SEMA Singida

392 posts

SEMA Singida banner
SEMA Singida

SEMA Singida

@SemaSingida

Non-Governmental Organisation (NGO) that supports community initiatives to tackle economic, social and environmental issues

Singida, Tanzania Katılım Mart 2019
48 Takip Edilen108 Takipçiler
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Kwa ushirikiano na SATF, SEMA imesaidia watoto walio katika mazingira magumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida kwa kuwapatia vifaa vya shule, taulo za kike, taa za sola, na bima ya afya, pamoja na zawadi za motisha
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
Indonesia
1
0
2
46
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
tumeendesha kikao cha Kujenga uelewa kuhusu hedhi salama (MHM) na kugawa taulo za kike katika Shule ya Sekondari Mitundu. Tunalenga kujenga mazingira salama na jumuishi kwa ajili ya wasichana kung’ara shuleni na maishani. #GENTUproject @acftanzania
Indonesia
0
1
1
36
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Afya ya hedhi ni haki, siyo anasa! Kupitia mradi wa GENTU na kama sehemu ya utekelezaji wa afua za WASH, SEMA kwa kushirikiana na Action Against Hunger na Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, kwa ufadhili kutoka Global Affairs Canada,
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
Indonesia
1
1
1
58
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Together, we have achieved remarkable milestones—and with your continued partnership, we look forward to many more years of positive change! #SEMAat27 "Supporting community initiative to tackle social,economic and environmental issues" @SATF1998 @acfhearo @singidars
English
0
0
0
30
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Celebrating 27 Years of Impact! SEMA proudly marks 27 years of dedicated service, transforming lives and communities. We extend our heartfelt gratitude to our stakeholders, donors, government partners, and the entire community for your unwavering support.
SEMA Singida tweet media
English
1
0
2
35
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amezindua kampeni ya Nishati Safi kwa Mkoa wa Singida na kugawa mitungi ya gesi kwa baadhi ya wanawake walioshiriki, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha maisha yao na kulinda mazingira
Indonesia
1
0
0
23
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Shirika la SEMA limeungana na wadau mbalimbali pamoja na Serikali ya Mkoa wa Singida kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025, yakiwa na kaulimbiu "Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwekezaji."
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
Indonesia
1
0
1
38
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Happy New Year 2025.
SEMA Singida tweet media
English
0
0
0
34
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Job Advertisement -Marketing Specialist (Full time/Contract) Learn More visit sema.or.tz
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
English
0
0
0
33
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Job Advertisement -Marketing Specialist (Full time/Contract) Learn More visit sema.or.tz
SEMA Singida tweet media
English
0
0
0
42
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Job Advertisement -Agriculture Officer (Volunteer) Learn More visit sema.or.tz
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
English
0
0
0
62
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Job Advertisement -Agriculture Officer (Volunteer) Learn More visit sema.or.tz
SEMA Singida tweet media
English
0
0
0
47
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
"Thanks to SATF's generous support, SEMA is helping the most vulnerable children in Ikungi DC with essential scholastic materials, empowering their educational journey." @SATF1998
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
English
0
0
0
32
SEMA Singida
SEMA Singida@SemaSingida·
Field visit success in Bahi! ACF Canada Board member and Program Director joined us for a day of inspiration. We toured Ilindi village's health facility, potato seed bank, and saw progress in animal husbandry. The local school impressed with its garden and youth club presentation
SEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet mediaSEMA Singida tweet media
English
0
0
1
35