meandmom

1.9K posts

meandmom banner
meandmom

meandmom

@SeiphLushika

scientist

Dar es salaam . Tanzania Katılım Ekim 2017
2.6K Takip Edilen555 Takipçiler
meandmom retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwa hii ISSUE ya BUYOBE na Hilda/Mshaba… Ni kukaa Kimya kwanza 😅 Inaonekana kuna mambo mengi saana BADO hayajawekwa wazi… Wanashambulia Kwa kuviziana… Kila upande unasubiri Nani aanze kumwaga Mboga wamalizie Ugali🤣 Kila aliekuwa Mentioned BADO hawajatoa vichwa na mtuhumiwa anawakwepa na wenyewe wanamsubir mtuhimiwa awazungumzie ndio wajibu 🤣 Hapa tuendelee kuwa wavumilivu… Nyama zipo chini wanangu… Tukiona BADO wanaogopana… itabidi tuanze kuchochea pande zote ilimradi tupate picha kamili… Nahisi kuna kipande kinarukwa na pande zote Kimaksudi kabisaaa!
Indonesia
97
54
370
16K
meandmom retweetledi
meandmom
meandmom@SeiphLushika·
@EsirEid Kwa mara ya kwanza nasoma story ya Buyobe bila kusogelea telegram
meandmom tweet media
Filipino
9
2
25
2.1K
meandmom retweetledi
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
Kwani May Mosi Naangalia Peke Angu Njooni Hapa Muone Ilivyofana
Kilwafinest 🦈 tweet media
Filipino
1
8
7
169
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA… Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda! Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa! Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani! Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5. UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽 Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Filipino
269
143
878
82.1K
Lily 🇺🇸
Lily 🇺🇸@LilyGrace_09·
What's the name if girl! Only sharp mind people can get this
Lily 🇺🇸 tweet media
English
1.7K
127
481
244.5K
Laptop Point 💻
Laptop Point 💻@usedpointTz·
Microsoft Surface Laptop 1 – Premium Touch Laptop ✨ ⚡ Intel Core i5 🧠 RAM: 8GB 💾 Storage: 256GB SSD 🖥 13.5” Touch Display 📐 High Resolution: 4K 🎨 Intel HD Graphics 620 🔅keyboard backlight 🔋 Long Battery Life ✅ Smooth performance for office work Tsh 650,000/=
Laptop Point 💻 tweet mediaLaptop Point 💻 tweet mediaLaptop Point 💻 tweet mediaLaptop Point 💻 tweet media
English
1
4
6
566
meandmom retweetledi
meandmom
meandmom@SeiphLushika·
@usedpointTz This small how can I get ASAP
English
1
1
1
25
Sekretarieti ya Ajira
Sekretarieti ya Ajira@ajirapsrs·
Hongera. Karibu katika Utumishi wa Umma, tunaamini mtafanya kazi kwa weledi na bidii na kutanguliza uzalendo na maslahi ya Umma mbele katika kuwatumikia na kuwahudumia Wananchi.
Sekretarieti ya Ajira tweet mediaSekretarieti ya Ajira tweet mediaSekretarieti ya Ajira tweet mediaSekretarieti ya Ajira tweet media
Filipino
5
3
36
5.5K
UD-BOY ⚡️
UD-BOY ⚡️@udsm_finest·
Mikoa inayoongoza Kwa Uchawi. 1.Rukwa 2.Kigoma 3.Tanga 4.Lindi 5. Iringa 6. ______ Ongeza mwingine hapo 👇🏻.
Filipino
67
36
181
20.1K