SWAXX
694 posts


@stvnsonscreen05 @godbless_lema Hilo ndio jibu la maswali yangu?
Unazungumza kama vile ww ya kwako haitofika.
Indonesia

Tunazaliwa bila kitu, na tunaondoka bila kitu, kifo hutukumbusha unyenyekevu wa maisha. Ukiyatafakari maisha kwa kina, utajifunza mengi, lakini zaidi ya yote utajifunza upendo, huruma, haki na utu wema ndio vitu vya msingi ktk kuishi. Maana hapa duniani tunapita kwa kasi kubwa sana, haijalishi tunamiliki nini au sisi ni nani. Kifo ni kumbusho kuwa kesho yetu haipaswi kuwa chanzo cha maumivu kwa wengine hata kidogo. Nafikri hii ndiyo maana halisi ya kuishi , kuacha alama ya wema na upendo si majeraha mioyoni mwa watu. Maumivu ya kuondokewa ni makubwa, lakini kumbukumbu nzuri ni tiba ya moyo.
Indonesia

@stvnsonscreen05 @zed_officially Mimi ni mjasiliamali, Ama la ningechagua 2.5m private bila kusita kuliko 1m government na kuanza kuiibia serikali na kuhujumu wananchi.. maana watumishi wa UMMA ndimo wanapotajirikia WIZI tu
Indonesia

@Elsukay0 Unaambiwa hata SHISHI Food ni ya kwake ila hataki watu wajue.
हिन्दी

Afu Kuna machalii niliwafollow wakafollow back Kisha wakaunfollow, Tena Kuna wengine toka nimefollow hawajawahi FB.
Nasimama na @Innocen89950594🔥🔥
NB:sugu

KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594
@prossoff Tena Hakuna Hata Kumuandaa Unampaka Mafuta Hadi Ameremete Unaloweka Utambi Unamwaga Anasepa Akitaka Kukojoa Akamtafute Aliyemtoa Bikra
Filipino

@Innocen89950594 @prossoff Unataka kusemaje Mkuu!
Kwanza FB hap mbio mbio.
Indonesia

@prossoff Wanaoa SINGLE MOTHER Tena Ambaye Baba Mtoto/Watoto Wake Yupo Hai Hao Ndio Wananiacha Hoi Kabisa Unajiuliza Hivi Huyu Jamaa Ni Mzima Kweli? 😁🐗
Filipino

Sisi wanaume huwa tunaamua kudate na mwanamke ambaye sio Bikira halafu baadaye tunakuwa surprised baada ya kugundua huyo mwanamke ni malaya.
Umekutana naye akiwa sio Bikira kwahiyo unajua kabisa she was fucking other men before you, lakini bado ukaamua ku--date naye.
Kama huoni noma kuoa mwanamke ambaye sio Bikira lolote litakalokutokea ujue unastahili kukutana nalo na halitakiwi kukushangaza au kukusumbua kwa namna yoyote ile.
Kama umempenda kwa sababu ana "tabia njema" endelea kufocus na tabia yake na sio vinginevyo.
Simple!
Filipino

@MussaSweya @godbless_lema Wewe subiri siku yako dingii wacha longolongo
Indonesia

@godbless_lema "Tunazaliwa na kuondoka bila kitu"
KITU kwako ina maana ipi?
Jitahidi uishi maisha mazuri duniani
Maisha baada ya kifo hakuna aliye yathibitisha kwamba yapo kama kwenye vitabu ambavyo wengi wanaamini.
Kufa utakufa ila pepo au moto mimi siwezi sadiki
Indonesia
SWAXX retweetledi

@zed_officially @elite_safari Watu kama hao huwa ni wavivu sana. Wanahofia kampuni inaweza kuwatema muda wowote kutokana na uzembe wao
Indonesia

@Robertmagobe @zed_officially Ungekua ndo wewe ungechagua wapi!?
Indonesia

@zed_officially Ni akili mbovu ya kivivu, wanajua serikalini hakuna kazi wanapiga story tu maofisini. Private performance inamatter hawajiamini na weledi wao hivyo wanahofu ya kuachishwa kazi
Indonesia
SWAXX retweetledi

@Narrowbeeflying Ni kwamba umeshakua mkubwa Majukumu yako yamereplace attention uliyowekeza kwenye hiyo angle wakati unakua ndo Mana unaona jamaa amekua wa kawaida Sana, na sio kwako tu Kwa watu wengi.
Filipino

@Narrowbeeflying Wadoz wanabiashara nyingi , Anaweza weka hata ofissi tu ya kusukumia Mambo yake yaende Ila utaona anazuga na biashara ya kawaida Sana.
Indonesia

@stvnsonscreen05 Mfano hata kama ni mdosi kachukua kule ni biz gani ataweka?
Indonesia


















