Lita 1 petrol Tarime 2,700 Tshs
Lita 1 petrol Kyerwa 3,000 Tshs
Lita 1 petrol DSM 2,600 Tsh
Sasa nijulisheni Twitter Nishati, nini kinafanya tofauti ya bei ya petrol katika nchi moja?
Je, EWURA hawahusiki na ku’ regulate bei ya mafuta nchi nzima, au wanazingatia kigezo gani?
Kwenye Mfumo Wetu Wa Elimu,Kuna Miaka Miwili Tunapaswa Kuipunguza
(Its Unnecessary)
Tuipunguze Either Kwenye,Primary Level,O-Level Au Advance!
Yani Kwa Kifupi Tufute Either Darasa La 3&4 Au Tuondoe Form 3&4 Then Zile Five Na Six Ndio Zije Kuwa Form 3&4.👇👇
Kwa sasa PGO ndio habari ya MUJINI, yaani kesi ya MBOWE imewavua nguo POLISI...Tunasubiri kwa hamu zamu ya SIRRO atakapopanda KIZIMBANI kutoa USHAHIDI, sijui kama hatarusha ngumi WALLAH! 😅😅