Sheldon shapaya
8.1K posts

Sheldon shapaya
@SShapaya
simbah( ni indi-toho)
Luvini Katılım Şubat 2021
4K Takip Edilen693 Takipçiler

Siku njema huonekana asubuhi... tuanze wiki pamoja tukijanjaruka na @mbuikassim na @binti_umazi hadi tamati.
#janjaruka254
#kassimnaumazi
#COCOFM
#ladhayapwani


On the ones and twos Leo tuko na Jamdown Shafflas; Daddy Marley & Selector Denno.
U ready?
#WaksTikiTaka
#RadioNumberOne. .

English
Sheldon shapaya retweetledi

HIMIZO LA SIKU :HAKUNA WA KUBATLISHA ZUIA MAKUSUDI YA MUNGU KWAKO
Isaya 14:27 Maana Bwana wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
#MwambaWaBaraka
@RadioTaifaFM
@DorahManya
Indonesia

@EvahMwalili @Radio47_Kenya Watoto Evra ,Cleverly, shalven watakua vichwa na sio mikia.Neema ya bwana iwe nao #Nuru47jumapili
Indonesia

Wakati wa maombi....
Zaburi 127:3....
Tazama, wana ndio urithi wa Bwana, Uzao wa tumbo ni thawabu. Watoto ni baraka yetu na leo tunatamka baraka kwao. Taja watoto wako kwa majina, tunawaombea! @EvahMwalili @Radio47_Kenya
#nuru47jumapili
#nuru47jumapili
#nuru47jumapili
Indonesia

@_kamaa1 @kilundeezy Msizoee kulima mtu ukweli...weka ka uongo jidogo😂
Filipino

Mnalala na politicians alafu mnakuja kutuadvice. Kila mtu aishi maisha yake.
Mercy Masai@Mercymasai3
Just because you were privileged don’t assume the rest are stupid !!
Eesti

@LyricalDoctor6 Nitoshee nguo mzae alininunulia 1995 nikiwa mdogo
Filipino


















