stevehere

1.6K posts

stevehere banner
stevehere

stevehere

@RurounStephan

sports, music, economics, politics,

Katılım Ağustos 2019
1.6K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
stevehere
stevehere@RurounStephan·
Ku balance matarajio ni muhimu sana, ikiwemo kujiandaa kufeli. Inasaidia kutoanguka mazima.
stevehere tweet media
Indonesia
1
1
4
607
Williard
Williard@prolific_88·
"Tumesitisha matangazo kusikiliza ripoti ya tume tutarejea mechi ya usiku" Lipia Dstv
Indonesia
16
26
442
18K
Williard
Williard@prolific_88·
"Alipita yanga pale jangwani akitokea Vita club ya congo akaenda pyramid pale Misri leo anacheza zidi ya Cr7 amabye alianzia maisha yake sporting akapelekwa man unkted kwa msaaada ya wa rafiki yake....................akaenda madrid akawa bingwa mara 5 wa uefa......................akaenda juve...........akaenda man u tena ........sahivi yupo Al nassir. ................ Ooooooh amekosaaaaaaaaa...
Filipino
26
10
193
12.4K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Hivi ile Citizenship by marriage inafanya vipi kazi? Nikioa Kenya, nikaja Bongo na wife na marriage certificate nafata procedure gani ili na yeye awe raia. Au ni Ndoa tu na akishaingia Bongo imeisha?
Indonesia
5
14
127
7.6K
stevehere
stevehere@RurounStephan·
@ProLearner77 @mananajr_ Hatua zipi zinachukuliwa ikiwa mtu atapitiliza muda uliowekwa kwenye passport baada ya kuingia nchi jiranj mfano uganda au kenya?
Indonesia
1
0
0
147
Learner✝️🛐
Learner✝️🛐@ProLearner77·
@mananajr_ Hapati Uraia. Anapata kibali cha kuishi (residence permit) ambacho atakuwa ana-renew kila baada ya miaka 2. Utamuombea kama depedant. Baada ya miaka 10, ndio anaweza kuomba kupewa uraia, na atatakiwa kukana uraia wake wa awali.
Indonesia
3
1
8
688
stevehere retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Martin maranja masese @IAMartin_ ni mtetezi wa haki za binadamu na mchambuzi wa siasa mwenye ushawishi mkubwa katika mijadala ya kijamii hasa kupitia mitandao ya kijamii Alianza maisha yake ya kazi kama mwalimu kisha akaamua kuacha ajira ya serikali na kujikita katika shughuli huru za kijamii na kitaaluma akilenga zaidi kuelimisha jamii kuhusu haki za binadamu, uwajibikaji na utawala bora Umaarufu wake umejengwa juu ya uwezo wake wa kipekee wa: 1:kuchambua masuala ya kisiasa kwa kina na kwa mantiki 2:kuunganisha sheria, historia na uhalisia wa kijamii katika hoja zake 3:kuelimisha vijana kuhusu haki zao na wajibu wao katika jamii 4:kuhimiza uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi Kupitia mitandao ya kijamii hasa X/Twitter amekuwa chanzo cha mijadala yenye manufaa kwa jamii akisaidia kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu demokrasia, haki za binadamu na masuala ya utawala Katika safari yake amekutana na changamoto mbalimbali ikiwemo shinikizo la kijamii na kuitwa na vyombo vya dola kutokana na msimamo wake wa wazi lakini hali hiyo haijamzuia kuendelea kusimamia anachoamini Mpaka sasa anaendelea kutambulika kama mmoja wa sauti muhimu zinazochangia uelewa wa haki za binadamu, uwajibikaji wa viongozi na maendeleo ya fikra za kisiasa miongoni mwa vijana Tanzania
Mwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
49
140
767
49.7K
stevehere retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili. Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao. Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Indonesia
135
420
1.5K
50.3K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
BONGOSTAR SEARCH: HII HAPANA Hatuwezi kukuza VIPAJI VIPYA kama tutakuwa tunavi HUMILIATE, MISTREAT & UNDERMINE kwa this type of unfair judging & condescending approach. Huyu Binti anaimba, rap, na ni bilingual mwenye personality na exposure ya ulaya. Hizo ni Taarifa ambazo amezitoa ndani ya sekunde 20 za mwanzo; zilitosha kwa yeye kupewa BENEFIT OF DOUBT, na hata namna ya ku-engage nae ingeweza kuwa friendlier na yenye way more entertaining content than kum-shutdown hivi! IKUMBUKWE; Washiriki ni AMATEURS na WAKO NERVOUS. Unaweza kuwa INDIFFERENT & UNBIASED as a JUDGE ila sio kuwa CRUEL; you can KILL THEIR CONFIDENCE na hata kama anajua akafanya BAD PERFORMANCE. Ndio maana WAZOEFU humfanya Mshiriki a-relax, kumsifia alivyovaa, kumuuliza nini anaimba, kum-wish goodluck, ili a calm down kabla ya kuperform. MFANO mimi kama Judge, ningemtania kuhusu BRITISH ACCENT yake, au ningemuuliza LONDON alikuwa anafanya nini, etc. Way BETTER CONTENT for THE AUDIENCE. Alafu disqualification yake ni kuwa SAUTI IKO CHINI, Really? Hicho si ni kielelezo tosha kuwa SHE IS NERVOUS? 🤷🏾‍♂️ Mimi nimemsikia kuimba anajua (hajakosea kitu), na angeruhusiwa 5-7 more seconds ambapo wimbo ulikuwa unaenda ku-TRANSITION, ndio tungejua uwezo wake zaidi. Na hivyo hivyo kwenye ku-rap, ame-rhyme, ameflow na amekaa kwenye pocket; Mashairi yake kweli ni Explicit ila sio kiiivyo. Hata kina SIMON COWELL, wakiona RAW POTENTIAL, ila iko nervous, huwa wanasimamisha encourage them, then wanawapa second chance, na sio kuwa dismiss. Na mtu wa hivyo DEVELOPMENT & GROWTH ARC yake inaenda as anaendelea kuwepo kwenye Shindano na pia inawapa Audience nafasi ya ku-fall in love with Washiriki. Mimi, WAKAZI, as a former judge wa UNITALENT SHOW, huyo dada ANAJUA KUIMBA; anaimba kwa Mix ya “HEAD & CHEST VOICE” na LOWER REGISTER MEZZO ALTO ndio her VOICE TYPE. ANAWEZA KU-RAP pia na Content yake inashabihiana na Female Rappers wa kisasa (Meg The Stallion, Sexy Red, Latto) so hiyo VERSATILITY yake ni golden. Ana PERSONALITY and Particular SENSE OF FASHION with GOOD COMMUNICATION SKILLS (English & Swahili). Na hizo zote ndio QUALITIES ZA KUTENGENEZA A STAR. You can do better… The Leader
Filipino
205
212
1.1K
139.1K
stevehere
stevehere@RurounStephan·
Tom cruise and denzel😂😂🚮🚮
xdike@xdike_

please stay with me while i break this down.🙏 Jason statham? there’s 99% chance of him turning it into a car chase that totals 12 Lamborghinis. your son’s rescue mission becomes fast & furious17 collateral damage budget becomes higher than your house.😂 let’s not forget how bad our roads are🥲 Denzel washington He’s going to take 30 minutes to explain life lessons to your son during the rescue. “boy, you need to understand that pain is just weakness leaving the body.” fulani herdsmen would have beheaded him by then. Agent 47? no long talk, the heat in nigeria will probably make him malfunction. it’s a no. Jack bauer? he will def torture someone on live TV to find your son. your son gets rescued at 7:00am, but he has committed 4 war crimes before 7:15am 😂 you’re now on a watchlist too. let’s not forget your son will be used as bait 3 separate times. it’s a no too😂 Tom cruise?He’s going to hang off a plane then jump just to ask a guy one question. Mission budget = nasa budget😂 you don’t have money for that either. and he’s bringing a team that will all almost die for drama. so John wick is the man for the job why? his motive is clear, he doesn’t have time for speeches, just give him a location and when he goes there everyone dies, son comes home. he took on the high table over a dog,now Imagine what he does for a child. just get him a dog as payment and you’re good😂 who are you hiring if it were you?

Nederlands
0
0
2
85
Williard
Williard@prolific_88·
PSG wapewe kombe lao leo hii hii by the Order of peacky fuckn' Blinders
Williard tweet mediaWilliard tweet media
English
2
1
25
546
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Ilianza kama Utani Mr T naye akabariki baada ya hapo ni Boooom.
Indonesia
15
62
445
12.2K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Unaishi Dubai unaweka mimba mtoto wa watu bongo unarudi tena Dubai alafu unaomba wanaume wenzio waliopo bongo wamtumie mkeo hela ya kujikimu ana mimba yako, kwani bupe lazima uishu dubai😅😅😅
Indonesia
15
17
194
12K
Williard
Williard@prolific_88·
Uzuri ni kwamba maumivu yanaendana na kipigo alichotoa Vina na bado kumanina mtazoea tu.
Suomi
12
10
85
2.9K