Roby_16
6.3K posts

Roby_16
@Roby161
Christ is the Lord 🙏 🇹🇿 🇰🇪🇿🇦🇳🇬 Football fan ⚽
Tanzania Katılım Aralık 2022
1.2K Takip Edilen1.2K Takipçiler

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.
1. Anauza duka la mtu.
2. Migahawani na mahotelini.
3. Bar maid.
4. Muhudumu wa Guest house/Lodge.
5. Muigizaji.
6. Mnenguaji.
7. Saloon za kiume.
8. Muhudumu wa magari.
9. Agent stendi.
10. Mtembeza mboga + matunda.
Hiyo ni aina ya ladies among other ambao wapo subjected ma wanaume aina mbali mbali.
Wanakutana na watu ambao wanazo hela zilishakosa kazi where as kazi yake inabaki ni kurutubisha mbong'o.
Huyo kama hana akili binafsi ni ngumu na wengi ni single moms katoto kako kwa bibi.😁
Indonesia
Roby_16 retweetledi
Roby_16 retweetledi
Roby_16 retweetledi
Roby_16 retweetledi
Roby_16 retweetledi
Roby_16 retweetledi

Hii MICHONGO kama kijana umefanya na umetoboa basi hakuna kitakachokuyumbisha:
1.Kuuza simu USED zenye vipengele daily
2.forex (trading)
3.Dalali wa nyumba / viwanja – miezi mingi unaweza kukaa bila deal, ganji mnagawana
4.Kuuza magari used – wateja wagumu anacompare wauzaji 10
5.Boda boda mjini kati– hatari ya ajali + pressure ya kila siku
6.Kuuza Kariakoo (hasa electronics au nguo) – ushindani mkali sana kila mtu anauza
7.Import biashara (Dubai–China–Tanzania) – risk ya mizigo kupotea, mzigo kuja usivotarajia,Cargo kuyeyusha, na kuitwa tapeli
8.Freelancing online (copywriting, design, coding,VA,etc) – kupata clients ni ngumu mwanzoni
9.Kufanya sales agent wa bidhaa (insurance, telecom mabando, real estate) – unalipwa kwa commission tu
10.Content creation / influencing – miaka ya mwanzo unafanya bila kupata hata mia🤣
ONGEZEA👇

Indonesia

🚨👑 Bruno Fernandes sets new record for Manchester United: 16 assists in a single Premier League season.
Most than any other player in #MUFC history, beating David Beckham’s record with 15.

English
Roby_16 retweetledi































