Abubakar Muhammad Said

5.5K posts

Abubakar Muhammad Said banner
Abubakar Muhammad Said

Abubakar Muhammad Said

@Rayabubakar2

Citizen of Zanzibar

Katılım Ekim 2012
14 Takip Edilen187 Takipçiler
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Waziri wa mambo ya ndani Nchini Tanzania Mhe. Patrobas Katambi ameonya kuwa Vyama vya siasa visipotumika vizuri na kutekeleza wajibu wake kisheria ni tishio kubwa kwa usalama wa Nchi, hasa pale viongozi wa Vyama hivyo watakapotumia ndimi na machapisho yao kuhamasisha vurugu badala ya mapatano. Waziri Katambi ameeleza hayo leo Jumatatu Mei 25, 2026 Bungeni Mjini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani kwa mwaka 2026/27, akisema Wizara yake itaendelea kusimamia na kukumbusha kuhusu taratibu, miongozo na sheria za Tanzania. "Vyama vya siasa visipotumika vizuri Mhe. Spika ni tishio kubwa la usalama hasa pale Viongozi wa vyama hivi watakapotumia ndimi na kauli zao, maandiko na machapisho kuhamasisha vurugu na sio mapatano, pale watakapohamasisha wananchi kwenda kufanya mambo ambayo yanapelekea uvunjifu wa amani. Mhe Spika tutazidi kukumbushana na kusimamia taratibu kwasababu Wizara ya mambo ya ndani ni kitovu cha masuala yote ya amani, usalama na nidhamu ya Taifa kwenye utekelezaji wa sheria. Tutasimamia na kukumbusha wajibu wetu kila mmoja." Amesisitiza Waziri Katambi. Amekosoa pia kuhusu baadhi ya wanasiasa kujificha kwenye mgongo wa haki za binadamu bila kutekeleza msingi wa wajibu wao, badala ya kulaumu na kukosoa serikali pale ambapo sheria zinapochukua mkondo wake, akisema wajibu wa Vyombo vya usalama ni kutafsiri sheria na kusimamia utii wa sheria Nchini
Indonesia
26
3
29
43.8K
Ismail Jussa
Ismail Jussa@IsmailJussa·
Nani kakwambia kwamba ni kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama kutafsiri sheria? Kazi ya vyombo hivyo, kama ilivyo kwa vyombo na taasisi nyingine za Serikali, ni kutekeleza sheria. Chombo pekee kilichopewa kazi ya kutafsiri sheria ni MAHKAMA! Acheni kujipa mamlaka msiyokuwa nayo!
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz

Waziri wa mambo ya ndani Nchini Tanzania Mhe. Patrobas Katambi ameonya kuwa Vyama vya siasa visipotumika vizuri na kutekeleza wajibu wake kisheria ni tishio kubwa kwa usalama wa Nchi, hasa pale viongozi wa Vyama hivyo watakapotumia ndimi na machapisho yao kuhamasisha vurugu badala ya mapatano. Waziri Katambi ameeleza hayo leo Jumatatu Mei 25, 2026 Bungeni Mjini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani kwa mwaka 2026/27, akisema Wizara yake itaendelea kusimamia na kukumbusha kuhusu taratibu, miongozo na sheria za Tanzania. "Vyama vya siasa visipotumika vizuri Mhe. Spika ni tishio kubwa la usalama hasa pale Viongozi wa vyama hivi watakapotumia ndimi na kauli zao, maandiko na machapisho kuhamasisha vurugu na sio mapatano, pale watakapohamasisha wananchi kwenda kufanya mambo ambayo yanapelekea uvunjifu wa amani. Mhe Spika tutazidi kukumbushana na kusimamia taratibu kwasababu Wizara ya mambo ya ndani ni kitovu cha masuala yote ya amani, usalama na nidhamu ya Taifa kwenye utekelezaji wa sheria. Tutasimamia na kukumbusha wajibu wetu kila mmoja." Amesisitiza Waziri Katambi. Amekosoa pia kuhusu baadhi ya wanasiasa kujificha kwenye mgongo wa haki za binadamu bila kutekeleza msingi wa wajibu wao, badala ya kulaumu na kukosoa serikali pale ambapo sheria zinapochukua mkondo wake, akisema wajibu wa Vyombo vya usalama ni kutafsiri sheria na kusimamia utii wa sheria Nchini

Indonesia
11
19
55
3.2K
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
Ameandika Katibu Mkuu ACT Wazalendo @AdoShaibu MAKOSA 5 YA KIMKAKATI YA VYAMA VYA UPINZANI. Vyama vya Upinzani Tanzania, katika miongo mitatu ya uwepo wake, vimefanya mengi, mazuri kwa mabaya. Kwa maoni yangu, yafuatayo ni makosa ya dhana ya vyama vya upinzani (strategic misconceptions) katika kuing’oa CCM madarakani; 1. Kudhani kuwa, katika mazingira yetu, kuna Chama kinaweza kufanikiwa chenyewe kuing’oa CCM bila mshikamano wa vyama vya siasa. 2. ⁠Kudhani kwamba CCM inaweza kuvihurumia vyama vya upinzani na kukubali kuweka mazingira itayoking’oa. 3. ⁠Kudhani CCM inaweza kuleta mabadiliko (reforms) bila shinikizo 4. ⁠Kudhani kwamba vinapambana na CCM badala ya dola. 5. ⁠Kudhani kwamba CCM inaweza kudondoka bila kukata mizizi yake ambayo ni hali ya Chama hicho kujigeuza kuwa Chama dola (State Party) Unakubaliana na mimi? Kuna makosa gani mengine vyama vya upinzani tunayafanya? Yataje. Tupo tayari kujifunza. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo tweet media
Indonesia
40
10
50
10.3K
Abubakar Muhammad Said retweetledi
Paul Frost
Paul Frost@paulfrost_me·
@MAGANEWS_X Do a poll. Trump making the WORLD a better & safer place ?
English
0
1
2
21
Iran News 24
Iran News 24@IRanMediaco·
BREAKING: Tehran claims it has received intelligence information indicating that the United States and Israel are preparing for a surprise attack on Iran.
English
7.5K
14.7K
56.8K
2.8M
Cool_Ustaaz ☪
Cool_Ustaaz ☪@Cool_Ustaz·
Islam will enter every home In'Sha-Allah.
Cool_Ustaaz ☪ tweet media
English
174
190
2.2K
26.2K
SilentlyLoud
SilentlyLoud@JaggaJesse·
@Misa_Roumi Going through the comment can't help but feel sorry that someone is dead and we don't have anything good to say. My mama raised me to never speak ill of the dead because that's something everyone passes through so I urge us all to be better.
SilentlyLoud tweet media
English
71
1
21
24K
Abubakar Muhammad Said
Abubakar Muhammad Said@Rayabubakar2·
@SachaRoytman What have you done Palestinians civilians women and children!? Where is Palestinian civilian neighborhood now!? What have you done to Palestinians!? Now you are crying!?
English
0
0
0
1
Sacha Roytman
Sacha Roytman@SachaRoytman·
Shocking footage from this evening of a ballistic missile striking the city of Dimona in southern Israel. Home to 40,000 residents, a direct hit on a civilian neighborhood is a war crime! I’m furious that world leaders still refuse to stand up and call out Iran. When Israel defends itself, every UN body goes crazy — cheered on by hypocritical Western nations.
English
19.8K
1.7K
7.1K
1.8M
Abubakar Muhammad Said
Abubakar Muhammad Said@Rayabubakar2·
@SachaRoytman Yeah How many women and children were killed by Israel in Gaza!? How many student girls were killed by Israel in iran!? How many civilian residences were destroyed by Israel!?
English
0
0
0
16
Darren Grimes
Darren Grimes@darrengrimes·
Why are Muslims allowed to close off Trafalgar Square to pray? More importantly who authorised it? This is a blatant domination tactic being employed, why are we caving into it?
English
2.8K
5.9K
24.4K
428.6K
Idris
Idris@7signxx·
They made the mistake of fighting a country who could actually fight back. Ruthlessly...
English
1.6K
2.5K
11.5K
516.6K
Jessica M
Jessica M@Jesii_ca_M·
Name something America has done better than other countries.
Jessica M tweet media
English
5.9K
140
976
601.2K
Kicknu2
Kicknu2@KICKNU2·
@IBN_Now FAKE AS FUCK! IRAN ONLY HAS SCUD BOMBS. U.S. WILL FINISH THIS SHIT HOLE YOU CALL IRAN.
Kicknu2 tweet media
English
5
0
4
1.3K
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
What do you call this part in your language
African Hub tweet media
English
124
7
101
10.2K
Trump Lover❤🇮🇳🇺🇸
Trump Lover❤🇮🇳🇺🇸@SUBRATA30016572·
Please honor four American hero and there family by dropping an American flag below🇺🇸❤!!
Trump Lover❤🇮🇳🇺🇸 tweet media
English
10.2K
5.4K
34.5K
612.3K
SanMarcos
SanMarcos@SanMarcos878·
@Rayabubakar2 @jungleMN John 3:17-18 "For God did not send his Son into the world to condemn the world, but in order that the world might be saved through him. Whoever believes in him is not condemned, but whoever does not believe is condemned already..."
English
1
0
0
4