Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Imenichukua muda kufikiria niandike nini baada ya hi report ya chande...kila nikitaka kuandika chochote najikuta naanaza na tusi. Itoshe kusema huyu Mzee Chande NI QMA.
@HildaNewton21 Nzuri zaidi ni kutengeneza kampen ya "bila katiba mpya" #NoAfcon2027. Tuna uwezo wa kuizuia iyo afcon yenyewe Kwa maandamano ya NoneStop
GEN Z, Post hii naomba muikumbuke milele hata kama kesho sitakuwepo muishi nayo.
TUSHATOKA kwenye siasa za kulambana miguu—siasa za kusubili vyama vya upinzani vitoe matamko hizo siasa tushaziacha 2025.
Kama tuliweza kuandamana #MO29 bila mchango wa chama chochote cha siasa inamaanisha hakuna KITU TUTATAKA kwenye hii nchi tutakikosa TUKIAMUA.
Siasa hizi zetu GEN Z tumia LUGHA Yeyote ile kuondoa sumu mwilini mwako, unapoona unastahili KUTUKANA kwa usenge wanaofanya basi fanya hivyo bila kuogopa usenge.
Zile siasa za kufuata PROTOCAL za kisenge ndio zimefikisha taifa hapa. Msikubali kuendeshwa na WANASIASA wasenge, tembeeni na wanasiasa wanaoongea LUGHA MOJA NA NYIE.
TUKUTANE AFCON 2027.
Kesho Februari 02,2025,Kamanda @HildaNewton21 atazungumza na Watanzania kupitia chombo Cha Habari Cha BBC @bbcswahili.
Aidha Wapigania Haki na Demokrasia,Kadhaa Wataanika Maovu ya Watawala Haramu yanayofanyika katika Nchi yetu.
Kama wewe ni Mtu wa Haki usikose kusikiliza.
Wewe ni rais. Unakerwa na mtoto wa miaka 20, Shadrack Chaula, aliyechora picha inayofanana na sura yako akaichoma. Unaagiza atekwe, ateswe, auwawe.
What kind of a dubious human are you?
Enough is enough!!
Kuuza akiba ya dhahabu, ni ushauri wa nani? MADURO?
Nataka kuamini ni akili na ushauri wa MADURO kuuza akiba ya dhahabu (gold reserves) ili kumalizia ujenzi. Kwani zaidi ya tozo na kodi ya bia ana mawazo gani mengine zaidi ya kuuza last option of survival?
Mwanzoni mwa mwaka 2010, Benki Kuu za nchi nyingi Duniani ziliacha kuuza dhahabu na kugeuka kuwa wanunuzi wakubwa wa dhahabu. Leo, USA wanayo hifadhi ya dhahabu thamani ya $1.44 Trilioni
Oktoba 2023, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilianza kununua dhahabu kwa ajili ya akiba. Manunuzi ya dhahabu yalilenga kuimarisha nguvu ya shilingi katikati ya changamoto za kidunia. Ghafla mnauza tena?
Wakati nchi nyingine timamu Duniani zinanahifadhi dhahabu kama kinga dhidi ya kuyumba kwa hali ya uchumi wa dunia, mfumuko wa bei za bidhaa, na hatari ya sarafu, sisi tumeamua kuuza akiba ya dhahabu?
Nchi timamu Duniani zinahifadhi akiba ya dhahabu zao kwa sababu mbalimbali ikiwa pamoja na; Safe Haven Asset: Reserve Diversification; Hedging Inflation; Liquidity and Creditworthiness; Confidence Booster;
Lakini siyo kuuza akiba ya dhahabu ili kukamilisha miundombinu iliyokwama. Kwani kuna geopolitical conflict? Kuna njaa kuu hadi mnaona suluhisho ni kuuza akiba ya dhahabu? Marafiki zenu wamekata mirija?
Sababu ya Serikali ya MaCCM kuamua kuuza akiba ya dhahabu ni kukamilisha miradi inayoendelea? Tukitumia ubongo vizuri, tunakumbuka miradi mikubwa inayoendelea pesa ilitengwa na pesa nyingine ni mikopo
Nchi zilizo na akiba kubwa ya dhahabu (highest gold reserves) zinakuwa na uwezo mzuri wa kukabiliana na shinikizo la kiuchumi; zinazo mali zinazoongezeka thamani nyakati za misukosuko ya uchumi.
Miundombinu ni muhimu, ndiyo, lakini kuuza akiba ya dhahabu ni suluhisho la muda mfupi. Tafuteni namna nyingine ya kukamilisha miradi yenu iliyokwama. Halafu, mikopo kwa ajili ya hiyo miradi ilikwenda wapi?
Mvutano wa kisiasa unaoongezeka Duniani, migogoro ya kibiashara, na mabadiliko katika sera za misaada ya nje ya Marekani na Ulaya vitaongeza hali ya wasiwasi wa kiuchumi Duniani., akiba ya kuwasaidia ipo wapi?
Dhahabu ikishaondoka, imeondoka. Miundombinu inaweza kusubiri kama mlivyoisubirisha miaka 64. Ongezeni thamani kupitia uchimbaji, imarisheni ukusanyaji wa rasilimali, siyo kuuza akiba ya dhahabu
Watasha wanajua wakishapata hii rasilimali muhimu watakuja kuuza zaidi wakitengeneza bidhaa zake. MaCCM hampo vitani mnauza akiba ya dhahabu kwa ajili ya kukamilisha miundombinu. Akiba ni tani 6.
Wizara ya Madini Tanzania ilisema hadi kufikia Julai 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilikuwa na hifadhi ya dhahabu tani 6.84 yenye thamani ya $682 milioni tangu ilipoanza kununua na kuhifadhi Oktoba 2023.
Akiba ya dhahabu ambayo Tanzania inataka kuuza ina thamani ya $13.7 bilioni. Ni kiwango sawa na ambacho nchi ya Ukraine iliuza akiba yake ya dhahabu mwaka 2022 ili kustahimili kuwepo vitani na Russia.
Ukraine, 2022 waliuza akiba ya dhahabu yenye thamani ya $12 billion ili kununua bidhaa. Q3 na Q4 2025 akiba yao ya dhahabu ni tani 27.37 ambayo thamani yake ni $3.664 billion. Hawa wapo vitani. Ninyi mpo vitani?
Kwa mwaka 2025 nchi iliyoongoza katika kununua dhahabu Duniani ilikuwa ni Poland, ambapo imenunua tani 67. Poland ni moja ya nchi ambayo iko katika mvutano mkubwa wa kidiplomasia na Russia.
Septemba 10, 2025, drone 19 za Russia ziliingia anga la Poland, 3 zikiangushwa. Russia imesisitiza haikua na nia ya kuivamia Poland. Poland imeendelea kulipinga, na kusisitiza kwamba Russia ina njama dhidi yake.
Hii ni sababu ya Benki Kuu ya Poland kuamua kuimarisha akiba ya dhahabu ambayo ni nyingi kuliko European Central Bank. Akiba yao ni tani 770 na hii inaifanya kuwa nchi ya 10 kwa akiba ya dhahabu Duniani
Tanzania hatupo vitani. Hakuna geopolitical crisis. Hakuna janga la njaa isipokuwa akiba yake ya dhahabu inauzwa ili kuendeleza miundombinu. Miundombinu gani? SGR? BRT? Fedha za mikopo zimekwenda wapi?
Tanzania ni muuzaji mkubwa namba nne wa dhahabu Afrika ambaye hayupo katika orodha ya nchi 10 za Afrika ambazo zinamiliki akiba kubwa ya dhahabu, sasa tumeamua kuuza hata hiyo akiba ya dhahabu iliyosalia
NB; Tanzania tupo katika orodha ya Africa’s largest exporter of gold halafu sehemu za watoto kuhifadhi mavi tunajengewa na mabeberu. MaCCM mnatakiwa kupelekwa motoni moja kwa moja, bila majadiliano.
Happy birthday Rais wa TLS @Mwabuk2Boniface wewe ni miongoni mwa watu muhimu sana kwenye mapambano ya kupigania Haki na Demokrasia ya kweli katika Taifa letu.
Siku ya leo nakuombea Mungu akujalie uishi maisha marefu yenye baraka na amani tele.🥂
Nasikia leo ni aiku ya kumbukumbu ya kuja duniani ya yule mwanamke muuaje.
Tuungane kulilaani tumbo la mwanamke aliyemzaa,tuilaani siku aliyozaliwa, tuulaani uzao wake na tuombe na ghadhabu ya Mungu ishuke kwa kila ambarikiye kiumbe katili wa aina yake.
Amina.
Kila kitu ni hatua. Mwaka huu nilisema nitafanya Kila kitu.
Nimeanza na content za michezo mwezi huu january—target kufikia mwezi wa 6 (World CUP) niwe nafanya Streaming za game kama wenzetu walioendelea.
Game inaendelea na mm nipo Live, ile style ina mizuka sana. Kwahiyo huu mwaka kuna mengi wanangu. Uzuri nikisemaga kitu huwaga ni SHERIA.
TUTAKUWEPO🫵😎
CHADEMA Arusha. Kuna nyakati historia huwaita watu wake si kwa maneno, bali kwa dhamira. Jumamosi tarehe 24/01/2026, Tengeru Arusha haitakuwa tu mahali pa mazishi ya Mzee Edwin Mtei, itakuwa mahali pa kuhoji dhamiri zetu kama wanachama wa CHADEMA.
Mzee Mtei na wenzake hawakuanzisha CHADEMA kwa ajili ya madaraka, bali kwa ajili ya haki na heshima ya utu wa Mtanzania. Pamoja kuwa niko nje ya nchi kwa masuala ya kifamilia, lakini dhamira yangu hainipi nafasi ya kunyamaza. Natoa wito kwa wanachama wote wa CHADEMA hususani Mkoa wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kusimama upande wa historia kwa kujitokeza kwa wingi sana Tengeru kutoa heshima ya mwisho kwa Mzee Edwin Mtei, muasisi wa CHADEMA. Mzee Edwin Mtei anastahili heshima kubwa, si kwa maneno, bali kwa matendo.
Mungu awabariki sana.
Heri ya siku ya kuzaliwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
Nakutakia maisha marefu yenye afya njema, nguvu, na hekima ya kuendelea kulitumikia taifa kwa moyo wa uzalendo, ujasiri, na uadilifu. Binafsi nimepata kukufahamu, wewe ni mtu imara na jasiri sana.
Tunaamini kwa dhati kwamba kuta za gereza la Ukonga haziwezi kamwe kuzima dhamira yako thabiti ya kupigania haki, usawa, na utu wa Watanzania. Kesho, Taifa letu litakuwa salama sana kwa kila mtu.
Kwetu wengine, hii imekuwa fursa sahihi ya kutafakari safari yako ya maisha, mchango wako katika kupigania haki, demokrasia, na utawala wa sheria, pamoja na matumaini ya yaliyo mbele. Tunajivunia sana.
Tunatambua na kuthamini dhamira yako ya dhati na thabiti, msimamo wako usioyumba, na uthubutu wako katika kusimamia misingi ya haki na usawa, hata pale kunapokuwa na changamoto kubwa katika jamii.
Kazi yako katika siasa za nchi yetu imekuwa chanzo cha hamasa kwa wengi, hususani vijana, kuamini katika sauti yao na wajibu wao kwa jamii na nchi kwa ujumla. Umelitumikia Taifa lako kwa uadilifu mkubwa sana.
Tunakuombea ulinzi, amani ya moyo, na baraka tele katika hatua zako zijazo. Uendelee kuwa sauti ya ukweli, mwanga wa matumaini, na kielelezo cha uongozi unaojali maslahi ya wananchi kwa ajili ya kesho yetu nzuri.
Happy Birthday to a friend to many—Tundu Antiphas Mughwai Lissu. May the years ahead bring strength, perspective, and the continued capacity to shape public life with honesty and purpose. Happy Birthday TAL.
Because of the killings that took place in Tanzania I probably shouldn’t criticize any country’s politics but damn is Uganda even a real country? It’s a circus, at times I feel like they are just acting in a comedy show and it’s not real life.
Kwa sababu ya mauaji yaliyotokea Tanzania, siwezi kukosoa siasa za nchi nyingine yoyote, lakini jamani hivi Uganda ni nchi ya kweli kama nchi zingine? Wakati mwingine naonaga kama circus show. Kuna nyakati nahisi kama wanaigiza tamthilia ya vichekesho, na si maisha halisi kabisa. Dah
Hongera sana @JohnNgutiCDM kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bavicha Kanda ya Pwani.
Nakutakia kila la kheri katika utekelezaji wa Majukumu yako, nenda kawatumikie Vijana wenzako, Chama na Taifa kwa ujumla.🙏