Rieta Seed Tanzania

5.1K posts

Rieta Seed Tanzania banner
Rieta Seed Tanzania

Rieta Seed Tanzania

@RietaSeed

Rieta Seed 🇹🇿 | Quality Seeds | #KILIMONINSISI | Maize seeds - UH 6303, Situka M1|🌽🌾 |Mob/WhatsApp 🇹🇿 +255755325442 [email protected]

Songwe, Tanzania Katılım Temmuz 2019
5.6K Takip Edilen6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
@RietaSeed tunayo Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303 Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe. - Mavuno mengi magunia 30 kwa eka. - Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi. - Bei: sh 4,500 kwa kilo. - Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja.
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
15
16
79
0
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Kuhakikisha ubora ni moja kati ya majukumu yetu ya lazima.
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
3
48
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Hakikisha mbegu unayonunua ina stika ya kuthibitisha ubora wake kutoka TOSCI. Kwangua ufuate maelekezo ili upate uhakika wa mbegu uliyonunua. Mwaka huu hatapeliki mtu. #RietaSeed #kilimonisisi Piga simu 0741217222
Rieta Seed Tanzania tweet mediaRieta Seed Tanzania tweet mediaRieta Seed Tanzania tweet mediaRieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
1
60
Rieta Seed Tanzania retweetledi
Farm With Fred
Farm With Fred@Fredmunene_·
I’ve always admired Tanzania they’re a shining example that Africa can indeed feed its own children. Interestingly, their national anthem opens with “Mungu ibariki Afrika” (God bless Africa), and they’ve truly lived up to that prayer. With vast, fertile land, Tanzania has demonstrated what food sovereignty and resilience should look like. It’s the kind of Africa we all dream of. Last year alone, Tanzania achieved remarkable agricultural milestones. One thing that stands out for me is their bold embrace of OPV (Open Pollinated Varieties) seeds, especially in onion production. No other seed variety can rival their famous Mang’ola onions in the market. In fact, every other onion variety seems to give Mang’ola a guard of honour whenever it appears it’s that dominant. Tanzania remains a leading example of what African countries can accomplish with the right mindset, policies, and passion for farming. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 #TukuzePamoja #LetsGrowTogether
Farm With Fred tweet media
English
3
18
114
5.7K
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary Tumetimiza miaka 6 ya kutoa huduma ya mbegu bora. Asanteni kutuunga mkono. Tutazidi kuwapa kilicho bora siku zote.
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
90
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Wakala, jisajili kwenye mfumo wa ruzuku kusambaza mbegu za Rieta. Tuma taarifa zako nikusajili. 0755325442
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
2
190
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Habari. Ili kuuza mbegu ya Rieta Seed unatakiwa kuwasilisha taarifa zako Wakala nasi tuziwasilishe TOSCI. TUTUMIE TAARIFA ZAKO KWA NAMBA 0755325442 Kama unapata changamoto yoyote kuhusu usajili wasiliana na timu yetu. Idara ya Masoko RIETA SEED 0755325442
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
78
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Msimu mpya wa kilimo twenzetu na hii kutoka Rieta. Kuna bei ya rejareja na kuna bei ya wakala. 0755325442
Rieta Seed Tanzania tweet mediaRieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
125
Rieta Seed Tanzania retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
#BajetiYaWakulima Kila kitu ni mipango, utekelezaji na usimamizi. Tunaendelea kufanyia kazi changamoto mbali mbali na kuboresha mifumo, lakini mapinduzi kwenye sekta ya kilimo yanawezekana, na yanaonekana.
Hussein M Bashe tweet mediaHussein M Bashe tweet mediaHussein M Bashe tweet media
Indonesia
36
58
137
11.8K
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Twende na hii #T105 msimu huu. - inakomaa mapema, siku 90 - inastahimili ukame - mavuno mengi Hakikisha umejiandikisha kwenye mfumo wa ruzuku ili upate mbegu bora kwa bei nafuu. Wakala, wasiliana nasi upate utaratibu wa kupata mbegu zetu za ruzuku. 0755325442
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
88
Rieta Seed Tanzania
Rieta Seed Tanzania@RietaSeed·
Twende na hii #SitukaM1 msimu huu. - inakomaa mapema, siku 75 - inastahimili ukame - mavuno mengi Hakikisha umejiandikisha kwenye mfumo wa ruzuku ili upate mbegu bora kwa bei nafuu. Wakala, wasiliana nasi upate utaratibu wa kupata mbegu zetu za ruzuku. 0755325442
Rieta Seed Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
3
158
Rieta Seed Tanzania retweetledi
🌾
🌾@nuruafrica·
ASANTE kwa TAFU #PichaNzuri
🌾 tweet media
Filipino
0
2
5
149
Rieta Seed Tanzania retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
#BajetiYaWakulima Kupitia TARI, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka msingi imara wa mageuzi ya utafiti wa kilimo nchini. Tumefanikisha kupata ithibati ya kimataifa kwa Maabara ya Afya ya Udongo na Mimea iliyopo Mufindi, kukamilisha usanifu wa Kituo cha Sayansi za Kibaolojia (Bioscience) Morogoro, na kuanza maandalizi ya ujenzi wa Benki ya Mbegu ya Taifa. Vilevile, ujenzi wa maabara za kuzalisha miche kwa njia ya chupa (Tissue Culture) na maabara ya patholojia umefikia asilimia 42.5. TARI imeendelea kuwa chachu ya tija na ubunifu katika sekta ya kilimo—tunawekeza katika maarifa ili kuandaa kilimo cha kesho.
Indonesia
3
14
20
2K
Rieta Seed Tanzania retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
#BajetiYaWakulima Uzalishaji wa mazao ya chakula umeongezeka kutoka tani 17,148,290 mwaka 2021/2022 hadi tani 22,803,316 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 33 na kufanya utoshelevu wa chakula nchini kufikia asilimia 128 dhidi ya lengo la asilimia 130 . Haya yametekelezwa kupitia a. Uzalishaji wa mahindi umeongezeka kutoka tani 6,417,356 msimu wa 2021/2022 hadi tani 12,261,162 msimu wa 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 91.06 na kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji wa pili Afrika; na b. Uzalishaji wa mchele umeongezeka kutoka tani 1,768,369 msimu wa 2020/2021 hadi tani 3,046,285 msimu wa 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 72.27. #BajetiYaWakulima
Indonesia
11
30
69
3.9K
Rieta Seed Tanzania retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Salaam Ndugu Zangu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na leo kupata nafasi ya kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kama Waziri mwenye dhamana. Bajeti ya Wizara ya kilimo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi Shilingi Trilioni 1.248 mwaka 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia 324.49; ii. Ukuaji wa sekta ya kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa sekta ya kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka 2025 na asilimia 10 mwaka 2030; iii. Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kutoka Dola za Marekani Bilioni 1.2 mwaka 2019/2020 hadi Dola za 13 Marekani Bilioni 3.54 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 195. Endelea kufuatilia #BajetiYaWakulima leo 21 Mei na kesho 22 Mei 2025. Tunasonga Mbele.
Indonesia
41
50
123
6.2K