Magobe

8.7K posts

Magobe banner
Magobe

Magobe

@Robertmagobe

Farmer || Chemist || Lifelong student in Entrepreneurship || Establishin’ MarthaFord Co. ||

Mbeya, Tanzania Katılım Ekim 2013
583 Takip Edilen925 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
To make a Good Business 3 things must come together 1. The right people 2. The right opportunity 3. Money Very rarely to bring the 3 factors together at the same time, Sometime you find one of them and miss the others. The job of an Entrepreneur is to bring the 3 pieces together
English
0
6
25
0
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@MarekaMalili Bangi nafuu kuliko vyote.. kuliko Sigara, pombe, cocaine, heroin, methamphetamine, ecstasy (Molly, MDMA), Ketamine
Filipino
0
1
1
281
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@ThomzJoseph Na hasara yao ndio faida ya wanao make profit
Indonesia
0
0
4
1.1K
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
Ni kweli hii kitu..!🤔
†hømz tweet media
Indonesia
57
58
693
42.3K
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@WaridaYahaya @thisistemidayo Ilisemekana iuzwe reserve ya gold kumalizia miradi, kuna reforms zimefanyika TRA kwajili ya effeciency ya Tax collection. Haya ni baadhi tu kuwa mapato hayatosherezi kugharamia miradi mikubwa.. haimaniishi itakuwa hivyo milele kuna wakati fungu litapatikana wata-resume ujenzi
Indonesia
0
0
1
28
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@WaridaYahaya @thisistemidayo Kunichawalia ni kazi bure. Naelewa kuna nyakati bila grants na mikopo nchi za third world kama yetu zinastruggle sana vyanzo vya mapato... kwahiyo sithubutu kiniletea propaganda zako wala sitarudi tena hapa kujibu chochote kila mtu abaki na anachoelewa
Filipino
1
0
0
14
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@joshuamuta @ayubu_madenge Pweza anawino huacha akiwa anawindwa. Pia anarangi nyingi kama kinyonga anaweza kubadilika rangi kulingana na mazingira na vitu vinavyomzunguka kwenye maji
Indonesia
0
0
1
91
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Pweza ana mioyo mitatu, ubongo miwili na damu ya rangi ya blue. Tena ana akili nyingi kuliko wanyama wote wasiokuwa na uti wa mgongo. Viungo vya pweza vikikatika vinaweza kuota upya vikawa vipya tena. Pia kwenye hatari mwili wake unatoa wingu la rangi linalomchanganya adui.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
26
43
568
16.6K
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@ayubu_madenge Pweza Sio Samaki, ni Kiumbe tu anayeishi Baharini. Hana tabia za samaki hata kidogo
Indonesia
0
0
3
278
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Tulia kidogo… mambo yatakaa sawa, InshaAllah 🙏🏽 // Relax… take it easy. Everything will be alright, InshaAllah.🙏🏽
Mohammed Dewji MO tweet media
English
57
66
749
13.4K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Mtu anakataa 2.5M ya kampuni anachukua 1M ya serikali et anakwambia anaangalia job security. Sasa wewe job security inakusudia nini mtafutaji ?
Indonesia
55
64
821
39.4K
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@Oziko_Jo @zed_officially Wengine ni entrepreneurs, ajira ni njia ya kujifunza na chanzo cha mtaji tu.. Na kama unataka kudevelop carrier yako na ku-climb ladder ukiwa mbobevu kwenye kile unachofanya hata private utastaafu kama serikalini
Indonesia
0
1
1
93
💎
💎@Oziko_Jo·
@Robertmagobe @zed_officially Mkataba wa Miaka 3 na Miaka 25+ ipi Bora kwa Viwango Vilivyotajwa Bila kusahau Private unatumikishwa Hadi Nje ya Muda wa Kazi(Shift ikiwa imeisha]
Indonesia
1
0
0
81
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@stvnsonscreen05 @zed_officially Mimi ni mjasiliamali, Ama la ningechagua 2.5m private bila kusita kuliko 1m government na kuanza kuiibia serikali na kuhujumu wananchi.. maana watumishi wa UMMA ndimo wanapotajirikia WIZI tu
Indonesia
1
0
0
75
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@hereiseddy_ Ana-assets nidhamu anayo ama la anajua namna ya kupata pesa hawezi lingana na asiye na asset.. pia usimfananishe na Mo. Mo naye anamachaguo yake na pesa yake.. maana kama nilivyosema ukishakuwa na pesa nyingi FREEDOM ni pamoja na kuzifanyie kile utakacho ANGETEMBEA UCHI hapo sawa
Filipino
1
0
0
28
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@WaridaYahaya @thisistemidayo Mbeya Highway imefumuliwa huu mwaka wa pili.. after general election kwisha habari, wachina wamepaki equipments hakuna kinachoendelea
Filipino
1
0
0
12
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@hereiseddy_ Anauhuru wa kuchagua kile anachotaka. Hata kama anapesa nying yeye hajaamua kununua hizo jinsi, tshirt na mashati. Kwanini unakwazika kwa maamuzi juu ya hela yake mwenyewe? Financial freedom kwa tajir ni pamoja na kununua kile unachotaka vile atakavyo Si kwa matakwa yako/jamii
Indonesia
1
0
0
26
ADENUGA✝️
ADENUGA✝️@hereiseddy_·
@Robertmagobe jeans ni 25-50k Tshirt 13k-30k Mashati ni 15k-35k sitaki kujua hali yako ya kiuchumi ila naamini hivyo vitu you can afford! Je ukiwa tajiri nini kitakufanya utoke huko urudi kuvaa mitumba ya 3k Ndio nidhamu ya pesa? Mo dewji hana nidhamu ya pesa? maana havai mitumba ya 3k!
Indonesia
1
0
1
42
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@StoneSaphia Wengine fashion sio kipaumbele. Kama shati halijatoboka, halijapauka, linamstiri, na wala hataki kutengeneza attention yoyote kwa watu Uhuru wa kifedha ni pamoja na kufanya chochote kile unachotaka bila kudhuru wala kuvunja haki za wengine. Sio kwa matakwa na matarajio ya watu
Indonesia
0
1
2
341
Nurse Saphia
Nurse Saphia@StoneSaphia·
Jana ndio nimejifunza kitu matajiri wengi ni bahiri wananidhamu sana na pesa kuna baba huwa namuuzia tshirt za mtumba za elfu tatu karibu miezi miwili sasa sikuwahi kujua kama ni mmiliki mkubwa wa mabus mpaka jana kijana aliyempa kusimamia moja ya biashara yake aliposema ikabidi
Indonesia
31
10
290
33.4K
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@Elsukay0 Sasa kama ni wakinga huyo ni mkinga asiye na hela. Wapo wakinga wanamzigo wa kutosha ila ni anonymous
Filipino
0
0
0
319
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Kati ya wakinga na wachaga ni kabila lipi wanaumahiri katika kufanya biashara? Ni kabila gani linajua biashara vyema?
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Indonesia
41
13
260
27.3K