Reema-MinjBen@MinjBenReema

37.3K posts

Reema-MinjBen@MinjBenReema

Reema-MinjBen@MinjBenReema

@RMinjben

BiTtER ThAn Leaf

tanzanianbitterleaf Katılım Aralık 2016
132 Takip Edilen162 Takipçiler
Reema-MinjBen@MinjBenReema retweetledi
I am Chege
I am Chege@_James041·
They chew your taxes, get fat on your taxes, and sleep in Parliament when important issues are being discussed. FACES OF SHAME! #DrainTheSwamp
I am Chege tweet mediaI am Chege tweet mediaI am Chege tweet mediaI am Chege tweet media
English
190
2.3K
4.9K
139.1K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Chama chenye maono, walijua ipo siku Iran atapigana mafuta yatapanda, Kesho tusiulizane maswali😂💔🔥.
The champ👑 tweet media
Indonesia
40
46
338
13.3K
Magogoni Daily
Magogoni Daily@magogonidaily·
Viti 6,500 vilivyotolewa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam vitafungwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.
Magogoni Daily tweet media
Indonesia
1
14
25
740
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@FOODiCOLTD USIPENDE KUTMIA CHEMICAL KUUA MAGUGU KWANI NI HATARI KWA AFYA YAKO , AFYA YA UDONGO NA MAVUNU YATAATHIRI WALAJI NAGONJWA YASIYOTIBIKA BILA KUJUA
Indonesia
1
0
0
9
FOODi COMPANY LIMITED
FOODi COMPANY LIMITED@FOODiCOLTD·
Hii sumu ya palizi ni niseme tu ni top notch. Yaani imefagia magugu na majani yote.
FOODi COMPANY LIMITED tweet mediaFOODi COMPANY LIMITED tweet media
Eesti
6
4
24
1.5K
msouth
msouth@msouth_Tupac·
Huyu ndie msemaji mkuu wa raia wa Tanzania akisema amesema raia wote tunamtii na kumuelewa sana emb tuone Serikali ya wabakaji inayoongozwa na muuaji anaejiita ni Raisi wa Tanzania anavyopigwa lockdown ndo atajua yeye sio raisi bali ni muhalifu anaepaswa kua jela
msouth tweet media
Indonesia
9
70
365
3.4K
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@ThatBoyKhalifax Hizo ni Akili zako za Uarabu-koko... Huko Arabuni kwa babu zako hata hicho chombo cha havari cha Binafsi hakiruhusiwi na Hakipo na Ukiandika Uinga kulaumu Sekali ya Kisultan na Kifalme inayoongozwa na Ukoo mmoja yangu Nchi imeubwa Basi unauwawa kama yule Mwandishi w Bagari @Kashk
Indonesia
0
0
0
2
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
watu wanapaswa kufahamu kwamba serikali yoyote inayohisi ina mamlaka ya kufungia chombo cha habari, hata kwa dakika moja, ni serikali ya kidikteta, inayojali zaidi kulinda majizi na wauaji, badala ya haki za raia inayodai kuwatumikia. tuendelee kupambana, hakuna kurudi nyuma:
The Chanzo@TheChanzo

TCRA Yasitisha Leseni ya Jambo TV Kwa Siku 90 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha kwa muda wa siku tisini leseni la chombo maarufu cha Habari Tanzania, Jambo Online TV kwa madai ya kuchapisha, "maudhui ambayo hawakuwa na uhakika nayo na yasiyo na uthibitisho". Katika taarifa yake TCRA inaeleza kuwa maudhui hayo yaliupotosha umma kuhusu hali ya matukio mbalimbali yanayoendelea nchini na matokeo yanayotarajiwa kutoka kwa Tume ya kuchunguza matukio wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Maudhui yanayoelezwa ni makala ya maoni iliyochapishwa katika chombo hicho na mwandishi mkongwe, Manyerere Jackton yenye kichwa cha habari, Ripoti ya Jaji Chande ndiyo ya, ama kuliponya au kuliua Taifa. Katika Makala hiyo Manyerere amesisitiza juu ya uwajibikaji. Taarifa ya TCRA imeeleza kuwa leseni za Jambo Online TV zimesitishwa kuanzia Aprili 02, 2026. Taarifa hiyo imeeleza: "Aidha, katika kipindi kifupi cha takribani miezi sita sasa, yaani tangu mwezi Septemba 2025, Jambo Online TV imekuwa na mashauri manne mfululizo ya ukiukaji wa Sheria, Kanuni, Masharti ya Leseni, Maadili, Misingi na Taaluma ya Uandishi na Utangazaji wa Habari." Mnamo Septemba 06, 2025, TCRA pia ilisitisha leseni ya Jamii Forums kwa kipindi cha siku tisini.

Indonesia
10
60
237
7.7K
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@iboysean Huyu DC hakuwahi kutoka Nje ya Tanzania ndio sababu Kuu.. Hajielewi KWENUE Mambo mengine… HUU USHAMBA WA KIAFRIKA ANAO KWENYE KABILA LAKE LA KIKURYA SIJUI KISUKUMA… AMESHASEMA ANAYEPIGIWA MAGOTI NI MUNGU. je Huyo Mwanamke Atampigiaje Mwanaume Magoti wakati Mwanaume Sio Mungu?
Filipino
0
0
0
6
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Kazi kweli kweli 😂😂😂
Filipino
19
30
178
12.1K
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@msouth_Tupac Mnashikiwa Ujinga na Huyu Malaya Wanaume wazima mi Mikia yenu na am sikia Line tu kisa Anajua Jina La Abdu na kulitaja…Anawajuwa Wengine ni WAJINGA mkifika Jina Abdul mnaongea Kingi kama Nzi KWENUE Mchuzi.. Rais ana Watoto wakubwa Wengine kuliko Abdul ila Hawataji kwani Hawajui
Indonesia
0
0
0
4
msouth
msouth@msouth_Tupac·
Harafu anasimama kwenye majukwa anaharisha utumbo et watanzania 29 October tuliandamana kwakufata mikumbo kwamba tulikua hatujui tunachokiandamania..safarii hii badala ya Afcon itakua Af Tz.
msouth tweet media
Indonesia
3
25
119
2.3K
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@msouth_Tupac Huyu Malaya ndio Unayemwamini kukwambia Mlikuwa mnajua Mnachokita Wakati Mlifuaya Maagizo yake ya Kuchongesha Utumbo na mkauamini na Kuingia Barabarani kama Panya Buku Mkarambwa Risasi yeye akiwa anawaambalia KWENUE TV akiwa chumbani na a biashara yake ya Umalaya.Hili nalo jipya?
Indonesia
0
0
0
13
Tutam Movement _Official
Tutam Movement _Official@Itumbi_Denis·
"Uhuru is scared of what His successor has achieved," - prof PLO Lumumba I have never doubted a word from this great mind. All predecessors appear dwarfs when matched with 001 H.E William Samoei Ruto in the first three years of presidency. It's either TUTAM or 2nd Term.
Tutam Movement _Official tweet media
English
60
38
163
6K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Jabir Mwadini kuwa Katibu wa Rais, akimrithi Balozi Wazir Salum. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
7
1
24
1.8K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Balozi Ali Mwadini ndiye katibu mpya wa Rais. Kabla ya Uteuzi huu Balozi Mwadini alikuwa anaitumikia Wizara ya Mambo ya nje pia amewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia kisha Ufaransa, ambayo ndiyo nafasi ya mwisho aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi huu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
4
10
259
7K
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Bloody killers, wanateuana tu. Bila shaka anaenda kupewa nafasi ya Lukuvi.
Marcus tweet media
Indonesia
1
4
24
736
Reema-MinjBen@MinjBenReema retweetledi
Africa Today Media Group
Africa Today Media Group@africatodayMG·
Why is it difficult for Africans to get USA 🇺🇸 visa? Here is the explanation. Should Africa make it also harder for Americans to get Visas to visit Africa?
English
9
11
17
1.3K
Reema-MinjBen@MinjBenReema
@Royal_Tv_Tz Kama yeye hahusiski Na hicho Kituo kupublish Upuuzi wa Chadema.. Anacholalamikia ni nini? kwani Kituo ni Chadema au ni Heche? tuanzie hapo kwanza...
Filipino
0
0
0
8
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (Bara), John Heche, leo Machi 2, ameilalamikia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwa imejivika uhusika wa mlalamikaji, mahakama, na jaji kwa wakati mmoja baada ya TCRA kutangaza kusimamisha leseni ya kituo cha Jambo TV kwa muda wa siku 90. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia madai ya kituo hicho kuchapisha maudhui yasiyo na ukweli mwishoni mwa mwezi Machi 2026, yakihusu matukio ya Oktoba 29. Kupitia kurasa zake za kijamii, Heche ameeleza kuwa nchi imefika hatua ambapo kila mwananchi amekuwa "mateka" wa mifumo inayokandamiza ueledi. Amesema kuwa hata watumishi wanaofuata misingi ya kazi zao sasa wanajikuta wakiumizwa na mamlaka pindi wanapotoa ukweli usiopendwa. "Ndio maana tunataka Katiba Mpya kurudisha uhuru wetu. Kwa sasa kila mtu ni mateka wa hili genge la udhalimu; hata ukiwafanyia kazi siku zote, ukifanya ukweli tu au ukifuata ueledi wa kazi yako wanakuumiza," aliandika Heche. Heche amesisitiza kuwa kitendo cha kukifungia chombo cha habari kinachojitegemea na kuajiri watu kwa miezi mitatu ni udhalimu uliopitiliza. Amehoji mantiki ya chombo kimoja cha udhibiti kuwa na nguvu za kutoa hukumu inayovuruga maisha ya mamia ya wafanyakazi bila kuwapa nafasi ya haki ya kujitetea mahakamani. Kiongozi huyo amehitimisha kwa kusema kuwa "ujinga katika nchi hii hauna kiwango cha vipimo," na kusisitiza kuwa mkwamo huu wa uhuru wa habari na haki za kiuchumi utamalizwa tu kwa kupatikana kwa Katiba Mpya itakayopunguza nguvu za mamlaka zinazotumika vibaya kukandamiza sauti za ukweli. Uamuzi huo wa TCRA uliotangazwa leo, sasa unakiacha kituo cha Jambo TV njiapanda, huku kikiingia kwenye kifungo cha miezi mitatu kinachotajwa na Heche kama pigo kwa demokrasia na haki za wafanyakazi.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
3
15
150
8.8K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Hakuna move mbaya na ya kipumbavu ambayo sisiyemu imewahi kufanya kama hii. Huu ni zaidi ya udhalimu Tanzania amkeni, amkeni, amkeni!
sultan tweet media
Indonesia
11
34
180
7.1K