SAMALEN TV 

1.6K posts

SAMALEN TV  banner
SAMALEN TV 

SAMALEN TV 

@Samalentv

TEKNOLOJIA KIGANJANI |Blogger|YouTuber|Graphics Designer|Video and Photographer👉 @SamalenTv © President of Samalencia #SamalenTv🤴♱ Philanthropist

SAMALEN TV Katılım Ağustos 2021
8 Takip Edilen1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
SAMALEN TV 
SAMALEN TV @Samalentv·
🚨 BIG ANNOUNCEMENT 🚨 From today, I’m officially open for collaborations and partnerships 🤝✨ Over the past months, I’ve been working hard to upgrade my skills and portfolio, and now I’m ready to work with brands, companies, and organizations in different industries. 🙏
SAMALEN TV  tweet mediaSAMALEN TV  tweet media
English
0
1
2
423
SAMALEN TV 
SAMALEN TV @Samalentv·
Mfungwa Amnong’oneza Rais Dkt. Samia: “Niambie Mimi Mama Yako” Wakati wa Hafla ya Kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Leo, wakati wa hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu na Uongozi Daraja la Pili Kozi ya 2025/26
Indonesia
0
0
3
31
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mh ! Nimeona hii video nikajifunza mengi , Guys leo nawapa tu neno moja “BE HUMBLE” 🙏
Filipino
43
148
684
55.3K
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
SERIOUS ISSUE: Kama uli vote Ndio naomba unitumie screenshot hapa nikupe mtaji, kwa sababu kama unaweza kujali basi nina haki ya kukujali pia 🙏
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Indonesia
9
4
30
2.3K
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
My sister alikuwa ananishauri sana ninunue hizi sunscreen ila nikamwambia sioni umuhimu wa mimi mwanaume kuanza kutengeneza uso kwani nani nataka anipende 🤣
Filipino
2
2
11
731
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mtoto wa kimskini kama unafanya skincare routine una haya ma cerave nk hizi sunscreen inabidi tukukamate utuambie unatoa wapi hela na kwanini unafanya skincare 🫵
Indonesia
1
2
7
251
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Nuru okanga yule jamaa wa kenya 👏👏👏 Wakenya mna watu wenye akili sana
Indonesia
0
1
3
261
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mara nyingi nikiona hela huwa siokoti huwa akili inanisuta inaniambia mbona hauna njaa kiasi hicho alafu naiacha , sijui ni mimi tu ?
Indonesia
1
2
9
381
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Yani saivi 70% ya vijana wengi wamelegea sana sijui ni hio milo au mfumo wa maisha ambao wanaishi au ni nini? Tujitafakari
Indonesia
5
5
19
853
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Kuna namna hawa content creators wanapush sana mambo sijui ni mpango wa shetani au ni nini? Ila kwa namna flani next 10 years wanaume watakuwa wakutafuta kama kakakuona 🫵
Filipino
0
1
5
208
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Nyie Gen Z ndio kizazi ambacho kina uwezo mdogo sana wa kufikiri( IQ) ndio maana hamna uwezo wa kutatua changamoto na ndio maana vijana wa saivi wanaitegemea AI kwenye kila kitu shame on you 🫵
Indonesia
1
1
5
164
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Mi naona kama mnateseka nyie ambao mme base kwenye relationship zenu na gen z mi mwanamke hawezi kuniuliza eti nilikuwa naongea na nani au kwanini sijapokea simu yake huo ni ufala 😡
Indonesia
2
1
7
342
SAMALEN TV  retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Bro to bro: Mwanamke asikupelekeshe ukaanza kuwadharau wanaume wenzio , kuna maisha baada ya huyo mwanamke
Filipino
0
4
19
435