Kuboja

23.6K posts

Kuboja banner
Kuboja

Kuboja

@Pyroxenite81

The Manhimself,

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2013
1.5K Takip Edilen590 Takipçiler
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Hizi lawama za makipa hazikuanza leo. Ni mwendelezo tu wa utamaduni wetu kama Yanga. Makipa wengi sana walilaumiwa, Ahmada, Manula, Pinpin. Okello amekuta tuna huo utaratibu tokea awali. Anachokifanya ni kugusa kwenye mshono. Okello ndio kwanza kaja nusu msimu. Tunasubiri kobisi ajichanganye nae aje @CRDBBankPlc
Indonesia
17
0
103
7.4K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Duh!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
12
0
83
3.3K
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Wale wa ooh utaacha swala wiki haiishi habari zenu popote mlipo😁👋 Hivi si mtu atoe sadaka aninunulie hayo mabaibui, majuba na maninja jamani😭
Extreme Introvert🧕💫 tweet mediaExtreme Introvert🧕💫 tweet media
Filipino
63
42
175
25K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Sisimizi3 Wewe husafiri nchi hii ujionee barabara kuu za lami na za mitaani zilivyogeuka mashimo?
Indonesia
0
0
0
138
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Kiukweli tangu nimeanza kufuatilia Bunge hili la bajeti, sijawahi ona Waziri aliyeshughulikiwa na Wabunge wa CCM kama Ulega mpaka najiuliza kuna nini. Mama Salma, Msukuma, Nape wamemuua sana jamaa, kila mtu analalamikia barabara kwenye eneo lake.
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
14
1
42
5.6K
From Mara
From Mara@DannyThePlanner·
@Pyroxenite81 @FaradayMtz01 Lakini kipindi hicho wasomi walikuwa wachache Sana, hivyo aliyekuwa na elimu ya Form 4 kipindi hicho ni sawa na mwenye PhD wakati huu, hivyo ajira zilikuwa zinapatikana Sana tu.
Filipino
1
0
0
6
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Naweza kusema kwamba JPM amelifanyia kazi kubwa taifa hilo kuliko JK Nyerere. Jk Nyerere sera zake za Ujamaa na kujitegemea zimeharibu nchi hasa kiuchumi na kiutawala.
Indonesia
17
3
49
12.8K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Kwasababu kiuhalisia Madueke ni winga wakati Foden na Palmer best position yao ni nyuma ya mshambuliaji na hata wakitokea pembeni wanataka kuingia ndani maana yake utahitaji attacking RB hapo kudumisha mapana pembeni. Licha ya kwamba swali lako lina hoja kwa muktadha wa ubora wa mchezaji mmoja mmoja Hao wawili wana magoli mengi mguuni mwao , wana uwezo wa kuamua mechi licha ya form zao msimu huu kuyumba
Indonesia
17
10
272
10.3K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
England upande wa RW wanamuita Madueke then wanamtema Phil phoden na cole palmer! Tactically hii ipoje wataalamu?
Indonesia
41
37
332
21.4K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Innocen89950594 Mbona hajamalizia kuwa Gen Z wanaongoza kutoa mitandao yote
Indonesia
0
0
0
229
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Qmmmmke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
15
0
99
6.7K
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Katika watu ambao wamewashiwa moto ni huyu jamaa, mbona Drogba alivyokuja haikuwa hivi?
~BINGWA⚡ tweet media
Indonesia
33
25
319
21.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Dunia nzima inasubiria kutangazwa Kwa kikosi cha ENGLAND… 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Binafsi naiona England ikichukua Kombe la Dunia Msimu huu… Hasa ukizingatia Wana Wachezaji wenye Champions mentality wasio pungua wanne kutoka Kwa Premier League and UEFA Champions to be- ARSENAL…
Indonesia
39
36
257
5.9K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@Sincerelyrahma7 Huyo mrembo CV yake haitoshi tuambie mileage ya K ikoje, ameshazaa watoto wangapi, anafanya shughuli gani, anaishi mkoa au wilaya gani
Indonesia
0
0
1
1.1K
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Mubaba 35+ uwe married au lah kuna mrembo wa 25 hapa anataka no strings attached kinda thing MARRIED ARE PREFERRED (Mkeo hata hatajua kama kana exist) KNAJITAMBUA NA YA CHUMBANI KANAYAJUAAAA😚👋
Indonesia
59
32
316
24.9K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Asante Mungu kwa hiki kidogo 🙏🏼
WHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
11
19
161
2K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@kalage_jr We Gen Ze mapenzi ya Arsenal yamewatesa mashabiki miaka 22 ambao ni umri wa kijana wa kike U wa kiume kuwa na watoto wako shule ya msingi
Indonesia
0
0
0
11
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Hivi chadema hamjifunzi kwanini lakini hapo mimi ndio ninapo onaga mtu anaichafua CCM namuona hajui siasa mimi naamini mapenzi ya chama ni kama ushabiki wa mpira huwezi kuwa leo arsenal kesho Chelsea katika maisha hilo napinga sasa kama viongozi wa chadema mnatusikia hii stops.
Indonesia
9
9
63
3.1K
Kuboja
Kuboja@Pyroxenite81·
@WideEdson Chama alishindwa kucheza Morocco akiwa na nguvu za kutosha ndiyo aende Spain atese dogo heshimu mpira
Filipino
0
0
1
29
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Clatous Chama angezaliwa Spain au Brazil basi mpaka sasa tungekua tunaulizana ana Ballon d’Or ngapi. 😭🔥
MJUKUU (Fan) tweet media
Indonesia
20
22
112
1.9K