Richard Senkondo

1.9K posts

Richard Senkondo banner
Richard Senkondo

Richard Senkondo

@SENKONDORICHARD

B.A. in Political Science, https://t.co/fvVffYN6cN. Climate Change & Sustainable Development. Environmental &Human Rights Defender. Advocate for Anti-Fossil Fuel Prolifer

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2013
974 Takip Edilen313 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Richard Senkondo
Richard Senkondo@SENKONDORICHARD·
Transitioning to Renewable Energy could help Tanzania to achieve its commitment to reduce greenhouse gas emissions economy-wide between 30-35% relative to the Business-As-Usual (BAU) scenario by 2030 #PowerUp⚡Tanzania with Renewable Energy @350Africa @OrganizationOce @stopEACOP
Richard Senkondo tweet media
English
1
8
22
1.6K
Richard Senkondo retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza. ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi. 2. MABEBERU: Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu? 3. AMANI YA NCHI Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi? 4.MARIDHIANO Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli? 5. CHADEMA na CCM Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa? 6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29 Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele. 7. TUNDU LISU Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?! 8. WIZARA YA MAMBO YA NJE Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO. 9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe. Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa. Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
Indonesia
68
441
1.5K
54.2K
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya Ziwa—mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu. Cha kushangaza zaidi, mkoa mmoja wa Dodoma una Mawaziri wanne. Hii ni dhihirisho la wazi la kutengwa kwa Wasukuma na wakazi wa Kanda ya Ziwa katika uamuzi wa masuala nyeti ya Taifa, licha ya kanda hii kuwa kubwa kwa idadi ya watu, eneo na mchango wake wa kiuchumi. Nahene —ndoho tabu!
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 07 Januari, 2026.

Indonesia
208
46
450
98.8K
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Akina Bashee walikuwa wameleta mfumo kwenye kilimo, Pamba, Kahawa yalikuwa makampuni fulani wakadhibiti makampuni inafsi kununua haya mazao ei wanapanga wao, Karagwe kahawa ikashuka ila unawauzia wao hadi kwenye sukari na mafuta ya kula Wizara ya Kilimo inahitaji great reforms
Indonesia
11
24
343
24K
Richard Senkondo retweetledi
U.S. Embassy Dar es Salaam
U.S. Embassy Dar es Salaam@usembassytz·
Leo, Kaimu Balozi Lentz alifanya mazungumzo ya wazi na yenye tija na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya sasa na mustakabali wa uhusiano rasmi kati ya Marekani na Tanzania.
U.S. Embassy Dar es Salaam tweet media
Indonesia
105
71
374
150.1K
easternrace
easternrace@easternrace·
@bajabiri Mambo ya kiafrika haya alafu badae wanapenda kuomba msaada wa kupambana na kipindupindu
Indonesia
1
0
6
734
Seneta Bajabir™️
Seneta Bajabir™️@bajabiri·
Rais Mnangagwa wa Zimbabwe, amegawa haya magari 21 kwa Jumuiya ya wanawake wa Chama cha ZANU PF kwa lengo la kuwafikia wanachama na kueneza itikadi za Chama. Vipaumbele vya wanasiasa wa Dunia ya 3 ndio HIVI....
Seneta Bajabir™️ tweet mediaSeneta Bajabir™️ tweet mediaSeneta Bajabir™️ tweet mediaSeneta Bajabir™️ tweet media
Indonesia
22
22
269
17.5K
Richard Senkondo retweetledi
Irish Embassy Dar
Irish Embassy Dar@IrlEmbTanzania·
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
Irish Embassy Dar tweet media
English
101
707
2K
211.9K
Richard Senkondo retweetledi
Senate Foreign Relations Committee Chairman
I welcome the State Department’s response to my requests to review the U.S.–Tanzania relationship. The ongoing situation in Tanzania is deeply troubling and threatens the stability and security of a vital region. This violent repression, including cases against Christian leaders, needs a thorough examination. I am also concerned by reports that U.S.-based tech companies are blocking social media access for individuals targeted by the Tanzanian government—including some in the United States. We have already seen the harmful effects of the former Biden Administration’s efforts to police social media on political and civic discourse in our own country. For this to be happening in Tanzania at that government’s request is unacceptable.
U.S. Department of State Deputy Spokesperson@StateDeputySpox

The United States values its longstanding partnership with the people of Tanzania, which has brought prosperity to our populations and security to the region. Recent actions by the government, however, raise concerns about the direction of our bilateral relationship. The future of our bilateral relationship with the Government of Tanzania will be based on its actions.

English
163
863
2.5K
317.9K
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
@NobelNelson Kwamba, akitolewa Rais—Makamu wa Rais anabaki? Shule muhimu sana!
Indonesia
2
0
13
2.1K
NTOBI
NTOBI@Ntobi_·
Wait… kwamba, Dr Nchimbi anawatuma TEC, halafu TEC inamtuma tena Dr. Nchimbi?🤔
Filipino
43
50
747
21.2K
Richard Senkondo retweetledi
January Makamba
January Makamba@JMakamba·
Mabadiliko, kokote yalikotokea, yalidaiwa na kuongozwa na vijana. Vijana wa Tanzania washike usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka.
Indonesia
85
737
1.8K
0
Richard Senkondo retweetledi
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
We were not invited to this government press conference even though the Tanzanians have our contacts and did not respond to CNN’s requests for comment
English
159
848
5.1K
252.3K
Seneta Bajabir™️
Seneta Bajabir™️@bajabiri·
Media zinadiskas mipira 24/7 kama zipo Brasil
Filipino
39
37
507
17.9K
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
Siyo Kigoma Mjini tu. Kuna majimbo mengi tulishinda tukadhulumiwa, hatukufanikiwa kuchukua ushindi wetu. Tumeshinda majimbo zaidi ya 30 huku Bara. Nguvu ya dola ilituzidi tukadhulumiwa. Hayo ndiyo mapambano. Tunajipanga upya kwenda mbele. Hatutarudi nyuma. Tunajipanga upya.
PSG🔥 #NiYeye@InnocentJLS

@Vicent_Kassala Mapambano ya umma ya Kigoma Mjini mbona hayakumpa ushindi Zitto Kabwe?, au alizidiwa kura ya Chawa Baba Levo?

Indonesia
5
0
0
475
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito kwa vijana wa taifa kuilinda amani ya nchi na kukataa kwa nguvu zote kushawishiwa kuingia kwenye vitendo vinavyohatarisha utulivu wa Tanzania.
Filipino
39
44
71
6.3K
Ndolezi
Ndolezi@Ndolezi_Petro·
Hata Tume ya Uchaguzi walibadili jina na kuongeza neno HURU wakaita TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI matokeo yake 2025 ni uchafuzi wa kupindukia haijawahi kutokea Duniani.
Ndolezi tweet media
Indonesia
14
0
15
1.1K
Richard Senkondo retweetledi
George Njoroge
George Njoroge@georgenjoroge_·
Tanzania has achieved political perfection: results first, voting later. Chadema calls it rigging, the government calls it efficiency. Democracy made in Dodoma.
English
6
187
575
45.7K
Richard Senkondo retweetledi
Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜
Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜@GwamakaMbughi·
Food of thought 💭 from Dr. Richard Mbunda. "Katika kipindi cha wiki nne za mwisho za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, tumeshuhudia kitu tofauti sana. Badala ya kusikia sera shindanishi ili wapigakura wafanye maamuzi sahihi, kipindi hiki kimekuwa cha matako....
Gwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 tweet mediaGwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 tweet mediaGwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 tweet mediaGwamaka 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗛𝗜 tweet media
Indonesia
2
30
68
4.4K