Princess Kate

17K posts

Princess Kate

Princess Kate

@Princess_mcute

I believe patriotism comes from the heart. Patriotism is voluntary. It is a feeling of loyalty and allegiance that is the result of knowledge and belief.

Katılım Mart 2019
1.1K Takip Edilen16.2K Takipçiler
Princess Kate retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Upendo wa kweli huonekana kwenye vitendo vidogo vinavyogusa maisha ya wengine. Rais ameonesha tena moyo wake wa ulezi na huruma kama mama kwa kumkaribisha katika familia yake mtoto mchanga aliyetelekezwa na kumpa jina Grace Samia Suluhu. Kutoka upweke na kutokuwa na tumaini, sasa mtoto huyo anaanza safari mpya ya maisha ndani ya mikono ya mama mwenye upendo na ulinzi. Hii ni taswira ya uongozi wenye utu, iliyojaa huruma, upendo na kujali vinaonekana si kwa maneno tu, bali kwa matendo yanayogusa moyo wa jamii.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
5
30
33
1.1K
Princess Kate retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Laana ya Usaliti inavyowatafuna Wanachama wa CHADEMA waliokimbilia Kenya ili kuichafua Tanzania Chanzo cha taarifa kutoka Jijini Nairobi – Kenya kimeeleza kuwa baadhi ya vijana wa Kitanzania ambao ni wanachama wa CHADEMA waliokwenda nchini Kenya kwa ajili ya kufanya harakati za kuichafua Serikali ya Tanzania kwa sasa wana hali mbaya ya kiuchumi na kushindwa kumudu gharama za kuishi katika Jiji la Nairobi. Ugumu wa maisha yao ni kutokana na kulipwa ujira mdogo na Shirika la Amnesty International ambalo linawapatia mafunzo ya kufanya harakati dhidi ya Serikali ya Tanzania. Kiasi wanacholipwa ni dola 700 kwa mwezi ambacho wanalalamika kuwa hakiwatoshi. Chanzo hicho kinaeleza kuwa baadhi vijana hao wameamua kurudi Tanzania akiwemo GERVAS LYENDA, ZACHARIA OBADI, LUCAS NGOTO na BRENDA RUPIA ambaye anajificha na hataki ijulikane kama amerejea Tanzania ili wasiharibu mahusiano na shirika la Amnesty international. Hata vijana wengine kama NURU NDOSSI na SHIJA SHIBESHI nao wanataka kurudi Tanzania. Vijana wengine wa hovyo kama TWAHA MWAIPAYA, HILDA NEWTON, ROSE MAYEMBA, APPOLINARY BONIFACE, CELESTINE SIMBA na DAVID JUMBE wamebaki Nairobi wakiendelea kuganga njaa katika mitaa ya Jiji hilo kama machokoraa wasio na kwao. NI SUALA LA MUDA: Kilichobaki ni Amnesty International kuwatema na kuwatupilia mbali baada ya utamu wao kuisha. #BBCForCommercialActivists
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
10
20
22
8.5K
Princess Kate retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Madinat Jumeirah, Dubai, UAE Leadership in action at the World Governments Summit 2026. Her Excellency President Samia Suluhu Hassan & the Prime Minister of Antigua and Barbuda, The Right Honourable Gaston Browne.🇹🇿 🤝🇦🇬
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
English
0
2
3
117
Princess Kate
Princess Kate@Princess_mcute·
@HecheJohn Ukweli ni kwamba katika tukio hili hakuna mwanachama wa Chadema aliyepigwa. Chadema mnazuio la mahakama la kutofanya shughuli za kisiasa tulieni basi hayo mengine mnajitakia matatizo
Filipino
0
0
0
4
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chama chetu… Wilaya ya Nkasi kulipangwa kufanyika tukio la kupanda miti zaidi ha 1,500 katika ofisi zetu za chama na viwanja vya chama.. Cha ajabu polisi wa wilaya hiyo wakishirikiana na polisi kutoka Mkoa mzima wamevamia na kutumia mabavu kutawanya watu bila kuzingatia hata kinachofanyika.. Taarifa nilizo nazo ni kwamba wanakamata kila mtu anaonekana na nembo au alama ya chama chetu. Sisi sio wahalifu, sisi ni taasisi ya umma. Hatutakubali kuzuiwa kufanya shughuli zetu ambazo ni halali.
Indonesia
47
264
1.3K
34.5K
Princess Kate retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
MABALOZI WAWASILI IKULU YA CHAMWINO KUSHIRIKI HAFLA MAALUM Matukio ya picha mbalimbali za Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma katika hafla ya kufungua mwaka pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 15, 2026.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
17
16
656
Princess Kate retweetledi
Rashda Zunde
Rashda Zunde@RashdaZunde·
Serikali ya Awamu ya Sita imeboresha sekta ya usafiri na usafirishaji nchini. Juu kunapitika na chini kunapitika. Hii ndio Tanzania tunayoitaka💪.
Rashda Zunde tweet media
Indonesia
14
17
27
2.1K
Princess Kate retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
हिन्दी
7
20
63
7.5K
Princess Kate retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Sisi kama Gen Z Clemence Mwandambo ndio baba yetu😁
Filipino
5
21
22
742
Princess Kate retweetledi
KING WA DSM 👑
KING WA DSM 👑@dsm_wa·
Leo shule zimefunguliwa na tunawaona wanafunzi wakiwa madarasani, wamekaa vizuri kwenye madawati, wakisoma kwa raha bila bughudha ya awamu wala kukaa chini. Haya yote ni matunda ya kazi kubwa iliyofanywa miaka minne iliyopita chini ya uongozi wa Rais Samia. Serikali iliwekeza mapema kwenye elimu ili mtoto wa Tanzania apate mazingira bora ya kujifunzia. Kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19, yalijengwa: • Madarasa 12,000 ya shule za sekondari • Madarasa 3,000 ya vituo shikizi • Mabweni 50 kwa wanafunzi wenye ulemavu
KING WA DSM 👑 tweet media
Filipino
0
1
2
64
Princess Kate
Princess Kate@Princess_mcute·
TEMESA imekamilisha matengenezo ya kivuko cha MV KAZI ambacho kilipata hitirafu mwanzoni mwa mwezi huu, kimeanza kufanya kazi leo Januari 13, 2026 mchana. Kazi hiyo imelenga kuhakikisha usalama na ufanisi wa huduma kwa wananchi wanaotegemea kivuko hicho. #SerikaliKazini
Princess Kate tweet media
Indonesia
0
0
2
43
Princess Kate retweetledi
KING WA DSM 👑
KING WA DSM 👑@dsm_wa·
MZEE WA UPAKO : DISEMBA 25 NI SIKU YA KULIOMBEA TAIFA NA KUONESHASHANA UPENDO MCHUNGAJI LUSEKELO AWASIHI WATANZANIA KUSHEREHEKEA DISEMBA 25 KWA AMANI. DISEMBA 25 NI SIKU YA KUIOMBEA TANZANIA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA AMANI Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amewataka Watanzania kusherehekea Siku ya Disemba 25 kwa kuliombea Taifa pamoja na kuoneshana upendo baina ya Watanzania kwa kumshukuru Mungu kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kisiwa cha amani Duniani. Mzee wa Upako ametoa kauli hiyo Kanisani kwake Ubungo jijini Dar es salaam wakati akitoa salamu za kuwatakia heri ya msimu wa Sikukuu ya Krisimasi na mwaka mpya waumini wa dini ya Kikristo na Watanzania kwa ujumla ambapo amesisitiza kila mtu anapaswa kuadhimisha sherehe ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo kwa amani na upendo.
Indonesia
0
2
5
160