MoTechnician

5K posts

MoTechnician

MoTechnician

@RajabuRitanda

Fulltime father| Yanga#DiehardFan Mswahili Uswahilini

Katılım Ocak 2022
2.4K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Eagle's Eye
Eagle's Eye@Eagleseye02·
Hello Dears♥️ Sababu za wewe kukata tamaa zipo nyingi sana vikwazo pia vipo vikubwa sana na ukijiruhusu kukata tamaa hata kile kilicho kwenye uwezo wako kukifanya hutaweza tena ila ukikataa kukata tamaa mwisho wako huwa wa ushindi na wenye heshima KAZA MWANANGU💪😘
Eagle's Eye tweet media
Filipino
26
36
52
733
Burnslow 🇨🇳
Burnslow 🇨🇳@Lyrics_street_1·
Pale faza amemfuma mwanae wa kiume anayependa kujifungia chumbani kila mda
Indonesia
1
2
7
202
MoTechnician
MoTechnician@RajabuRitanda·
@kabigwa_78 Dokta kwa mi muisilam nikiwa kwenye mfungo jee daku nile saa ngapi
Indonesia
0
0
0
30
Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊@kabigwa_78·
Usiku mwingine wa kuwakumbusha Msile Sana Usiku wala Msile Usiku wa Manane...!
Kabigwa_Afya💊 tweet media
Indonesia
3
0
19
1.5K
Eagle's Eye
Eagle's Eye@Eagleseye02·
Hello Dears♥️ HESABU 6:24-26 Bwana akubarikie na kukulinda Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili Bwana akuinulie uso wake na kukupa Amani 🙏 Uwe na J2 njema 🙏♥️
Eagle's Eye tweet media
Indonesia
38
37
58
1.2K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
X Madaktari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
4
4
33
3.5K
MoTechnician
MoTechnician@RajabuRitanda·
@Mastown_ Duuh yaaani ata avute bandika banduwa awezi kufika kwa siku kula ganja 7000 sasa awa manabii nawo wanaanza kupoteza mvuto wa maombi yawoo
Indonesia
0
0
1
168
Eagle's Eye
Eagle's Eye@Eagleseye02·
Hello Dears♥️ Kufeli mara kadhaa sio mwisho wa ndoto zako wala haihalalishi kutowezekana kila kufeli kunakupa akili mpya ambayo itakupa njia mpya na mwelekeo mpya wa kuzifikia ndoto zako ila hii ni kwa wale wenye roho ngumu tu wasiokata tamaa KAZA MWANANGU NDOTO HUTIMIA💪😎
Eagle's Eye tweet media
Indonesia
26
41
56
1.1K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Kuna namna tunaweza kupata sapraiz tuzidishe dua tu😁 Japo sina iman na refa but fresh tu cz hawana timu kabisa basi tu ndo mana wanachezaga usiku wa manani tusiwaone
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
11
9
54
1.5K
MoTechnician
MoTechnician@RajabuRitanda·
@RevocatusMagum1 Ila wazee wametowa siku tatu kama mtu aliacha kimba akatowe sasa kazi kwao
Indonesia
0
0
0
40
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Hila hii ya kuchimba dawa ni komesha😀🙌
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
18
9
267
19.8K
Eagle's Eye
Eagle's Eye@Eagleseye02·
Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏 Dua yangu kwako week hii Mambo mawili Mungu asikunyime Uhai na Afya Mambo matatu asikuzuilie Riziki Watu wema na Amani ya Moyo zaidi sana awe kinga yako dhidi ya viumbe vyote vyenye nia mbaya na wewe WEEK NJEMA♥️
Eagle's Eye tweet media
Indonesia
34
45
86
2K
Maluu_26
Maluu_26@maluu_captain·
🚨Kwenda India unapita ya wap..!🙌
Maluu_26 tweet media
Filipino
7
12
66
2.1K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Msako wa kupambana na rushwa nchini Iraq umewashtua wengi baada ya mamlaka kuvamia nyumba ya mbunge Hind Al-Abbasi na kukuta mali nyingi zilizofichwa. Ndani ya nyumba hiyo kulipatikana dola za Marekani milioni 57 taslimu, kilo 27 za dhahabu, pamoja na nguo za ndani zilizotengenezwa kwa dhahabu.
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
28
23
457
48.7K
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Wazee wa popote kambi kama unawajua hawa ww sahau kuhusu Pepo😁😁🤣
Pharm Iddy 💊💉 tweet media
Indonesia
42
20
240
59K