😁
Eesti
0
0
0
27
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Hizi Ni Ndege Mbili Tofauti, Haihitajiki elimu yoyote kugundua Hilo. CENTCOM na PENTAGON wote wamekubali Ndege yao ya Kujaza mafuta angani ilianguka, Lakini si hiyo inayoonekana pichani. Ndege inayoonekana imeharibika pichani ni Boeing C-17 Globemaster III Wakati ndege ambayo inaonekana kwenye picha ya pili ni Boeing KC-135 Stratotanker. Kuna Features ni tofauti hata ukiangaliza kwa hizi picha. Iliyoanguka ni High-mounted wings, Ina mabawa ambayo yameshikishwa juu ya ndege, Wakati huo picha ya pili ina Low mounted Wings, Mabawa yameshika Katikati ya Body ya ndege.
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
3
1
44
4.8K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Marekani inahamisha wanajeshi 2,200 wa majini pamoja na meli tatu za kivita kutoka Japan kuelekea Mashariki ya Kati, zikiongozwa na Kikundi cha Tripoli Amphibious: Meli hizo zinazoelekea Mashariki ya kati ni; • USS Tripoli (LHA-7) • USS San Diego (LPD-22) • USS New Orleans (LPD-18) Uhamisho huu unajumuisha takriban ndege 20 za kivita F-35B Lightning II. Kumbuka makundi haya mawili USS Tripoli pamoja na 31st Marine Expeditionary Unit makao yake huwa ni mjini Sasebo na Okinawa nchini Japan.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
10
2
108
5.8K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@PolycarpMDM Marekani huwa hakubali kusema ni shambulizi la adui, siku zote hutoa taarifa zake kuwa ni hitilafu au bahati mbaya zimejitokeza, au wamejilipua kimakosa!
Indonesia
0
0
0
265
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Pentagon imetangaza kuwa ndege ya Marekani ya kujaza mafuta angani aina ya KC-135 imepotea wakati wa operesheni za kijeshi dhidi ya Iran. Inaonekana ndege hiyo ilianguka magharibi mwa Iraq baada ya kugongana angani na ndege nyingine. Tukio hilo limethibitishwa na jeshi la Marekani, likisema ndege moja ilianguka huku nyingine iliyohusika kwenye tukio hilo ikifanikiwa kutua salama, na juhudi za uokoaji zilianzishwa mara moja.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
8
2
54
5.4K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@kapeto98 Halafu ukiibiwa materials uanze kusema mafundi sio waaminifu, kumbe umembana kwenye udalali wake huko ndiko hufidia baadhi ya mahitaji ya kumaliza kazi yako!
Filipino
2
0
2
573
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Kuna Fundi tumempatia Kazi Ya Kufanya, Akatupa Bei ya Vifaa. Muda wa kwenda Kuchukua Vifaa kuna Sehemu yeye Ndio Anataka tukachukue Vifaa, Sasa Sisi tukashauri Twende sehemu ambayo Ipo Karibu na Nyumbani. Kuuliza Bei Kwa Haraka Hataka Imepungua kama 500,000 kwenye Bei zake alitupatia. Naona Hana Raha Kabisa Kwanzia tulivyobadirisha Sehemu ya Kuchukua Vifaa. Kwani Hapaa Kosa Letu Ni Nini..?
Indonesia
58
27
395
43.1K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Boti ina uwezo wa kubeba watu wanne tu, Nani apunguzwe hapa? (Chuki wazi wazi)
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
259
19
294
41K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Hivi katika hizi shule mpya zilizojengwa, Kuna shule ya Boys only, Naona nyingi ni za Girls na Mchanganyiko. Niko tayari Kusahihishwa.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
17
5
185
13.9K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Hii nchi mbona hatujaona Chawa wakipush # ya hayo mabasi?
Filipino
7
6
91
12.3K
Mkulima wa Katavi
Mkulima wa Katavi@PeterMAlberto1·
@nyakyusaboy Hao wanaojiita degree holder watakutesa sana, huwa wanajiona wanajua kila kitu! 😅😅😅
Indonesia
0
0
0
38
nyakyusaboy
nyakyusaboy@nyakyusaboy·
Mliopo kwenye ndoa mwanamke msomi na ambaye hajasoma yupi afadhari,tumalize utata hapa,ndoa ipo njiani🥹
Indonesia
56
23
319
28.1K
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Makanisa yangekuwa na utaratibu kama wa misikiti ingekuwa poa sana, Unaingia kanisa lolote lililopo karibu yako, Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetoka wapi au unasali wapi? Itatusaidia kufocus na Mungu badala ya kufatiliana kibinafsi.🤗
Indonesia
121
68
783
38.9K