Relis 29
206 posts


Serikali imefikia maamuzi ayo kutokana na ukosefu wa pesa za kumalizia miradi mbalimbali pamoja na huduma za afya kwa wajawazito na watoto. Ivyo ili kuepuka kuomba mikopo wameona bora wauze akiba ya DHAABU ZA TAIFA.
Yote aya nikutokana na jeuri ya viongozi wetu,
sasa kama wanaanza kuuza akiba za Taifa pesa zikiisha watauza nini na wamesha zoea kula bata kila siku. Amini nawaambia tutauzwa mpaka sisi au figo zetu maana wala bata wamefulia!
Mikopo hakuna tena, watu wapo busy na vita huko. China hatoi pesa ya mkopo yeye anataka umpe kazi apate pesa.😊
WALE MACHAWA PALE BUNGENI WOTE WAMEFUATA PESA, UNADHANI MIRADI ITAKAMILIKA KWA WAKATI.😢

Indonesia

@TOTTechs @MussaShauri03 Tena point kubwa sana na ndio sababu tukiachana na hizo minor reason.
Filipino

Ukipitia matokeo ya kidato cha pili 2025 Manispaa ya Ubungo kwa shule za umma, ni shule moja tu ya KIMARA SEKONDARI ndio yenye afadhali. Nyingine zote zaidi ya 80% ya wanafunzi wamepata division four na zero.
Najiuliza, MTAALAM WETU WA MIPANGO TAIFA ameshindwa kabisa kulipangia Jimbo lake?🤔🤔🤔
Unapata wapi ujasiri wa kuzunguka na gari ya milioni 600, kuishi nyumba ya million 500, kulipwa mamilioni ya pesa za umma na kubeba title ya “WAZIRI WA MIPANGO” ikiwa shule zote za umma kwenye jimbo lako, jimbo lilipo ndani ya JIJI KUBWA ZAIDI NCHINI LENYE KILA ADVANTAGE, watoto wana matokeo mabovu kiasi hiki?🤔🤔
Sasa kama kusimamia Mipango ya kuwezesha jimbo kuzalisha HUMAN CAPITAL ni changamoto kiasi hiki, utaweza kuongoza Mipango ya taifa kweli?🤔🤔🤔

Indonesia

Mwamuzi wa leo ni moja kati ya waamuzi wa HOVYO nimewahi kushuhudia. Umefanya UDHALIMU wa Hali ya JUU. Inatia mashaka makubwa na legitimacy ya kamati husika. Mwenye kushinda ashinde. Haya mambo ya kubeba mtu kisa ni TAIFA kubwa au mwenyeji wa mashindano ni UKIRITIMBA wa Kizamani. Tuliwahi kudhulumiwa kule Afrika Kusini. Mpira wa AFRIKA leo UMENAJISIWA HADHARANI
Indonesia

@EduTalkTz Wenye chuki watasema unakosoa kila kitu,ila wapenda logic na fact watakuelewa.
Indonesia

MRADI WA MAENDELEO AU CHUMA ULETE?🤔
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Tanzania imetumia trillion 11 kujenga SGR mpaka Mwanza — PESA YA MKOPO.
Kwa mujibu wa TRC, kati ya June 2024 na April 2025, SGR iliingiza billion 66, so tukadirie kwamba mapato ya SGR ni Billion 100 kwa mwaka.
Kwa mapato ya billion 100, ili SGR iweze kukusanya trillion moja, sawa na billion 1,000, itahitaji miaka 10.
Hii ina maana pia ili SGR ikusanye trillion 11, gharama ya ujenzi wake, itahitaji kumantain mapato ya billion 100 kwa mwaka kwa zaidi ya miaka mia moja na kumi (110).
Tukifactor riba ya deni la SGR, kupungua kwa thamani ya shilingi, lakini pia mradi kuchoka; SGR itahitaji kumantain mapato ya billion 100 kwa zaidi ya miaka 130-150 ili kulipa deni lake.
Now, kwa sababu hakuna taasisi duniani inakopesha kwa maturity ya muda mrefu kiasi hiki, tafsiri yake ni kwamba serikali itatumia mapato kutoka vyanzo vingine Ili kulipa deni la SGR.
Hoja ya msingi hapa ni kwamba serikali haikukopa kujenga SGR kwa kutegemea kulipa mkopo kwa mapato ya SGR.
Hoja inaendelea kusema SGR ni huduma na lengo kuu la kujenga mradi ni kuongeza tija katika usafirishaji na kuchochea productivity kwenye shughuli nyingine za kiuchumi.
Hii ni hoja nzuri, lakini inahitaji scrutiny kidogo.
TUJIFUNZE KWA TAZARA NA RELI YA KATI.
Mwaka 1970, serikali za Tanzania na Zambia zilikopa zaidi ya dola milioni 400$ kwa serikali ya China kujenga reli TAZARA.
Tulilipa hili deni kwa muda fulani kisha tukaanza kulimbikiza baada ya mradi kushindwa kuwa na tija.
Mwaka 2011, serikali ya China ikaamua kutusamehe zaidi ya asilimia 50% ya malipo ya deni baada ya malimbiko kuwa makubwa na mradi kushindwa kuzalisha.
Katikati hapo tukainject mabilioni ya mikopo mingine kutoka Benki ya Dunia na kwingineko ili kuongeza tija kwenye mradi lakini ikashindikana.
Mwaka 2025, tukakiri kwamba mradi ni mzigo, unaendeshwa kwa hasara ya hali ya juu, na hatimaye tukaurudisha kwa Wachina wale wale walioutengeneza kwa mkopo.
NINI KILICHOFANYA TAZARA NA RELI YA KATI KWA UJUMLA ZIKOSE TIJA??
Ukifuatilia taarifa mbalimbali za hizi reli utagundua kwamba tatizo kuu lililopo ni kukosekana uzalishaji wa kuzifanya reli hizi ziexploit capacity yake.
Kwa mfano, japo TAZARA ina uwezo wa kubeba tani milioni tano kwa mwaka, imekuwa ikibeba asilimia 4% tu ya huu mzigo kwa mwaka; yani chini ya tani laki tatu.
Mwaka 2023 TAZARA ilisafirisha tani 251,264 tu, sawa na asilimia 5.02% ya uwezo.
Kwenye report ya kamati ya bunge miundombinu 2020, kamati ilionesha wasiwasi wa TAZARA kufilisika na kuomba serikali iingilie kati angalau kwa kuipa mtaji wa kujiendesha, kwa sababu haikuwa inatengeneza faida.
Vivyo hivyo kwa reli ya kati, napo ina uwezo wa kubeba tani millioni tano kwa mwaka, taarifa ya Central Coridor Transit inasema imekuwa ikibeba asilimia 3% tu ya capacity yake.
Sasa swali la msingi linakuja hapa, SGR inaenda kubeba freight ipi ili kuongeza tija kwenye shughuli za kiuchumi???
Kuna hoja nyingi nzuri sana. Kwa mfano, kuna hoja kwamba SGR itapunguza gharama za kusafirisha mizigo kwa zaidi ya asilimia 40% na kuongeza ufanisi kwa kufanya usafirishaji kuwa wa haraka, etc.
Zote hizi ni hoja nzuri, hata hivyo hazijibu swali la msingi linalosema NI MZIGO UPI UTAKAOKUWA UNASAFIRISHWA NA SGR kiasi cha kuwezesha kugenerate mapato ya kulipa deni la ujenzi wake??
Ni uzalishaji gani unaofanywa kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Tabora, Kigoma, na sehemu nyingine za pembezoni utakaokuwa na kiwango cha kuipa SGR tija?
Kwa wakati huu, wastani wa uzalishaji wetu wa mazao ya kilimo nchi nzima upo hivi (kwa mujibu wa sensa ya kilimo).
Mihogo - Tani milioni 1.7
Ndizi - Tani milioni 2
Pamba - Tani laki 3
Alizeti - Tani laki 5
Karanga - Tani laki 6
Maharage - Tani laki 6
Viazi vitamu - Tani laki 5
Mtama - Tani laki 6
Mpunga - Tani milioni 3.4
Mahindi - Tani milioni 6.5
Korosho - Tani laki 3.5
Je, uzalishaji huu unaendana na uwekezaji wa SGR?
Bila kuzalisha, SGR itageuka CHUMA ULETE.

Indonesia

@John_Pambalu Waache agenda wanazopush kama tunalipenda, taifa tupo kwenye nyakati zinazohitaji UMOJA na mshikamano juu ya nia Moja ya HAKI.
Indonesia

Kwangu namuona Mwigulu kama mtu mwenye uwezo mkubwa sana wa Propaganda. Bila shaka amemsoma sana Tzu Sun kwenye kitabu cha "The art of war".
Anatumia DECEPTION kuudanfanya umma uone kama wao ni watu wema sana.
Anatumia DIVERSION kupindisha mjadala wa October 29. 2025 ili watu waone kuwa MACCM sio sababu na hawausiki na mauaji.
Anatumia INDIRECT ATTACK kupambana na kanisa Katoliki kwa kutumia vikaragosi kuwashambulia maaskofu (Specifically Padri Kitima)
Ninawashauri MAASKOFU. Wasiendelee kuwajibu wale vibaraka waliotumwa kumshambulia Padri Kitima (Wasiingie kwenye huo mtego wa kupoteza muda). Imetosha dunia inajua ni MALOFA wanao tumika kuwatoa maaskofu kwenye FOCUS ya kupiganua haki. Wasonge mbele kudai uwajibikaji wa October 29.2025
Lakini Mwigulu ajue watanzania wa sasa sio wa miaka ya 90. Huwezi kuponya taifa liliumizwa kwa damu za watu kumwagwa pasi na hatia kwa ujanjaujanja tu.
Wasalam
John Pambalu.

Indonesia

@kasesco_tz Tukisema tuseme ni viongozi,tunawaonea kwasababu human psyche is unpredictable siku zote.
labda tuseme KATIBA.
Filipino

@Positivenga1 Wote tungekuwa na uwezo wa kutambua distraction zinazotengenezwa na kujua jinsi ya kudeal Nazo kwaajili yakutopoteza focus,tungekuwa mbali sana kibinadamu.
Dunia ya sasa hivi imejaa distraction sana.Mungu atusaidie🙏
Indonesia

Huku “Mwijaku na mke wake wameachana”, then “shamrashamra za Afcon”, halafu “iphone 17 zimeanza kushuka bei”, pia “kijana wa umri wako anaemiliki nyumba 3 za Airbn 3 amenunua gari mpya yenye plate number F” isitoshe “Harmonize bado anavuta timing ya Album yake” na “wanasiasa wanasubiri sikukuu zipite waanze rasmi kubrainwash watu”
Attention na focus yako ipo kwenye majaribio makubwa sana kuliko kipindi chochote siku za nyuma.
Kadri distractions zinavyoongezeka ndivyo jinsi wenye uwezo wa focus wanazidi kuwa na advantage zaidi ya kutimiza malengo yao. Na wasioweza kufocus wataendelea kuwa watazamaji wa wale wanaoweza kufocus.
Indonesia

@MoodyFarah1 @MichaelCoudrey @AmChamTZ Hakuna faida yoyote wakiwepo na wasipokuwepo,na hata kama faida ipo ni Kwa wachache ndio wanufaika.
Indonesia

We are hereby withdrawing our membership from @AmChamTZ. Under their current leadership, they are directly opposing and attacking the President of the United States, his leadership, and America-first policies—which is not unacceptable to us.
When the American Chamber of Commerce in Tanzania starts behaving like a liberal America-last advocacy group, it’s time to pull the plug.
I encourage all US commercial interests, diplomats, and Embassy staff to remove their affiliations with such a group acting in direct opposition of the President of the United States until further notice.

English

@HildaNewton21 Hizo pesa kama zisingokuwa zinapitia mismanagement nchi zinazofaidika zingekuwa mbali sana.
Hivyo nchi nufaika kama hazijathibiti ufisadi,rushwa na mianya yote ya ubadhilifu hakuna umuhimu wa kupokea misaada hiyo, misaada inayoishia Kwa wachache.
Indonesia

Marekani chini ya Mkakati wa Afya wa Dunia wa "America First" imetangaza kutoa mabilioni ya dola kupitia makubaliano ya pande mbili (MOUs) na nchi mbalimbali, zikiwemo za Afrika Mashariki. Makubaliano haya yanalenga kupambana na VVU, kifua kikuu malaria, pamoja na kuimarisha mifumo ya afya ili nchi husika ziweze kujitegemea.
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimenufaika huku Tanzania na Burundi zikiambulia patupu. Kenya ni miongoni mwa wanufaika wakubwa, ikipata jumla ya $ bilioni 2.5 (TZS Trilioni 6.3), Uganda $ bilioni 2.3 (TZS Trlioni 5.8) na Rwanda $ milioni 228 (TZS Bilioni 560).
Fedha hizo zitanunua Vifaa tiba, kuboresha mifumo ya takwimu za afya, kutoa huduma za upimaji na kudhibiti maambulizi mapya na Motisha kwa watumishi wa afya ili kuleta matokeo chanya.
Tanzania haijajumuishwa katika orodha ya nchi zilizosaini makubaliano hayo. Imeelezwa kuwa changamoto za Demokrasia na ushirikishwaji wa wananchi, Uhuru wa vyombo vya habari, Uwazi na Uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma ni miongoni mwa sababu zilizochangia Tanzania kukosa fedha hizo.
#MyTake:
Mkakati wa America First umechukua nafasi ya mfumo wa awali uliokuwa ukitekelezwa kupitia USAID. Tanzania ilikuwa mnufaika mkubwa wa USAID katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kupitia USAID, Tanzania iliweza Kujenga na kukarabati wodi nyingi za wazazi hasa vijijini na hivyo kupunguza vifo vya akina mama na watoto kwa kuongeza huduma salama za uzazi karibu yao. Pia kutoa na kusambaza dawa za kufubaza makali ya VVU (ARVs) kwa mamilioni ya wagonjwa, Ununuzi wa dawa za TB na malaria na vifaa vya uchunguzi.
Kukosa fedha hizi ina maana huduma hizo zitaathirika. Serikali imeanza kutoza kodi kwenye magari na madini ili kusaidia mfuko wa UKIMWI. Lakini je njia hiyo ni endelevu? Malaria, kifua kikuu, afya ya mama na mtoto tutatoza kodi wapi? Watu si watanuka kodi na tozo?
Anyway, Kombo alikua hapa US juzi. Je hakuweza kushawishi hizo fedha au aliishia tu kupiga picha na madiwani? Kuna watu watasema tujitegemee. Ni wazo zuri, lakini je unajitegemea kwa sababu umejipanga au kwa sababu umenyimwa msaada? We unayesema tujitegemee unaweza kununua dawa zako za ARVs kwa laki 5 kila dozi? Au tukuimbie tu parapanda?
Credit @MalisaGJ_

Indonesia

@JohnNgutiCDM Acheni kumotivate,if you are not willing to die for something.
English

Kama wewe ni mwanangu wa #D25 ni Follow chap, Na-Follow back, Kisha chapa handle hapo wana wakufollow👇

Indonesia

@JohnNgutiCDM Mwanngu how? Are you frontier? Or you just behind the keyboard.
English

@HildaNewton21 I love this grandma,she talks about her mind though she talks about it in the wrong country.
English



@JohnNgutiCDM You gotta understand how the world's system works in developing countries with omnipotent traits inorder to come up with so called #D25
English












