Leo ni weekend umemwambia demu wako aje geto lakini cha kushangaza anakuomba nauli ndio aje kwako, yani yeye kuja kwako mpaka ulipie.
Lakini bado wewe naye unasubiri mpaka mtu aje akukumbushe kwamba una-date na malaya?
You'll learn the hard way!
@0101DUBU Sababu kubwa zaidi ni kwa TANGU SIKU YA KWANZA MWANAMKE HUYO HAKUVUTIWA NA MWANAUME fullstop ile kufosi na nini mwisho utampata lakini kama hakuvutiwa na wewe kweli mchezo umelost HOME/AWAY
Wanawake nao wanacheat kama wanaume.
Tofauti ni kwamba wao ni wabunifu zaidi na hujua kuficha.
Hizi hapa ni sababu 10 kwa nini wanawake wanacheat:🧵
Repost..
//Fungua Uzi 👇🏿//
1. Kukosa kuridhishwa kingono
Kama mwanamke amewahi kufanya ngono na mwanaume fulani, hata kama wakiachana akawa ex wake na akapata mwanaume mwingine, kuna uwezekano mkubwa kwamba anaweza kulala naye kwa mara nyingine.
Kwanini?
Kwa sababu kuna kitu kinachoitwa uhusiano wa kingono(sexual bonding), ambacho hutokea wakati mwanamke ana uhusiano wa kingono na mwanaume fulani.
Anamkumbuka mwanaume huyo kingono kwa mguso wake, maneno yake, na kumbukumbu za matukio yao ya ngono ya zamani kwa ujumla.
Ni kitu kidogo sana kinachohitajika ili mwanamke amsaliti mwanaume wake na kurudi kwa ex wake, na kitu hicho ni mawasiliano mazuri kati yake yeye na mwanaume huyo na ndiyo maana wengi huwa hawaachi kuwasiliana na maex wao hasa wale waliokuwa wanawaridhisha kingono.
Fahamu kwamba, mwanaume ambaye amewahi kufanya ngono na mwanamke fulani ujue anajua nini cha kufanya ili kumuweka kwenye mood ya ngono, anajua ni sehemu gani za mwili wake ni sensitive, na anajua wapi pa kushika ili ku-turns her on.
Ukweli kwamba mwanaume ambaye amewahi kulala na mwanamke fulani anaweza kufanya hivyo tena ataamua kufanya hivyo!
Hii inaelezea kwanini wanawake wengi wanaowasaliti wapenzi wao, kwa kawaida huwa wanawasaliti wapenzi wao wapya na kurudiana na wapenzi wao wa zamani au wanaume waliowahi kufanya nao ngono.
Linapokuja suala la ngono, usiwahi kufikiri wewe ni tofauti bro, usione wewe ni wa kipekee sana.
Mwanamke ambaye amewahi kufungua mapaja yake kwa mwanaume fulani anaweza kufungua miguu yake kwa mwanamume huyo huyo kesho yake ni suala tu la kuwa na mawasiliano mazuri naye, wakutane na ku-smash kwa mara nyingine.
Na hii ndiyo sababu zaidi ya kwanini wewe kama mwanaume, unapaswa kuchagua bikira ambaye hana historia ya kingono wala uhusiano wa kingono na mwanaume yeyote ndiyo umuoe.