Mene Mene Digital
2.6K posts

Mene Mene Digital
@DigitalMene
▪︎Mastering the art of precision and tech 💡 ▪︎Liquidity • OB • FVG • Price Action 📊
Dubai, United Arab Emirates Katılım Ocak 2024
607 Takip Edilen249 Takipçiler

Vilio, Majonzi na Simanzi vimetawala katika Mtaa wa Kijenge Kaskazini, Kata ya Kimandolu Mkoani Arusha baada ya Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Sarah Simon Kira kukutwa amefariki kwa madai ya kujinyonga ndani ya Kabati.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Ndugu wa marehemu, Sarah alikuwa akiishi na Mume wake kabla ya kurejea nyumbani kwao kufuatia kuachana na mwenza wake.
Aidha, Ndugu hao wameeleza kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya presha pamoja na changamoto za msongo wa mawazo kwa kipindi fulani kabla ya tukio hilo.
Baada ya tukio hilo kutokea, Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi na taratibu nyingine za kisheria.
#MillardAyoUPDATES.
Indonesia

@BarakaMneka2 @millardayo Haijalishi ukubwa wa Kabati, ila ukiweza kujifunga na kufanikiwa Ubongo kukosa hewa hapo hautoweza tena kujitoa, Akili ya kujifungua haipo inakuwa ni nguvu ya kutafuta Oxygen kwenda ktk Ubongo
Indonesia

@millardayo Kumbe kuna kabati kubwa mpaka za kufikia mtu akaweza kuning'inia na kamba na kujinyonga🤔
Indonesia

@royalmediatz Kuna neno nchi zilizoendelea wanalitumia ktk kuonesha matokeo ya faida kwa Walipa kodi “Tax payers fund” Jambo Linapofanywa kWa a faida ya jamii kwa Kodi za Jamii - Basi si budi kuwapa thaman hao walipa Kodi kwanza then anafuatia Aliyesimamia Jukumu hilo kwa uadilifu
Indonesia

Mwonekano na mandhari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nyakati za usiku umebadilika baada ya serikali kufunga taa za barabarani.
Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa UDSM kumwomba Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, kuweka taa kwa ajili ya usalama wa wanafunzi na mandhari na kiongozi hiyo kuahidi kutekeleza jambo hilo haraka iwezekanavyo.
Pitapita ya mwandishi wetu nyakati za usiku imeonesha wanafunzi wakiwa wanatembea bila ya wasiwasi kuingia na kutoka mabwenini na kwenye maeneo ya kujisomea.
Indonesia

@xlusako Mbeya to Kyera jamaa walifanya Uungwana kuugawa Mkoa wa Mbeya na bado ni mkoa mkubwa.
Filipino

Well, he’s successful at what he does but he’s not a forex trader.
IVY@ivymuthe
I don’t understand why the majority of these Forex traders have apartments in Tatu City. 90% of them stay there
English


@Mwinshehe07 Hakikisha chat zina Expire au ni read once ukiwa unaingia DM
Filipino

@pastajoshuatz Pesa ya mzungu unaitolea Jasho kweli na unalipwa kwa haki, ila wabongo wengi tunataka life jepesi bila kazi za kuteseka.. Hatutaki Upweke, Sisi tunataka kuchelewa kazini, au ukiumwa unajua Hamna Noma
Filipino

2019 mpaka 2021 nilikaa California, Mimi MTz nilikuwa nalipwa $27/hr.. nafanya kazi 8hrs,nilikuwa nafanya two jobs, I work 6 days a week.. jiongeze ujue tunapata kiasi gani kwa mwezi..
nafanya siku 26 kwa mwezi.. nafanya 16hrs per day for 6 days.. jumla nafanya kazi 96 hrs per week…96x4=384 hours per month..384x$27=$10,368 kwa mwezi mmoja.. ukitoa Tax, rent, gas, …, blaa blaa,, unabaki na $7,000… chukua $7000x2650=18,550,000…. Amua mwenyewe, kuwa chawa bongo au kuwa mlea wazee USA…

Indonesia

Oleg Penkovsky alikuwa jasusi wa GRU (URUSI) ambaye kwa siri alikuwa akifanya kazi pia kwa MI6 (UK) na CIA (USA) Alipogundulika mwaka 1962 alikamatwa kwa kosa la uhaini na mwaka 1963 aliuawa. Ni mmoja wa double agents maarufu zaidi katika historia ya Vita Baridi
#ElimikaWikiendi

Indonesia

@mwananchidr Polisi hawana kazi tu kama wewe sio mtuhumiwa.
Indonesia


@freemaker_tz Kama AI inafanya kazi, kwanini wanaangaika Kuuza, Wealth huwa ni Private sana kuliko wanavyoaminisha watu.
हिन्दी

@djnsajigwa Sema ukiwa na Demu konda inataka uwe na Moyo mpana, unaweza ukakuta Simu haipatikani wew jua mtandao hausomi.. Pia ombea awe ametulia. Maana Abiria sio wavumilivu
Indonesia























