Sabitlenmiş Tweet
SN GAMES
2.7K posts


Taniboi mnaflex na funguo za malori ya maboss zenu.. Au unadhani hatujui logo za malori?🚮
Eze 10 🌟@hoodrich_eze_1
Hakikisha haukosi kiswaswadu,funguo ya ndinga kitabu Cha blue na mkanda either LV au Gucci #ElimikaWikiendi
Indonesia
SN GAMES retweetledi

@HBardizbah Biashara ya kuwekeza 1m kupata 1M in 13 months sio hesabu za matikiti labda kama unataka uonekane unasound SMART ama wewe ni mgeni kwenye biashara
Indonesia

@Rydx_017 Acha kudanganya watu. Tangu lini namba yako ya siri ikafungamana na NIDA? Mnaambiwa daily namba ya siri ni siri. Hiyo ni defarmation case kwa kampuni ya simu. Be careful with keyboard yako
Filipino

Kama unatumia Mobile money, ficha sana number yako ya NIDA,
just imagine mtu anaweza badili number yako ya siri akiwa na number yako ya NIDA kwenye Airtel Money!
This whole week, mdogo angu amekuwa akiwa analalamika kulipa deni lisoisha TIMIZA,
Then anakuja kugundua somebody has been changing his Pasword then anakopa Hela na kujitumia kisha kufuta messages 😂😂🙆♂️
Filipino
SN GAMES retweetledi

@Adv_innocent @HamisiMoha80100 Ps5 mbili TV n55 mbili .....ps4 moja na TV 43
Indonesia

@HamisiMoha80100 PS5 mbili 2m badjet viti viwili na tv inch 32 mbili each 250000 kodi ya pango 50000
HT

Na mmoja malaya kila siku anawalaza nje.
Usikae ghetto na mtu kibongo bongo mtagombana tu!
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Kaeni ghetto moja -mtu mmoja anajua Meta Ads -mmoja anajua Customer care -mtu mmoja anajua machimbo ya wholesale Kkoo,nk -mmoja anajua kuResearch bidhaa gani zinauzika ONLINE -mwingine Rider -mwisho content creator Watu 3-6 wenye hasira. Mnatoboa wallah.
Indonesia

Comedians wengi sana hawapo Sawa Vichwani mwao.....
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Mc mboneke sio Comedian ni CHIZI😂😂
Indonesia

SN GAMES retweetledi
SN GAMES retweetledi
SN GAMES retweetledi
SN GAMES retweetledi

@Roma_Mkatoliki Young dee ni true definition ya ukipania jambo lazima lifanikiwe.
Kipindi anasema nipo bongo bahati mbaya tulijua bhangi🙌
Indonesia
SN GAMES retweetledi
SN GAMES retweetledi






















