Pgm.
9 posts


Tunakosa penati ya saba. #WenyeNchi #NguvuMoja
Indonesia

AL HILAL INAPAMBANA KUZOEA KLABU BINGWA
Afisa Habari wa @yangasc1935 @AliKamwe kwenye #KipengaXtra leo amesema kuwa wao hawana wasiwasi na Al Hilal na kwamba kwa sasa wanapambana kujenga timu yao, mafanikio yanayotajwa kwao yalishapita.
#Yanga #AlHilal #Soka
Indonesia

Yani TCRA wameona kupokea simu kanisani katika wimbo wa Diamond kunadhalilisha lakini hawajaona tatizo Mzungu wa Royal Tour alipowaita watanzania wenzetu “PRIMITIVE.” Are we serious? 🤔
@MariaSTsehai @Happine61746941 @WizaraSanaa

Filipino

@ummymwalimu @wizara_afyatz @SuluhuSamia Kila la kheri,Rais kakuamini nawe ni wajibu wako kumwaminisha kuwa unaweza.
Indonesia

Alhamdulillah. Leo nimekula kiapo cha Waziri wa @wizara_afyatz . Namshukuru Rais @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini kuwa mmoja wa wasaidizi wake na sasa imempendeza nimsaidie kusimamia sekta ya Afya nchini. Ninamuahidi Rais Samia na watanzania kuwa nitafanya kazi bila kuchoka
Indonesia

