Sabitlenmiş Tweet
That Arsenal Guy 🇹🇿🇿🇲
6.2K posts

That Arsenal Guy 🇹🇿🇿🇲
@Sam_Gwaks
JEHOVAH over Everything! |Arsenal fan| Simba sc fan| |Football| 🎤🎤🎤🎼| Blessed Hope🙏🏾
Everywhere Katılım Ocak 2014
3.4K Takip Edilen2.9K Takipçiler
That Arsenal Guy 🇹🇿🇿🇲 retweetledi

Every man should:
1. Shave his hair and beard at least once every two weeks.
2. Own a wristwatch.
3. Have a feminine woman as his girlfriend or wife.
4. Have a well-paying job.
5. Have at least 8 pairs of boxers.
6. Maintain a personal relationship with God.
7. Have a father figure in his life.
8. Have a good smartphone and laptop.
9. Have at least one high-quality perfume.
10. Possess basic knowledge of leadership, economics, and politics.
Above all, love God.
English

@Andie_Malukutu Now you know why Tanzanian government banned foreigners to run small businesses ✍🏾
English

@Makanjila_23 Does she know that you go ku Dubai for vacation?
English

@masuesam @MrDepalitto9 Iyo sio copy ni fake
Copy inakua refurbished na inafanya kazi kawaida
Indonesia
That Arsenal Guy 🇹🇿🇿🇲 retweetledi

#TajiriLaKihaya
Kila siku huwa nawaambia humu…
Manzi inayojiheshimu saana inawanaume 7.
Infact sisi wanaume ni waaminifu saana kuzidi hizi manzi…
Ukitaka kuamini nenda kwa ile Challenge ya white n black…
Hakuna dem amepost akiwa na mwanaume wake…
Wanapita kama wanaaga maiti…
Weak men tu ndio wameJipost pale😂
Filipino
That Arsenal Guy 🇹🇿🇿🇲 retweetledi

@EdwinMjeru Hauitaji mwanasheria kuelekea hili, hii no kazi ya mwasibu na wataalam wa uchumi
Indonesia

Wanasheria tutani msaada please!
Kuhusu BRELA na TRA!
Assume mtu anataka kuanzisha kampuni ya KAZAMWENDO Group ambayo itakuwa inafanya biashara chini ya brand hizi👇
1. Kazamwendo Logistics
2. Kazamwendo Natural products
3. Kazamwendo Hardware
4. Kazamwendo tailoring
Swali 1: BRELA: Je, wakati wa kusajili BRELA asajili tu kampuni kama Kazamwendo afu zingine ziwe brand names za matawi ya biashara au inabidi asajili kila kampuni peke yake kulingana na biashara husika?
Swali 2: TRA; Je, achukue TIN number moja na kulipa kodi chini ya kampuni mama kwa pamoja au inabidi kila biashara achukulie TIN namba yake na kulipa kodi separately?
PS: Retweet ili iwafikie Wanasheria kwa msaada. Asante!
Asante kwa ushauri wako in advance!
Filipino

#TajiriLaKihaya
Naona DM zimekuwa nyingi kuhusu ratiba ya kesho – PILAU LA WAPWA SIKU YA IDDI.
RATIBA itakuwa kama ifuatavyo:
🕌 Saa 1:00 – 3:00 Asubuhi
Tutaanza kwa swala katika Msikiti Mkuu, Kinondoni.
🍽️ Saa 3:00 – 5:00 Asubuhi
Dua na pilau vitafanyika kwenye apartments zangu mpya zilizopo Kinyerezi.
(Bado zipo hatua za awali kabisa – tupo ground floor, jengo la ghorofa tatu.)
Kutakuwa na dua maalum ya kuomba Allah tumalize ujenzi salama pamoja na pilau ya kutosha.
🍛 Saa 5:00 – 7:00 Mchana
Pilau kwenye apartments zangu za Tabata.
(Hakutakuwa na dua – ni kula tu.)
🍲 Saa 8:00 – 10:00 Jioni
Pilau la kutosha kwenye apartments zangu za Mbweni.
🏠 Saa 10:00 hadi Majogoo
Tutamalizia Whitehouse (nyumbani kwangu), Goba – mapumziko, burudani na kuendelea kula.
Jumapili tutahamia Zanzibar kwenye Apartments zangu- ratiba kamili itatoka
Kila mtu anakaribishwa 🙌
Sema karibu kwako itakua wapi- nkupe location kwenye comments…
Karibuni sana tusherehekee pamoja siku ya Iddi!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid
#TajiriLaKihaya Tumefungua Leo… ila Iddi Tutaswali Kesho,IN SHA ALLAH🙏🏽🙏🏽 Karibuni saana kesho Nyumbani kwangu GOBA,Dar Es Salaam- tupige Pilau🤝
Indonesia























