Princess🇹🇿

40.1K posts

Princess🇹🇿

Princess🇹🇿

@Princessbrakz

Tanzanian🇹🇿 premier league,LIGI KUU (NBCPL) Die hard son 💫 •Football is my favorite food ⚽⚽ •Learning on my unfinished daily stuffs✍️

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2021
156 Takip Edilen6.9K Takipçiler
mmachame1
mmachame1@loyalone100·
@BracuszCadabra Kuna mjinga kakopi kutoka kwako anapost insta alf anasema kalamu yke
Filipino
1
0
0
76
Princess🇹🇿
Princess🇹🇿@Princessbrakz·
✍️Hawa wawili nao kuanza pamoja kwangu bado sishawishiki Wote wanaenjoy dictatorship na kucontrol mchezo Wanafurahia kuugusa sana ingawa Kante ni proggressor mzuri Infact they are all DLM ndio maana nilihint kwa Semfuko ambae anaweza kuongeza idadi ya attackers eneo la juu
Princess🇹🇿 tweet media
Filipino
15
7
217
4.7K
Princess🇹🇿
Princess🇹🇿@Princessbrakz·
✍️Singida BS wanatruggle dhidi ya mpinzani anayejilinda na transition vilevile Licha ya Wachezaji wenye ubora mkubwa ila wamekuwa Rahisi kufikika langoni kwao Hii inanipa taaswira wanaenda kupoteza vs CR Belouizdad Belouizdad ni timu inayojua kutumia madhaifu ya mpinzani
Indonesia
4
0
95
2.7K
Princess🇹🇿
Princess🇹🇿@Princessbrakz·
✍️Yanga SC vs Far Rabat ni Mpinzani wanayemmudu ila wanapaswa kuongeza umakini na kupunguza mapungufu Yao Hasa kwenye transition na mipira ya kutenga ambayo ni strength kubwa ya mpinzani Pia ni timu isiyoufungua sana mchezo hvyo itahitajika uharaka na maelewano kuifungua
Indonesia
9
3
104
2.9K
DNA
DNA@valence2853·
@BracuszCadabra Basi dube kukosa goal wazi over 4.5
Indonesia
1
0
2
68
DNA
DNA@valence2853·
@BracuszCadabra Sijawah kula mkeka tangu nazaliwa ila hawamu hii far Rabat goal tatu nipo na uhakika anatoa
Indonesia
1
0
4
182
IAmRAJAB
IAmRAJAB@Iamrajab_·
@BracuszCadabra Kama wakileta ile michezo kama ya game ya kmc ya ligi wanakula kamba mapema tu.. labda wabadilike ghafla
Indonesia
1
0
3
204
DNA
DNA@valence2853·
@BracuszCadabra Jezi ya yanga ni 🔥🔥🔥 ule mwenge wametoa ubavuni wameweka matako lazima uwaunguze
2
0
1
141
Princess🇹🇿
Princess🇹🇿@Princessbrakz·
Simba SC na Yanga SC wote wanazindua jezi za kimataifa kwa ajili ya CAFCL siku ya alhamisi ngoja tuone Nini kitaletwa
Indonesia
4
2
87
2.6K
Abdurrahim
Abdurrahim@therealabdi_01·
@BracuszCadabra I don't think many people rate him but I reckon that if he has a good season he might get lots of clubs in north Africa interested in him
English
1
0
1
61
Princess🇹🇿
Princess🇹🇿@Princessbrakz·
@ksn__14 Nilimsahau ila anafit kwnye hii trio ya pili kama DM au LCM
Indonesia
1
0
7
733